[10.07.2024] - JERAHA LA UCHUMI - KUHANI MUSA
Вставка
- Опубліковано 21 сер 2024
- 10.07. 2024
Tufatilie mubashara -Amrisha Asubuhi yako na YESU KRISTO NURU HALISI NA MUNGU MKUU ALIYEHAI
Tufuatilie Live JEHOVA JIRE TV kwenye King'amuzi cha Azam Channel 006 Upande wa Other Channels na kwenye Startimes Antenna 445 pia UA-cam channel.
#livestream #matendomakuu #mezayamakuhani #kuhanimusa #matendomakuu gospel #jesus #god #bible #love #christian #faith #church #o #jesuschrist #worship #music #gospelmusic #christ #prayer #christianity #deus #holyspirit #godisgood #bibleverse #pray #hope #blessed #truth #grace #scripture #amen #believe #biblestudy #praise
Najiunga na lbada ya reo magonjwa yaniachie katika jina la yesu kristo Amina nipate hitaji la moyo wangu yesu nisaidie Amen
Najiunga na ibada ya leo napangua kila kiziwizi kwenye maisha yangu
Najiungamanisha na ibada ya leo
Nang'oa Kwa jiana la yesu napangua makundi yote kwa damu yako yesu
Mungu akubariki sana kohani Musa nataka msada wako Nina shida sana tu ila kwamaneno na maombi yako nitapona 👏👏👏👏👏👏👏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Nimejiungamanisha na ibada hii ya leo yesu wa ngomeni niguse namimi ninapangua kila kiziwi na kila kizingiti
Amina baba
Napanguwa.kila.kizuwizi.kwenye.maisha.yangu
Ameeen
Amina
Aminaaaa🙏🙏🙏
Eee yesu WA kuhani mussa nifungue
Eemungu nisaidie
Jéhovah tivi
Napangua
Chiba
Amina
Napangua