BOTI LAZAMA KIGOMA LIKIWA NA TANI ZAIDI YA 120 “MZIGO ULIKUWA NI WA MILIONI 200'

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 жов 2024
  • Zaidi ya tani 120 za mizigo zilizokuwa katika Boti ndogo ya Mizigo inayojulikana kwa jina la Ruchugi 2 imezima katika ziwa Tanganyika eneo la Bandari ya Kibirizi Manispaa ya Kigoma Ujiji mkoani kigoma.
    Boti hilo lilikuwa linasafirsha mizigo kuelekea nchi ya Kidemokrasia ya Congo imezama majira ya 11 asubuhi ya leo wakati ikataka kuanza safari yake na kusababisha hasara kwa wafanyabiashara.

КОМЕНТАРІ • 41

  • @lameckmichaelmagazi6345
    @lameckmichaelmagazi6345 3 роки тому +2

    Waacheni wawekezaji msiwabuguz🤣🤣🤣🤣🤣JPM tutakukumbuka😭😭😭

  • @phillipmatola6964
    @phillipmatola6964 3 роки тому +6

    Bola hawajafa watu.... Hela itapatikana tena

  • @rithakuyala9951
    @rithakuyala9951 3 роки тому +1

    Poleni sana

  • @EmmanuelMajele-ny2hk
    @EmmanuelMajele-ny2hk 5 днів тому +1

    Mzee wamiwani anaongea kama baba levo nani kaona

  • @jumakalukule5312
    @jumakalukule5312 3 роки тому +1

    Aisee poleni sana iyopesa nyingi du

  • @levocatusgatu4295
    @levocatusgatu4295 3 роки тому +1

    Poleni sana watejaa wanguu ndo changamoto ktk maishaaaa

  • @mariamsuma3003
    @mariamsuma3003 3 роки тому +2

    Duuu polen sana yarabii

  • @hassanmsipi4094
    @hassanmsipi4094 3 роки тому +2

    Daaah!!!! Polen sana jamanii Mil200 ni nyingi sana

  • @emanuelmoshama3899
    @emanuelmoshama3899 3 роки тому +3

    Uyo jamaa wa kwanza anaongea kama babalevo

  • @surujajwie4768
    @surujajwie4768 3 роки тому +2

    Poleni saaan jaman kwza nilivo som akili ilifika bali nikajuwa watu

  • @aishachambo3293
    @aishachambo3293 3 роки тому +1

    Poleni sana

  • @eenpaard3915
    @eenpaard3915 3 роки тому +4

    mzee maguu angekuwa ashafika

    • @mrgeorgeisdory5277
      @mrgeorgeisdory5277 3 роки тому +1

      Mama yupo busy na makwalidee
      Mama shukrani 🙏

    • @pcazzo22
      @pcazzo22 3 роки тому +1

      Kama.ingekuwa Mwanza angekuwa ameshafika ... majanga yalikuwa yakitokea kwa wengine nje ya Mwanza hakuwa akienda na walipokuwa wakichangiwa pesa kama wahanga wa tetemeko la Mkoa wa Kagera alikuwa akizitia ndani kwa kisingizio kuwa "serikali haijaleta tetemeko"...
      Bado tuna kumbukumbu!!!!
      🤔🤔🤔

    • @ramlamburi9743
      @ramlamburi9743 3 роки тому

      @@pcazzo22 aahh!! Hii naikumbuka, Allah amsamehe.

    • @pcazzo22
      @pcazzo22 3 роки тому +1

      @@ramlamburi9743 Mungu na amsamehe akiona inampendeza, lakini wapambe wake wasije hapa na kutugeuza kuwa sisi ni wajinga tusio na kumbukumbu.
      Kuna mambo mabaya mengi sana yaliyotendeka ndani ya miaka 5 iliyopita ambayo kwa kweli yameacha MAKOVU mengi na makubwa.
      😏😏😏😏

    • @subiraharuna1737
      @subiraharuna1737 3 роки тому

      Poleni sana ndugu zangu

  • @zuhuramuhanga5400
    @zuhuramuhanga5400 3 роки тому +1

    Hizo nipesa zimeanikwa au macho yangu tu

  • @yahyahamad1802
    @yahyahamad1802 3 роки тому +1

    Watafute pembeni wapi mbona majibu yako mhe hayana afya?

  • @muzyexperience
    @muzyexperience 3 роки тому +1

    😭😭😭😭 poleni Sana Mungu awe na nyinyi hakika mpat Nguvu

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 3 роки тому +1

    Subirini kwanza tupo kwenye ndege.

  • @levobabuu1512
    @levobabuu1512 3 роки тому +3

    😭😭😭 poleni san kwl

  • @sophiamfikwa7340
    @sophiamfikwa7340 3 роки тому +1

    Duuuu poleni sanaa ndugu

  • @mokhimji
    @mokhimji 3 роки тому

    Wabunge wenu miaka za nyuma walikuwa wanawatetea mabeberu... kumbe kigoma kuch nahi eh?

  • @kadofresh4132
    @kadofresh4132 3 роки тому

    Mi mkuu wa wilaya sjamwelewa

  • @filbetkalembe2806
    @filbetkalembe2806 3 роки тому

    Akili hauna pembazoni kuna usalama gani

  • @halimaramadhanimwevi2472
    @halimaramadhanimwevi2472 3 роки тому

    Hapa kuna tatizo kubwa sana . Maana huyu mheshimiwa anajikanyaga tu, hatoi maelezo sahihi ya kutatua tatizo lillokuwepo , mama SAMIA uje uyaone na ya huku KGM

    • @rajabuibrahim8811
      @rajabuibrahim8811 3 роки тому

      kma upo sahihi kwa asilimia 50 koz anasema kuwa kma boti haina mzigo bas itafute pa kupaki mpka ipate mzgo sasa unajiuliza kwel inafaa hiyo au meme sijamuelewa mh

  • @arafahhh5574
    @arafahhh5574 3 роки тому +2

    Hayo maelezo hayajatosheleza kwanini bandari haijawekwa sawa

  • @alexbenedict5378
    @alexbenedict5378 3 роки тому

    Dar

  • @manungda9955
    @manungda9955 3 роки тому +1

    Safali au Safari 😏

    • @pcazzo22
      @pcazzo22 3 роки тому +1

      Inatia sana hasira watu WANAVYO NAJISI lugha ya kiswahili... yaani nimegundua watu wengi sana hawajui tofauti kati ya R na L wanaona ni sawa tu au kati ya Z na DH... wananikera mpaka basi lakini anyway ndio matunda ya shule za kata.

    • @swahiliwithdavid5910
      @swahiliwithdavid5910 3 роки тому +1

      Inatia moyo kuona Kuna wadau Kama nyinyi mnaoumizwa na matumizi mabovu ya kiSwahili. Yaani mimi hukerwa Sana haswa na hawa waandishi was habari wanaotumia lugha mbovu au ya mitaani wanapohabarisha umma. Nadhani suala la uweledi limekuwa bidhaa adimu siku hizi. Ukija huku kwenye sehemu ya maoni (comment section) nako unaweza kutapika ukiona jinsi watu wasivyojua kuandika lugha yao wenyewe. Inasikitisha Sana!

    • @manungda9955
      @manungda9955 3 роки тому

      @@swahiliwithdavid5910
      Mimi huwa najiuliza mwandishi wa habari kama huyu amepataje kibali ya kufanya kazi hii wakati lugha hajui vizuri?

    • @manungda9955
      @manungda9955 3 роки тому

      @@pcazzo22 Kazi kama hii unahitaji umahiri wa lugha wanaudhi sana yani