Ebeneza by Life Church International Choir (Apostolic House)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 бер 2024
  • Umbali tumetoka, na mahali tumefika Ndio maana ninatambua, kwamba wewe ni Ebenezer
    Sio kwa uwezo wangu, ila ni kwa uwezo wako Mahali nimefika, acha nikushukuru
    Eeh Bwana umenisaidia, nifike mahali nimefika Bwana wewe ni Ebenezer, maishani mwangu
    Oo Ninataka Ebenezer, nijenge juu yako
    Ninataka Ebenezer, uwe msingi wangu
    Jiwe langu la pembeni, nakutamani sana
    Jiwe langu la thamani, nakuhitaji sana
    Oo Ebenezer, jiwe langu
    Ninataka maisha yangu, yajengwe juu yako
    Ninataka ndoa yangu, ijengwe juu yako baba.
    Ndoa zilizojengwa juu yako yahwe, hazivunjiki kamwe
    Nyumba zilizojengwa juu yako yahweh hazivunjiki kamwe
    Ninataka uimbaji wangu baba, ujengwe juu yako
    Maana wewe ni sauti yangu, wewe ni uzima wangu
    Ninataka Ebenezer, nijenge juu yako
    Ninataka Ebenezer, uwe msingi yangu
    Jiwe langu la pembeni, nakutamani sana Jiwe langu la thamani, nakuhitaji sana
    Oo Ebenezer, jiwe langu Ebenezer na ngai Libanga na ngai ya talo Oleki...
    Kati na bomoi na ngai Nzambe, nakumisi Yo Moko te akokani na Yo Esika nakomi lelo Yawe Ezali...
    Ninataka Ebenezer, nijenge juu yako Ninataka Ebenezer, uwe msingi yangu Jiwe langu la pembeni, nakutamani sana Jiwe langu la thamani, nakuhitaji sana Oo Ebenezer, jiwe langu Ebenezer ni jiwe langu, jiwe langu la msingi Mahali nimefika leo, Ni kwa ajili yako Ebenezer Mawe mengi yako hapa chini ya jua kuna dhahabu, kuna almasi Kuna mawe hata sijui majina yake Lakini hakutawahi kuwa jiwe kama Ebenezer

КОМЕНТАРІ • 1