CHIRWA AMWAGA MAUA KWA INJINIA HERSI/WACHEZAJI WANAISHI VIZURI KAMA ENZI ZA MANJI/SITASAHAU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 жов 2024
  • Karibu kutazama Mahojiano na Obrey Chirwa, Nyota wa Zamani wa Yanga pamoja na Azam FC ambapo Msimu uliopita akiwatumikia Ihefu FC.
    Historia fupi ya Obrey Chirwa tumeipata hapa ambapo ameeleza kuwa yeye amewahi kupata mafanikio Kwenye Soka kuliko Wanchezaji wengi.
    Chirwa ameeleza kuhusu Ubora wake akiwa Uwanjani, na mambo ambayo hatayasahau wakati akiwa Young Africans.
    Pia tumefaham kwanini Obrey amekaa Tanzania Muda mrefu takriban Miaka 9 ilihali ameshazitumikia Timu kubwa za Tanzania.
    Pia ametoa Ushauri kwa Clatus Chama juu ya Tetesi za kuondoka Simba.

КОМЕНТАРІ • 16