Bwana yesu asifiwe je ukiota mvua imenyesha lkn imeleta mchanga mwingi Sana na then unatembea njiani unakutana na watu wengi lkn kunakuw na mtoto wa kike anakuona umeshika pesa na akakuambia nipe na mm nkampa pesa Iko na maana gani
Dady naomba unisaidie nimeota napigana na mwanaume alikuwa amekuja kwenye biashara yangu kunifanyia fujo halafu alikuwa amelewa nikampiga mwisho nilimg'ata kwenye mkono mpaka nikatoka na ngozi yake naomba unisaidie baba na mungu akubariki nipo kahama
Pastor uenda ninaota kuhusu mama namwona akiwa amenikasirikia,nikimuuliza kitu ananiju rude ... Juzi amechoma nguo yangu ya heshima...hiyo ni after kumwambia nikiru home nitaenda Ile church... Sielewi sababu ,.. Chenye najua nimemtoa mbali sana hata kama simulitishi, Majukumu ndio mengi,Nina watoto wangu nawashughulikia But mmmmmmmh my mom ni kama Kuna chuki anayo ndani yake na sijui ni ya nini.
Amen my daddy nasikiliza kutoka mbeya nanina barikiwa sana maana mimi tangu nimeokoka naota sana ndoto
Urafiki wa kweli ni Mungu tu
Bwana yesu asifiwe je ukiota mvua imenyesha lkn imeleta mchanga mwingi Sana na then unatembea njiani unakutana na watu wengi lkn kunakuw na mtoto wa kike anakuona umeshika pesa na akakuambia nipe na mm nkampa pesa Iko na maana gani
Amen Mtumishi wa Mungu 🎖
Asanti sana mchungaji kwa mafundisho mazuri
Asañte sana mchungaji
Dady naomba unisaidie nimeota napigana na mwanaume alikuwa amekuja kwenye biashara yangu kunifanyia fujo halafu alikuwa amelewa nikampiga mwisho nilimg'ata kwenye mkono mpaka nikatoka na ngozi yake naomba unisaidie baba na mungu akubariki nipo kahama
Asante sana mtumishi kwa namna unatufunza unatusaidia sana
Amina
Asante mtumishi
Waodokea katika jina la yesu
AMEN GRORY TO GOD
Amen 🙏 🙏 🥰
Asante mchungaji
Amen glory to God
Mm nashukur sana nimejifunzi mengi
Bwana asifiwe Rev. Am very excited to be connected to your channel.
Pamoja pastor niko nakufuatilia kutoka Gulf
🎁
Nakusikiya
@Daye Mukalai barkiwa
@@revpeternjihia Ubarikiwe
Kuota na konokono ambaye ameku na iko na damu inamaanisha nini
36:43 mtumishi umesema ukweli Mimi na mume wangu tulichukiwa hata tukatengwa na jamii hata hakuna aliye furahi kutuona
Pastor uenda ninaota kuhusu mama namwona akiwa amenikasirikia,nikimuuliza kitu ananiju rude ...
Juzi amechoma nguo yangu ya heshima...hiyo ni after kumwambia nikiru home nitaenda Ile church...
Sielewi sababu ,..
Chenye najua nimemtoa mbali sana hata kama simulitishi,
Majukumu ndio mengi,Nina watoto wangu nawashughulikia
But mmmmmmmh my mom ni kama Kuna chuki anayo ndani yake na sijui ni ya nini.