Mama Jimmy umefanya kazi mzuri tena muhimu, imesidia watu wengi hata wale hakua wanajua. Maisa mashambani unajua na unaelewa. Na miaka 2-3 hivi utakua mtalam. Na maisha ya "majuu tutakua tu wanafunzi wako. Asante❤
Mama Jimmy, we all learn each day and don't be discouraged by negative comments but text time switch the fridge off then after cleaning shut the doors switch it back on allow 3 to 5 mins for the temperature to pick up then arrange back your food
Mama Jimmy you are doing very well juu maisha ni ku learn. The only positive advice ni next time don't leave the fridge opened for long,it alters the temperature inside and might spoil for you some stuff. Keep up you are doing well.
The best time ku deep clean ni before restocking wakati food stuffs ziko kiasi that way you don’t have to worry about food kuharibika zile frozen 😊otherwise a good video the Isaiah’s family
God bless you mama Jimmy we really appreciate your work and love your videos naninapenda vile mnashirikiana pamoja
❤❤ friji yako iko vizuri mimi yakwangu ina maji tu na kiporo ya jana😂😂
U are doing well mama jimmy...napenda vile ww huka kwa utakatifu may God bless be with your husband for inspiration to many ❤❤❤❤❤
Thanks for showing our people how to keep fridge clean and for food inside it , and to have teast good
Mama Jimmy umefanya kazi mzuri tena muhimu, imesidia watu wengi hata wale hakua wanajua. Maisa mashambani unajua na unaelewa. Na miaka 2-3 hivi utakua mtalam. Na maisha ya "majuu tutakua tu wanafunzi wako. Asante❤
Thanks ❤🥰
Mama Jimmy uko sawa unafanyanga usafi kwa nyumba yako kuna wenye hawafanyi
Mama jimmy keep it up you are doing good work we are also learning from you.
U actually taught me sth mama chimmy thanks nitakuwa nikisafisha sasa😅
Mama Jimmy uko na familia in kupenda sana. Godbless you all ❤kenya 🇰🇪
Akii ww mama Jimmy fanya zako tu usafi uko sawa ❤❤❤😂
My favourite channel I love the consistency ❤❤
Aki I love this family ❤.Next time mtufanyie house tour 😊
Tabby❤ nipitie pia
Mama Jimmy kama utatumia vinegar unamwaga kwa maji, maoni yangu tu
Kwa raha zako mama,👌
Good job Mama Jimmy..next time switch the fridge off while cleaning
😂😂😂😂😂
Okay 👍
Great work .. consistency is the key
Good work, mama Jimmy.
Mama Jimmy ni msafi sana
mama jimmy, i ope fridge nimezimwa before cleaning. usafi ni lazima
you are doing a good job and i love your simplicity
Nipitieni niwapitie pia 😊 tugrow pamoja plz
Done nipitie
Mama Jimmy, do not take in what people say. Do what you are happy with. Worry about what yr hubby may say and no other person. FORGET!!!
Social media haitaki mtu anakasirika juu Kuna watu wengine kazi yao ni kucriticize wengine vibaya...forget about them n focus on good content
Good job mama Jimmy
MAMA JIM usijali comment mbaya watu hatufanani
❤
Watu wa mama jimmy pitieni plz ❤❤❤
Mama Jimmy, we all learn each day and don't be discouraged by negative comments but text time switch the fridge off then after cleaning shut the doors switch it back on allow 3 to 5 mins for the temperature to pick up then arrange back your food
😅 thanks I'm learning too, na vile ninaioshanga ikiwa on, oh oh
Fridge mlango wazi ni super stima charges. Switch off power and thorough clean.Hivi tu ni hasara kwa stima sana
Okay 👍
Mama Jimmy you are doing very well juu maisha ni ku learn. The only positive advice ni next time don't leave the fridge opened for long,it alters the temperature inside and might spoil for you some stuff. Keep up you are doing well.
She literally said she is fast a bit because of that,for the food stuffs not to spoil or melt a lot🤭
Mama Jimmy usiweke ice cream na nyama pamoja separate of contamination
Okay thanks
Upcoming UA-camrs nipitieni guys please 🙏🙏🙏🙏
You doing good mama jimmy am. Proud of you, nice video 😊
Please nipitieni then niwapitie 😊
Done pitia pia ❤
67 pitia pia
Done nipitie
Ni ptieni aki plz we grow together
Mama jimmy npitieko pia
The best time ku deep clean ni before restocking wakati food stuffs ziko kiasi that way you don’t have to worry about food kuharibika zile frozen 😊otherwise a good video the Isaiah’s family
Liz nipitie nikupitie pia ❣️
Ufanye video ya what you cook for supper everday
Na uko na chakula mingi,
Usiangalie watu wanasema nini wewe Songa mbele, Hawa ladies ni wivu wako nayo that's why wanaongea vibaya hawakutaki mazuri