MIMI MARS: DIAMOND ALITAKA NIACHANE NA MPENZI WANGU, ILINIPA STRESS!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 вер 2024
  • #MimiMars #DiamondPlatnumz

КОМЕНТАРІ • 173

  • @lovelovers715
    @lovelovers715 3 роки тому +3

    I love Mimi she is so real! She is beautiful Alafu talented! Guys tembeleya page yake mumpe support! She needs us! Before check my page kuona story ya Diamond na Zari from D to Z!

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe 3 роки тому +36

    Bila Diamond watu hawali ugali 🤣🤣🤣🤣

    • @wazambulitv5735
      @wazambulitv5735 3 роки тому +2

      *Diamond Platnumz **8:20**-**10:14**..Pisi Kali Mimi Mars😀✌*

    • @jumamkongowe2272
      @jumamkongowe2272 3 роки тому +1

      Diamond ndy kilakitu kwenye media zao

    • @mrsinia3064
      @mrsinia3064 3 роки тому

      🤣🤣

  • @mchainatvy9586
    @mchainatvy9586 3 роки тому +5

    A beauty lady!

  • @zenadaudzena2849
    @zenadaudzena2849 3 роки тому +5

    Base voice 😍

  • @emmyyahya8358
    @emmyyahya8358 3 роки тому +3

    Mimi Mars mzur sana baby💕😘

  • @fuadmohanna1089
    @fuadmohanna1089 3 роки тому +3

    She's good singer

  • @mwisukulu1
    @mwisukulu1 3 роки тому +26

    Kumamake diamond ni noma, demu anaongea kuhusu diamond akiwa anatetemeka balaaa........wanaume tusake pesa aiseee

  • @fuadmohanna1089
    @fuadmohanna1089 2 роки тому

    Good answer mimi mas

  • @anjunurdin2392
    @anjunurdin2392 3 роки тому +7

    Mh huyu dada nampenda sana.lkn .sikuoenda alivyoamua kuimba! Alipendeza sana kua mtangazaji..alikua anakipatia sana kile kipindi cha wasanii..lkn kuimba angemwachia Vanesa.mh lkn ni maamuzi yake.

  • @alickodaniel4611
    @alickodaniel4611 3 роки тому +5

    Nimekuja sababu ya #Diamond

    • @timotheokiss6019
      @timotheokiss6019 2 роки тому

      Facts ata mimi nikisikiaga jina la mondi tu nimoo

  • @shabanmjunga6407
    @shabanmjunga6407 3 роки тому +2

    Daaah nampenda sana huyu Mdada Tena kutoka moyon

  • @hamishamis9957
    @hamishamis9957 3 роки тому +22

    nipo hapa kwa jina la diamond

    • @juniorcx0114
      @juniorcx0114 3 роки тому +1

      Hata mm

    • @wazambulitv5735
      @wazambulitv5735 3 роки тому +1

      *Diamond Platnumz **8:20**-**10:14**..Pisi Kali Mimi Mars😀✌*

  • @wazambulitv5735
    @wazambulitv5735 3 роки тому +6

    *Diamond Platnumz **8:20**-**10:14**..Pisi Kali Mimi Mars😀✌*

  • @allynyangassa6880
    @allynyangassa6880 3 роки тому +4

    Hyu mtoto huwa nampenda Sana ningekutana nae ningempa mchongo wa ndoa

    • @ramadhanmahongole5663
      @ramadhanmahongole5663 2 роки тому

      utamuweza??mana kuishi na star ni ngumu sana ndomana hata wao wanajijua hawaolewagwi

  • @Kagehaijanira9473
    @Kagehaijanira9473 3 роки тому +2

    Ungela huu na asara juu diamond ni mume wa zari nimapenzi ya mungu wataowana Harusi kubwa tunangoja diamond na mama tee 🙂🙂

  • @bosschick2417
    @bosschick2417 3 роки тому +1

    Kafanana mama kanumba flaura👌

  • @onesmoretz2785
    @onesmoretz2785 3 роки тому +67

    Channel kubwa km hii inaandika kichwa cha habar cha uongo it's doesn't make sense

    • @Richard_Kim29
      @Richard_Kim29 3 роки тому +3

      Sure wajiulize mara mbili mbili why wanaandika upuuz

    • @andrewmachage9102
      @andrewmachage9102 3 роки тому +2

      Af ht huyu msanii wanaemuandikia hki kichwa iv hawez kuwashtki kwl maana wao wanachojali n kuuza hbr bila kujua wanamharbia reputation msanii.

    • @wazambulitv5735
      @wazambulitv5735 3 роки тому +3

      *Diamond Platnumz **8:20**-**10:14**..Pisi Kali Mimi Mars😀✌*

    • @hatamimnimempendabulejaman1596
      @hatamimnimempendabulejaman1596 3 роки тому

      Kapendeza Sana

    • @hatamimnimempendabulejaman1596
      @hatamimnimempendabulejaman1596 3 роки тому

      He kanenepa hivyo mana wamemuonyesha Paka chini kanenepa

  • @chazgunda5823
    @chazgunda5823 3 роки тому +2

    Diamond ni busta alwayz

  • @WORDOFMYCREATOR
    @WORDOFMYCREATOR 3 роки тому +4

    Mimi mars huwa anajibu kifulani...si kama dadake Vanessa ama kama vile hamkubali dadake.anyways...we know her coz of Vanessa.

  • @amourmasoli4377
    @amourmasoli4377 3 роки тому +23

    Acheni ufala tumekuja hapa kwa ajili ya diamond halafu mmeongea utomboo hakuna cha diamond wala nn 😡

  • @balqisabdullah6200
    @balqisabdullah6200 3 роки тому +6

    Napenda anavyoongea hajishauwi kama wengine, utakuta kiswahili kinapigwa mbwembwe na ma pose mpka kichefuuu but mimi mars anaongea uzuri.

  • @hansibertrumboyo429
    @hansibertrumboyo429 3 роки тому +1

    Ooo paja kali

  • @chiefkaitaba.m.9466
    @chiefkaitaba.m.9466 3 роки тому +1

    Mbona kafanana jini leo 😎

  • @charlton1388
    @charlton1388 3 роки тому +1

    mtangazaji anafaa sana!!!

  • @straightkonect1613
    @straightkonect1613 3 роки тому +7

    Mtu wa mungu Mtoto wa kipare

  • @adampremo7949
    @adampremo7949 3 роки тому +16

    Camera man umenikosha sana nimekuelewa ulitaka tuone nini...wakulungwa tumeona babaaa🔥🔥🔥

  • @kulway4669
    @kulway4669 3 роки тому

    Hii

  • @bajagihaji8923
    @bajagihaji8923 3 роки тому

    Dada upo vizuri

  • @kingbashar4293
    @kingbashar4293 3 роки тому +3

    Diamond platnumz 8:22

  • @mandalorian_4.11
    @mandalorian_4.11 3 роки тому +5

    nimefurah sana baada ya kuskia zuchu yupo kwenye playlist ya Mimi mars #wcb4life

  • @njikutv3384
    @njikutv3384 3 роки тому +1

    Mmmmh

  • @jamesrutha723
    @jamesrutha723 3 роки тому +1

    Nimepend hii interview mim Mars anagakujikanyaga

  • @fadhili_masoi
    @fadhili_masoi 3 роки тому +1

    Da! wew mwandishi wa hichi kichwa cha habari,ulipo popote .kunywa soda nitakuja kulipa

  • @gracejulius23
    @gracejulius23 3 роки тому +1

    Nimekupenda bule yaan haulingi kabisa safi ukovizuri mdada

  • @denisimaliyaweni9183
    @denisimaliyaweni9183 3 роки тому +4

    Hiii channel cyo yakuongopa ongopa kama hao wengn unafnya tusiamini vichwa vya habr vyenu

  • @kissjohantho617
    @kissjohantho617 3 роки тому +5

    Dem mkali, sauti ya Godfrey monyo😂

  • @festohamis1224
    @festohamis1224 3 роки тому +1

    Dada mini acha umbea walio stop mziki wanakuhusu nn we

  • @itNeza
    @itNeza 3 роки тому +11

    Manina zeni Sikufata mpaka mwisho ( Asante Coment ) Hakuna cha Diamond wala Dangote Hapa. ❌

  • @bestmedia_tz
    @bestmedia_tz 3 роки тому

    Mimi mars nakukubali sana

  • @driftdumper8927
    @driftdumper8927 3 роки тому +3

    Waandishi wote wa Tanzania online tv bila kutana jina la Diamond no views. Hapa wengi wamekuja kutokana na tittle

    • @wazambulitv5735
      @wazambulitv5735 3 роки тому +2

      *Diamond Platnumz **8:20**-**10:14**..Pisi Kali Mimi Mars😀✌*

    • @briankenyan1799
      @briankenyan1799 3 роки тому +1

      @@wazambulitv5735 asante kwa kuokoa bundle yangu

    • @wazambulitv5735
      @wazambulitv5735 3 роки тому +1

      @@briankenyan1799 bless FAM❤✔✔

  • @abou__jayyaboutrika4381
    @abou__jayyaboutrika4381 3 роки тому +2

    Is mimimars the sister of venessamseedee??

  • @youngclassic4617
    @youngclassic4617 3 роки тому +3

    Bro umeandika vitu vingine kwel daaa umetuuza kwel yaani

  • @devisbrown1290
    @devisbrown1290 3 роки тому +2

    Kuhusu Diamond: 8:22

  • @davidmwango9388
    @davidmwango9388 3 роки тому +1

    ndio maana sijasubscribe

  • @zablonrobert1522
    @zablonrobert1522 3 роки тому +1

    Mmetukosea sna kichw cha habar tofauti na kilichoongelewa....
    Kama page ya udaku

  • @azzamahamdu7039
    @azzamahamdu7039 3 роки тому +3

    Mimimars🥰🥰🥰

  • @matokeosaid285
    @matokeosaid285 3 роки тому

    Nakubal

  • @bestinarajabu34
    @bestinarajabu34 3 роки тому +1

    7

  • @jimboulaya
    @jimboulaya 3 роки тому +13

    Click-baiting headline Rasclat , waandishi mshakua mnaboa lazima mumtaje Diamond ndio mpate views.

    • @wazambulitv5735
      @wazambulitv5735 3 роки тому +2

      *Diamond Platnumz **8:20**-**10:14**..Pisi Kali Mimi Mars😀✌*

    • @emariusrush7704
      @emariusrush7704 3 роки тому +1

      Sasa ukiandika diamond watu wanaangalia wengi,wakiangalia wengi pesa inaingia nyingi pia

    • @zuenanyutwa6043
      @zuenanyutwa6043 3 роки тому +1

      Wanamtumia Kama daraja kufika wanakotaka

  • @younggeniuz1979
    @younggeniuz1979 3 роки тому +1

    Usenge huuu dah tittle #diamond afu ajaongelewa pumbavu

  • @MrNdanguza
    @MrNdanguza 3 роки тому +1

    Huyu mtoto nikija bongo ntamuoa kabisa nimuzuri sana

  • @kottaflavour4908
    @kottaflavour4908 3 роки тому +2

    simbaaaaaaaaaaA

  • @zooz6762
    @zooz6762 3 роки тому +1

    Mimi3maz naomba uniambie nguoyako nipenda3nanikakuvisha

  • @willcolleman8931
    @willcolleman8931 3 роки тому +1

    Sasa kunatatizo gani akiolewa na ambaye si mtanzania...?jamn mmeja chuki na ubaguzi, ivi penzi ni kabila gani?

  • @julytito3891
    @julytito3891 2 роки тому

    Kuna namna anaongea Kama rozi ndauka ,,Ila binti mlokole umetisha kwenye jua kali

  • @jaydon3361
    @jaydon3361 3 роки тому

    Leo hii Dozen una andika habar za Diamond

  • @alfanifaraji
    @alfanifaraji 3 роки тому

    Huu dem Hana sauti anayakufoka hovyo nili open kwaajili ya mind🇷🇼😅😅

  • @ashaali7154
    @ashaali7154 3 роки тому +2

    Mpuuzi wewe mwandishi iko siku mutajuta mutakaposhtakiwa kwa kuandika uongo.

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 3 роки тому +2

    Diamond "alitaka"....stupid heading.

  • @frankngoloka2589
    @frankngoloka2589 3 роки тому +1

    Hicho kinguo jamani

  • @Matunzo_Classic
    @Matunzo_Classic 3 роки тому

    MIMI MSANII NAITWA MATUNZO CLASSIC TAZAMA VIDEO YANGU
    KISHA SUBSCRIBE WEKA COMMENT YAKO NAOMBA SUPPORT YAKO

  • @alibinali_
    @alibinali_ 3 роки тому +2

    Huyo mtangazaji mshenge sana eti alsamasi wacha chuki wewe unashidwa kusema diamond ama Simba ama Chibu

  • @fredrickmatiku7783
    @fredrickmatiku7783 3 роки тому +2

    ila huyu mtoto ni wa moto

  • @josephmeshack3147
    @josephmeshack3147 3 роки тому

    Halafu bado mnajifanya kumchukia..chibu noma

  • @hatamimnimempendabulejaman1596
    @hatamimnimempendabulejaman1596 3 роки тому

    Kuigiza raha ya kwel

  • @musajoseph9542
    @musajoseph9542 3 роки тому +2

    Muda mwingine unaamua kutukana tu hata Kama hujasikliza taarfa kamili, media za kichoko Sana pumbavuuuuu

  • @babyjoseline7055
    @babyjoseline7055 3 роки тому

    kichwa cha habari majanga

  • @Lugongam
    @Lugongam 3 роки тому +1

    Dozen unafeli mzee

  • @tastedigital
    @tastedigital 3 роки тому +1

    ULOWEKA HIYO HEADING NIKWAMBIE TU MNACHAFUA BRAND YA DOZEN KWASABABU YA KUTAFUTA VIEWS. NON SENSE

  • @Daniel_Masika
    @Daniel_Masika 3 роки тому +11

    nyie n mamluki tuuu, saiv bila kumzungumzia chibu hamtoboi

  • @berrynilpastory1547
    @berrynilpastory1547 3 роки тому

    M kicheko chako tu hoi nakipendaga

  • @ubkylax1930
    @ubkylax1930 3 роки тому

    Ushenzi

  • @bantwamwasakapiga4941
    @bantwamwasakapiga4941 3 роки тому +5

    Dozen shabiki wangu imenisikitisha sana yani channel yako ndio ina andika kichwa cha namna hiyo kweli amko serious igeni basi kwa Millad ajawahi andika kichwa cha uwongo

    • @wazambulitv5735
      @wazambulitv5735 3 роки тому +2

      *Diamond Platnumz **8:20**-**10:14**..Pisi Kali Mimi Mars😀✌*

    • @kassimrajabu7805
      @kassimrajabu7805 3 роки тому

      @@wazambulitv5735 umetisha mzee baba

  • @ramadhanabasi296
    @ramadhanabasi296 3 роки тому +3

    Wasenge nyie mbona huyo diamond hajatajwa popote mnekula mb zang wasenge nyinyi mnatumia title nyingne content nyingne

    • @Majambo_Duniani_Tv
      @Majambo_Duniani_Tv 3 роки тому +2

      acha matusi angalia mpk mwisho jombaaa, matusi sio ujanja

    • @ruthiecharlz898
      @ruthiecharlz898 2 роки тому

      😂😂😂 kumbe na ww umedanganywa kaa mm

  • @dvjmiloow6604
    @dvjmiloow6604 3 роки тому +3

    bwana mwandishi shika Adabu yako.

  • @hassanbaoma8798
    @hassanbaoma8798 3 роки тому +4

    Mimi mars ni pisi kali

  • @outfittertz6274
    @outfittertz6274 3 роки тому +1

    Ukiona Dem wako anawaambia mwao ye ni mwelewa s2ka

  • @theprofiletz6088
    @theprofiletz6088 3 роки тому

    Mchizi kichizi 👊

  • @kingelise6832
    @kingelise6832 3 роки тому

    Namukubali huyo dada subscribe my charnel ya UA-cam

  • @chikusaidi8254
    @chikusaidi8254 3 роки тому

    dozen selection vp tena? nyie si haters????

  • @aishajunja4754
    @aishajunja4754 3 роки тому

    .

  • @nurukaaya7523
    @nurukaaya7523 3 роки тому

    Mavazi yake tu ,lazima uwe mtoaji uchi

  • @gastonanoldmacha8188
    @gastonanoldmacha8188 3 роки тому

    Diamond???

    • @wazambulitv5735
      @wazambulitv5735 3 роки тому +1

      *Diamond Platnumz **8:20**-**10:14**..Pisi Kali Mimi Mars😀✌*

    • @ilynpayne7491
      @ilynpayne7491 3 роки тому

      @@wazambulitv5735 kunywa soda nakuja lipa

  • @homan_nkwama
    @homan_nkwama 3 роки тому

    She is straight hata kwenye majibu ya kuelezea nimependa

  • @joseliamson2168
    @joseliamson2168 3 роки тому +1

    Wacheni kutumia jina la simba vibaya .....saitan

  • @christerchrissy169
    @christerchrissy169 3 роки тому

    James

  • @ibrahimnadir4490
    @ibrahimnadir4490 3 роки тому

    Nilifkiria chanel hii ni ya kijanja sana sijafkiria kama wanaweza kufanya ujinga mkubwa hivi. Kinyesi

  • @joycewaziri4087
    @joycewaziri4087 3 роки тому +1

    Umependez sn

  • @nurdin.mndeme3447
    @nurdin.mndeme3447 3 роки тому +1

    SIMBA

  • @robinsonerasto8069
    @robinsonerasto8069 3 роки тому +1

    Moja kati ya chanel za uongo ni hii🖕🖕

  • @wahidamusin613
    @wahidamusin613 3 роки тому +2

    Na wewe usibiri ujazwe mimba utulie maana huyo ni kitia mimba

    • @freelancer6368
      @freelancer6368 3 роки тому +1

      We nae choko unawaza uzinzi tu ndipo akili zako za kondoo zilipoishia

  • @malhassannews3391
    @malhassannews3391 3 роки тому +1

    She thick as f

  • @briankenyan1799
    @briankenyan1799 3 роки тому

    Diamond ndiye alinifanya nikamjua Mimi Mars

  • @irmgardsamia1827
    @irmgardsamia1827 3 роки тому +1

    Fuck so fuckin stupid channel actually mnahadhi kubwa lakini sasa ni upumbavu Sana.

    • @wazambulitv5735
      @wazambulitv5735 3 роки тому +1

      *Diamond Platnumz **8:20**-**10:14**..Pisi Kali Mimi Mars😀✌*

  • @noeljulius8861
    @noeljulius8861 3 роки тому

    wanaume wa siku izi mnakazi sna,,,,inabidi muwe na sifa za kutosha maana nyie mnatafutwa

  • @ominaominaom8015
    @ominaominaom8015 3 роки тому +1

    Very happy 😍💋 💝💖♥️❤️

  • @denisimaliyaweni9183
    @denisimaliyaweni9183 3 роки тому +2

    Hiii channel cyo yakuongopa ongopa kama hao wengn unafnya tusiamini vichwa vya habr vyenu

    • @wazambulitv5735
      @wazambulitv5735 3 роки тому +1

      *Diamond Platnumz **8:20**-**10:14**..Pisi Kali Mimi Mars😀✌*

  • @alfanifaraji
    @alfanifaraji 3 роки тому +3

    Huu dem Hana sauti anayakufoka hovyo nili open kwaajili ya mind🇷🇼😅😅