OMBEA HATIMA YAKO//Mwanzo 4:3-7//Mwl Musa Chiwanga.31/03/2024.
Вставка
- Опубліковано 8 лют 2025
- HATIMA ni matokeo ya mwisho katika Kila jambo unalolifanya,yawezakuwa biashara,ndoa,elimu,kazi, mahusiano,Afya n.k Shetani siku zote hupinga hatima njema isitimie katika maisha ya mtu.Usipoomba na Kujikabidhi mikononi mwa Mungu utaambulia HATIMA isiyo ya kwako.
Usiache KUOMBEA hilo jema unalolifanya ili shetani asijejaribu kuharibu mwisho wako ukawa mbaya.
Mwanzo 4:3-7,HATIMA YAKO inatengenezwa kwa Lile jema unalolifanya Sasa.Stay Tuned🤝
Barikiwa
Ameeeni kwa damu ya Yesu tuko huru sasa
Barikiwa sana Pastor
Amen,Ubarikiwe zaidi mtumishi wa MUNGU
Ubarikiwe Sana Mtumishi.
Amen, ubarikiwe sana