2800 miles away from Kenya aah ,'shangazi Maria' this song reminds me of the late Mariam Mwangi.........She was the real shangazi Maria....agwiraye ndo mwenye arichaye ni uzuzuwe utamu
I can say bango is our identity as the mijikenda community❤️🔥. Bango sio bango Bila Ngala Family🔥… the saxophone in bango is just the whole vibe that u will never get anywhere on this earth🤌🏽. #bangoforlife #mpakachee #specialrequest #unanikumbushabarsheba #bangobilawewesiobango. Much respect 🫡 🇰🇪❤.
LOURANCE na LILLY takes me bck when we use to snck school From Dr Kraph Bengo Rabai to Mazeras because of the Legendary Mzee Joseph Ngala...salute mtunguyaz all the way from Turkey really miss my home Bengo Rabai..home of Bango
Niko hapa 2022 ,, jamani nenda nalo sawa ,, stress nitoe wapi mzee mwenyewe ngala kazitoa,, roho katulia sina ata bugda mambo yako sawa or shwari kama bahari🤗🤗🤗🤗🤗😍😍much love bango
Mambo ndo haya eti. Reminds me of my brother from a Rabai mother - the one and only Saddam Isele aka Ahmed Hassan wa Mazeras. Our days at Kenyatta University in the 90's made more sense with bango.
All the way from USA. Ama kweli muziki mtamu wa bango halisi ni dawa ya stress. Niusikiapo moyo wangu huzizima kama maji ya mtungini. Hongera Mzee Bango kwa kugusa mioyo yetu. Mungu aendelee kukubariki.
Wow!This is when bango wz bango acha xa i.When bango sounds crew wote walikua pamoja Mzee Ngala kina Mozenga,Chai,Sande pojo,Matano Ngao,Manu de bango n lead singer wz Jimmy Ngala.Ni jeri kare kayuya
Hi I’m edith, Mariam,s sister , I live in the England now with my English husband but your comment brought a tear to my eye as I miss my beloved sister Mariam so much , thank you for the memories 🤗
Miaka inasonga sana isee …enzi hizo jamboreee .Duuuh pumzika kwa Amani kaka mkubwa Fadhili outer Barisheba …these songs remainds me a lot about you my brother ..till we meet a gain!
2800 miles away from Kenya aah ,'shangazi Maria' this song reminds me of the late Mariam Mwangi.........She was the real shangazi Maria....agwiraye ndo mwenye arichaye ni uzuzuwe utamu
M6lr
👍🏿
Good song
Sounds great 👍👍👍
@@mishikashuru7475 🔥🔥🔥🔥💃
Who is watching n enjoying it like me..2024...bango lenyewe, thanks Mzee Ngala mwenyewe...👍🏼
Kwaheri daisy kwaheri daisy bye bye...Hio nyimbo yanikumbusha jamboree ukiskia hio ujue bango yafunga .Much love from DOHA QATAR
yes those days wen bango wz bango.Ilikua every sundays frm 2pm mpk saa nne...ilikua raha sana
Kabisar catherine
Aaaww wapi watu wa coast let's gather here ,tunayo harunaaaa utamu kwenda mbele
Brings back memories of bamburi water sports Sunday afternoon's 1998❤️❤️
Mzee wangu,,nakumbuka mawaidha yako tukiwa sote fria town,
Izo ndio zilikua zama za bango kweli.full team..looo kweli ujana una raha..bango hoiyeee..mashabiki hoiyeee
2024 and still nostalgic
The legend,bango bila mzee Ngala si bango utamu mtupu.....kiuno 2
Kbssa bila jasho.. Ndio zanliwaza huku Qatar
I can say bango is our identity as the mijikenda community❤️🔥. Bango sio bango Bila Ngala Family🔥… the saxophone in bango is just the whole vibe that u will never get anywhere on this earth🤌🏽. #bangoforlife #mpakachee #specialrequest #unanikumbushabarsheba #bangobilawewesiobango. Much respect 🫡 🇰🇪❤.
Usitufungie nje.. mimi wako 'MLAMU WA TARARE"
Wako wapi wale bango addict..... Machero ndauka nitamtamani kipenzi bie nitamtamani..... Habo habo habo, wee jomba weeeee
Bango sio Bango bila mzee Ngala! Much respect
LOURANCE na LILLY takes me bck when we use to snck school From Dr Kraph Bengo Rabai to Mazeras because of the Legendary Mzee Joseph Ngala...salute mtunguyaz all the way from Turkey really miss my home Bengo Rabai..home of Bango
athman ndeje lawrence passed away last year.
@@victoriatuva9043 so sad indeed may he rest in peace the legend
2024 and I'm here 😎
This is legendary
💃💃💃💃
@@paskalinapa6177 bambika 🤗🤗
@@abel-ds1xl tamu sana
###254-kenya---###255- Tanzania Zanzibar na kanda Africa mashariki kwa ujumla
Niko hapa 2022 ,, jamani nenda nalo sawa ,, stress nitoe wapi mzee mwenyewe ngala kazitoa,, roho katulia sina ata bugda mambo yako sawa or shwari kama bahari🤗🤗🤗🤗🤗😍😍much love bango
2024 ❤❤❤ show love yani buthani
Jamani mzee ngala mwenyewe wanikumbusha mbali. Mwenyezi mungu akupe afya na umri mrefu uzidi kutu tumbuiza.
safi sana, nimekutana na mtoto wake Tanzania
nae ni mwanamuziki mzuri sana he plays saxophone and bass guitar
Kilonga ngala is doing greet in zanzibar
Can't get enough of dis,uuuiiiiih! kweli miaka yasonga.rhumba bila jasho.
Hii imenikumbusha Bakulutu...kaloleniii huu ni mtego najua wangoja kufwatuliwa
Ni mtego wagonjea kufyatuliwa kweli...!!?
Bakulutu hoyee
Waah hiyo nilicheza sana bakulutu
Malindi is our home, loving the music
King of Bango in kenya thumbs up Mzee Ngala.
Hongera pia...!!
Mzee ngala hoye
Mambo ndo haya eti. Reminds me of my brother from a Rabai mother - the one and only Saddam Isele aka Ahmed Hassan wa Mazeras. Our days at Kenyatta University in the 90's made more sense with bango.
Mzee Ngala hoyeee all the best and long life great 🎶🎵
Tuko na Mzee Leo 28th Jan 2023 live at tudor paradise
Takes me back to 1992 when i was a beach operator at Diani. A wilderness experience of some sort. God is great.
Ndani ya Mnarani club back 2016 it was amazing 🔥🔥
All the way from USA. Ama kweli muziki mtamu wa bango halisi ni dawa ya stress. Niusikiapo moyo wangu huzizima kama maji ya mtungini. Hongera Mzee Bango kwa kugusa mioyo yetu. Mungu aendelee kukubariki.
Mzee Ngala wetu hoyeeee.
Mimi pia
Hapo 19:20 Mzee ngala brings back good memories. 2020 here in Georgia USA.🤔
Wapi Wale wa rabai bengo home of bango nipeni Luke
Rabai tupoo sanaaa
Walai ends hizo kifuani hubanduki wacha tu mungu azidi kumpa huyu mzee maisha marefu
Bengo mazera Kalorien mirikinn taveta
❤
Old school bango ndio mambo yote jamani!❣❣..
Hata ww ni mambo yote
Wow!This is when bango wz bango acha xa i.When bango sounds crew wote walikua pamoja Mzee Ngala kina Mozenga,Chai,Sande pojo,Matano Ngao,Manu de bango n lead singer wz Jimmy Ngala.Ni jeri kare kayuya
Yani acha tu
@@dmcngoma4350 Ilikua raha sana
You've said it mbna hawarudi pamoja haw watu wakaturudisha huko hii ndo mizizi
@@stanleytsofa7143 Ata mimi sielewi...wanatukosesha raha
@@catenzeki678 Catherine haha
i seriously need this two to perform before me at my wedding i realy love this
Hi I’m edith, Mariam,s sister , I live in the England now with my English husband but your comment brought a tear to my eye as I miss my beloved sister Mariam so much , thank you for the memories 🤗
sorry
Sorry
it is well
@@sellahotama6213 it is well my sister.
Nasiurudi alaaaar
Sikia utamu wa saxo.LONG LIVE MZEE NGALA😗😗😗😗
Auuuuch my heart.wanachama oyeeeeeee.miss those moment.
Oyeee Sana...!!
Zeituni hoyeee mtopanga
Hongera mzee wetu....
Miaka inasonga sana isee …enzi hizo jamboreee .Duuuh pumzika kwa Amani kaka mkubwa Fadhili outer Barisheba …these songs remainds me a lot about you my brother ..till we meet a gain!
I love bango and I miss Mombasa so much..Mombasa paradise kikambala year 2008-2009☺️✌️
Same to me at mtwapa and mnarani kilifi
Aki Niko free town home kwenye bango lenyewe 😭 how I miss home
Nyimbo za kuliwaza, za enzi za mapenzi ya kuzubaishana yaani enjoyment bila vikwazo wala seriousness. Hayapo tena.
East West Bango is the best....wapi high table Mfalme Rough...Mwinga...Bashir...aitwa
Kabisa Tena
Mzee Ngala himselefu 💪, quite entertaining.
Our culture Our heritage💯🔥🔥🔥🎷🎷🎷🎺🎺🎺🎹🎹🥁🥁
Akurehemu Mwenyezi Mzee wetu Ngala Mwenyewe!!
Team Qatar... Bila jasho... Mama zowea miss those days
Legend of legends.hii mix hunikumbusha bamburi water sport haki enzi hizooo.kare kayuya asenani
Hahaha.... Tuko sote water sport na jamboree
We should hang out with Mzee Ngala and listen to this good music once more..... "Wavuka maji ya Shingo ukitumia fimbo, mwishowe ni wewe.... "
# 254 Zilipendwa
KING OF KINGS
Feeling relaxed and at peace as I listen to bango music....missing home from diaspora
i love bango cant wait to enjoy in Voi on 31st March......
No one, no one like Mzee Ngala mwenyewe.
Yaaani H A K U N A!
Wanikumbusha mjombangu marehemu Hendry 'Karume' kalume mungu amlaze mahali pema penye wema Ameen.. MZEE NGALA MWENYEWE 🎼🎵🎶🎷🎸🎹🥁🎺🎤🔊
Who's around these streets in 2022
miles away from my country and enjoying the mzeeI can't wait to come and enjoy more of it
Need a job 😫
Just loving bango,my memories when i lived in malindi....mashabiki hoyeeeee!!
🎉I admire mz ngala alongside safari sounds at paradise beach Asc those good days heko sana
Japo mwituni kuna ndege wengi,mmoja kama we sioni..
Missing +254.....
Kweli bila Shaka...!!
Natamani nyumbani😢😢.These songs remind me of my Aunt Foleni.May she rest in peace
emily mahero pole da
Nakumbuka pia Nikicheza bango kwake Nyumbani Mwembe tayari hapo 😢😢
10,000 miles away jameni mzee ngala wanikumbusha years back 1999 bango night hapo malindi market village. Memories
Long live mzee ngala our legendary
Mfalme wa bango💕+974.......na miss home jaman.
Acha tuu.. Bango ondoa stres za waraabu.
Kwanini tu huzunike sababu hatuja pata,yataka ushukuru ukipata na ukikosa 🙏🙏🙏
Great singer with such a soothing voice, wonderful saxophonist. Long live King of Bango!
Respect
wonderful too...!!
Bango hoyeee miss home,nakumbuka mambo mengi tu alot of memories with these songs
Mziki bila Jasho
Just amazing 👌👌
Finally we have a collection...nyimbo nzuri !
Oh home...can't wait to see you soon!
This songs made me fall in love with mombasa status grill mtwapa
Wapi Alex Maitha mwanabango mwenzagu kutoka Freretown...!!
takes me since 1998❤❤✔👍
🎉🎉🎉Old is Gold.. Aaaaah mazoea ya moyoni ntashika mtigani mazoea mazoea mpenzi wangu naumiaaa sasa yaniletea majuto😢
I love this compilation... I love Bango music. Mzee Ngala's songs are superb with rich educational content
O
Mzee ngala wanikumbusha mbali.home sweet home254..from Qatar
Haha rudi sis. Mi nita kupeleka oneday .
Bango Oyeee.. Takes back when I used to host Mzee ngala and Jimmy ngala evey Sunday and special nights mpaka chee at Jamboree Msa. I love Bongo
i was there bin one of the shows. It was great and I enjoyed mzee 'and loved his work to date
i miss the very days of jamboree,mtwapa club Naiz on wednesdays,,,lool ujana ni mtamu kweli..
Sunthruru......... mbal c mbal tena iwapo ahadi.....apoooooh
Auch!!!!huu wimbo umemusha goosebumps mziki bila jasho wakati mziki ulkua mziki ...wacha za ckuizi watu wanaruka kama chura!!!
ata zinaboa
Old is Gold
Mitindo huja na hupita but bango ipo mahali pake
Sidi na Tuva utunzi maridhawa Sana good morning...!!
Tamu za maishani.machero ndauka mamaaa huku mbali mwenzenu ndani ya Uswiss. Narudi kwetu Diani mimi....
Bango Bango......smooth n sweet.
Omg God 10000 miles away from home nikiskiza hizi nyimbo najiskia nipeperuke hadi msa ..home.
Nyimbo zime ni kumbusha Rabai kwanina Nzdombo 😁😁😁wachezea bango utalifwata hata Kama liko chini ya mti Mola akusamehe mabaya yako in Sha Allah
Hahaha umeona eeh
Bango songs I love them...😘
Jameni Mzee ngala wanikubusha Bali sana .market village malindi mungu akuweke
Mm pia mamaa ndani ya malindi🤣🤣🤣🤣
I really miss those days,,akina emmah,,
Agwiraye ndo mwenye arichaye ni uzuzuwe.
These are timeless songs - they pierce the Heart. Very refreshing
Dmdleo
I love bango music to the moon and back.
Mazoea ya moyoni nitashika mtigani....
Am in love with this kind of music it's so relaxiive
bango hoyee pliz tuwekee wimbo"karata imeniangukia ilio bahati.......Leo patawaka moto kukinyesha mvua tunatota nayo haloooo!!😙😙😙
Rukia Shomari Iko pahali hapa hio. Kwa hizi live
+Kilichobaki asante nitaitafuta Mola awabariki Ameen
Hizo nyimbo zatia fora saana.
Asanteni...
On Sidi and Tuva you've left me dead brother.
Mbona zanikumbusha nyumbani nyimbo hizi bango bango
Nakumbuka mazoea
Santaaa bango hoyeee
Nakuombea maisha marefu mzee ngala
Love these kinds of music since childhood!
These songs always make me feel marvelous .. when spending my holidays in Mombasa beaches and Rabai weddings
Lol.... Where in Rabai?
That's the voice of pwani naipenda bango