@@edwinejames8481 Kitu cha kwanza unatakiwa uwe na njia sahihi za kukuwezesha kuzungumza, kitu kingine unatakiwa kufanya practice na practice zipo za aina tatu, 1. Practice ya kuandika kutokana na somo au njia ya kuzungumza uliojifunza, 2. Practice ya kuzungumza mwenyewe kupitia somo uliojifunza 3. Practice ya kuzungumza na watu. Hakikisha unafuata huo utaratibu utaona mabadiliko kwa muda mfupi.
@TeacherOthman mwalimu mm nahitaji njia mbili Kati ya tatu ulizotaja mm sometime nikiwa mwenye naweza nikazungumza japo kidogo kidogo lakini ikitokea kuongea na mtu aisee nasahau everything hata kidogo siwez na nikiweza natetemeka yaani nakuwa siamini kile ninachoongea je kinaeleweka kwa msikilizaji
@TeacherOthman mm nahitaji Sana kuzungumza kuliko kuandika kuandika nitajuaga mbele Ila kuzungumza mwaribu mm ni dereva wa roli so nakuatana na madereva wengi kutoka South Africa zimbambwe Zambia hata now ninapochati na wewe nipo congo changamoto kuzungumza ndo maana nimeomba namba zako kwa msaada zaidi
Nakuelewa sna teacher unafundisha vizuri
Thanks for
Good
Thanks
Ninafaidika sana thank you
You're welcome 🤗
Vizuri sana, naweza kupata darasa la practice speaking english hapo kwako?
@@mwatimeabdallah3523 karibu linapatikana
Nahitaji Sana mazoez ya kuzungumza kwani naelewa baadhi ya vocabulary na vitenzi changamoto ulimi wangu hauwezi kuzungumza kingeleza
@@edwinejames8481 Kitu cha kwanza unatakiwa uwe na njia sahihi za kukuwezesha kuzungumza, kitu kingine unatakiwa kufanya practice na practice zipo za aina tatu, 1. Practice ya kuandika kutokana na somo au njia ya kuzungumza uliojifunza, 2. Practice ya kuzungumza mwenyewe kupitia somo uliojifunza 3. Practice ya kuzungumza na watu. Hakikisha unafuata huo utaratibu utaona mabadiliko kwa muda mfupi.
@TeacherOthman mwalimu mm nahitaji njia mbili Kati ya tatu ulizotaja mm sometime nikiwa mwenye naweza nikazungumza japo kidogo kidogo lakini ikitokea kuongea na mtu aisee nasahau everything hata kidogo siwez na nikiweza natetemeka yaani nakuwa siamini kile ninachoongea je kinaeleweka kwa msikilizaji
@TeacherOthman mm nahitaji Sana kuzungumza kuliko kuandika kuandika nitajuaga mbele Ila kuzungumza mwaribu mm ni dereva wa roli so nakuatana na madereva wengi kutoka South Africa zimbambwe Zambia hata now ninapochati na wewe nipo congo changamoto kuzungumza ndo maana nimeomba namba zako kwa msaada zaidi
@edwinejames8481 okay, number zangu zipo kwenye profile yangu