VIWAKILISHI VYA KUTENDEWA: ME; YOU; HIM; HER;IT;US;THEM;YOU: SOMO LA 26
Вставка
- Опубліковано 20 січ 2025
- Viwakilishi vya kutendewa : ME; YOU; HIM; HER;IT;US;THEM;YOU
#jifunzekiingereza #jifunzekiingereza #tanzania #onlinelearning #learnenglish #englishlessons #jifunzeenglish #english #englishteacher #onlinelearning #jifunzekiingerezamtandaoni #englishintanzania #englishindar #learnenglishindar #learnenglishintanzania #learnenglishintheusa
#learnenglishintanzania
Nakupenda Sana dada Dorothy umekuwa mtu muhimu Sana kwangu MWENYEZI MUNGU AKUBARIKI ZAIDI
Ubarikiwe Sana mwalimu, naona kama nabadilika na kuimprove zaidi🎉🎉🎉
Kweli mungu habatiki utufundishe asante.
Asante sasa nimeelewa vizuri kuhusu viwakilishi
Asante km Dada diri
Nice 👍
Good job
Thank very nice my teacher ilove you
Ahsante sana mwalimu kwa somo zuri
Pamoja Sana sister
You give me a good lesson, thank you 😊 na mwenyezi mungu akubariki kwa kuamua kutufundisha hii ni sadaka muhim sn so keep going we are learning from you
Asante
Wazo zuri
Thanks
Thank u so much dorith
God bless you my teacher
4:50
Thank you teacher you are best teacher
uishi miaka mingi thank you good teacher
Thenkyou🥰🥰😘😘😘😘😘😘
Nakupenda sana mwalimu wangu natamani siku moja nikuone walau
Asante sana
Thx my teacher im proud to be teaching english
Nimefika mbali Sana na doroth
Me mbwana hunijibu
Unachelewesha Sana Dorothy masomo toa vitu ivo teacher Dorothy
Asanteni
Thank you Teacher Najiona mwenye bahati kuijua channel yako ubarikiwe sana .
Asante Sana
Ticher Bora😘😘
Safi
Asante sana mwalimu wetu
Thanks 🙏🙏
Ubalikiwe
Love Ep Out
ua-cam.com/play/PLbFrAz29154WDEtvrThiA_fqUz0jUtKVd.html
Nakushukuru sana mama Kwa elimu unayoitoa! EBU naomba kuuliza:' neno KITENDO Kwa KINGEREZA linaitwaje!;
Kitendo ni action
Thank you so much teacher
Umenepa
Thank you so much
supEr✨
Mwalimu mubarikiwe Kama najua kujitetea kidogo kwakiingereza ni wewe mi nipo amerca 3:02
Naitaj Msaada Jaman Kam Sielew Kabisa Dada Dory
Msaada gani
Thank you so much madam 🙏
Hujambo Rafiki yangu
Nakuomba usicheleweshe masomo kutoa teacher Dorothy
Unatukwamisha Sana
Najivunia kukufatilia hapa toke mwanzo wa masomo yako
Abariako mwalimu naomba pia namimi mniunge kwenye group
congratulations my sister i like the way you teach English, namimi pia nitakuwa nawewe pamoj kwenye kila kipindi,,
ila kuna maneno inayo nisumbuwa sana na ningependa kuyajuwa vizuri na kuyatumia,
goes
does
should
would
shall
could
kweli dada ningeomba ufanye video nyingine kuhusu hayo maneno
Niunge group lako dorith
Nashurusana kwakuazisha darasa rakufundisha kingereza najitahidi kukufatiria masoyako kwabidii nahitaji kujua kingereza
Mdgo mdgo nd mwndo japo sjashika ila sio kma mwnzo
Teacher Doroth naomba uniunge kwenye group please
Please teacher nami naomba uniunge katika group
Unajua san madam had mm kichwa ngum naelew
Niunge Basi kwenye group la what's up teacher Dorothy
You're my wife's teacher
Thank you so much
Thank you madam
Mwalimu Dorothy vipi mbona masomo unachelewesha Sana sisi tunafatilia vo hem tuletee kuanzia somo la 27
Dad naomba niunge name kwenye ilo group la kuongea kingereza Whatsapp
Jambo habari za wa jamii bona nilikuomba nember yako na Leo
nahitaj ku save video zako nashindwa save naomba unisaidie kwa sababu zina muhimu kwang
Download
Madam somo la 52 na hakuna
Tunao soma kingereza kwa huyu Dada kwanini tusiunge group kwa ajili yetu ili tujifuze zaidi
Iko waz
techer
Thank you madam naomba website yako
Niunge Basi kwenye group la what's up
Madam join watsapp group please
Sasa hapo teacher tunawasemea wote third pason singular si ndio eliza na yye si ndio
Ndio. Inawezakuwa Eliza Au mtu mwingine yoyote. Unaweza kutumia viwakilishi vya kawaida.
Thank you