Yani sisi kuna muds tulikua tunawakataa hawa watu adi wengine wanafika mbali kuwaonbea mabaya leo tunakubali wanajua😂kila kitu ni uvumilivu ila kwa lulu mh ngoja tuendelee kuvumilia
Your wish is my command 😂😂😂😂 kuna watu wanapoteza wachumba uku tunaonaa patrick na mwenzie diba wameishaaa😂😂😂 ngja nisiseme ila wachumba wao wamewakosaa
Njoo Whatsap tukutumie filamu hii na nyingine, bonyeza hapa
wa.me/message/CGABVUK7C4SCN1
❤❤
❤❤
@@KAskazini146 apa apa tosha mwenye nko Egypt nakupataje kwa mfano??apa apa
Tuletee na Yolanda please
Mungu aliyeiumba mbingu na ardhi akulinde wewe na family yako awape afya njema na maisha marefu ❤🎉 amen 🙏
Amiin
Amin
Amen
Amina
Amen❤
Team dervis hapaaaaa like za kutosha mmeona kiss au hamjaona😊😊👌👌
Team enzo like apa tujuaneee
Kamuelewa Regina atari lakini ndo hivo kauwogaaa ka wiziiii😅
@@neemageorgesanga4276huo uwoga wake ndo njia yakumsogez regina😅😅😅
@@neemageorgesanga4276😅.9po09llop😊😊
Kama wote
Wanaoamin dervc anamuektia Anna like hapa
Wallah Huyu mwamba Davis anajua kuu act Wallah my favorite in jua kalii FOCUS 😂😂😂😂
Jamaa ni hatareee anajua kucheza na husika mbaya mbovuuu
Sana😂😂😂
Chikuchiku eeeh kunywa ulewe pesayangu nipewe 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mungu akujalie mafanikio mema yeyote unaeangalia video hii
Amina 🙏🙏🙏🙏🙏
Amiiin
Amiin thuma amiin 🙏 kwako pia dear
Amina
Jaman wapendwa naomben like 5 tuu
Henzo anajua kuigiza jmn mpk basiiiii❤❤❤
Jasiri wetu
Chiku anavibe lake nampenda
Chiku chiku kunywa ulewe pesa yang nipewe😂😂😂
@deborahlyelu8292 Hahaha anavyoitoa hadi raha
Chiku alinifrahisha wakati wakujifanya shangaze 😂😂😂😂hatari na yule babuuu
Umeona ee kunywa ulewe pesa yangu nipewe naomba kujua hyo pub ipo maeneo gan jaman😂😂❤
Devis na Anna wamenifurahisha leo 😂😂
Rejina ..Rejina ...unamtafutia nini kijana wawatu😊😊😊
Aki tena 😂
Kijana atachimbwa choo😂😂😂
Amna kama jua kali gonga like wapenzi wa jua kali
Kunywaa ulewe pesa yangu nipeweeee🤣🤣🤣🤣🤣🤣🔥🔥🔥
Chikuu chikuuuu😂
Tulio toka kwa huba tukaja jua kali tujuane❤
Tumefika 😅
😂😂😂
Na mm😂😂
Huba huwa siielewi natamani mtu anieleweshe
Tumekuja huku
😂😂😂 sema unafki wa tomas na mama semeni ni mzuri sana alooh weeh😂😂😂
Umeonaeeeeh! Tena umeenda shule una shahada ya uzamili...
Ume sahau Maria kwa uongo😅😅
Uyu ana jameni🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Bwana Yesu asifiweeeeeew
Amina
Amina
Amina
Ameeen! Ameeen! Hallelujah!
Atafiwa na nani Tena??
Felix na baba ake😂😂😂😂 mijinga miwili
Part ya Davis na Anna inanivunja mbavuuuu😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Yani sisi kuna muds tulikua tunawakataa hawa watu adi wengine wanafika mbali kuwaonbea mabaya leo tunakubali wanajua😂kila kitu ni uvumilivu ila kwa lulu mh ngoja tuendelee kuvumilia
Mi nahisi felix analake jambo pia ..anamnafikia tuu babaake Tomasi
uo ni mpango wa tomas ndo anacheza na akil ya felix na maria
Nice dj🎉🎉🎉
Enzo na mwenzio kama mnatakana ingieni deep kiwake umo ndani,,tumechoka mnavotuzuga
😂😂😂😂😂
😂😂😂
Kila mtuu kampenda Mwenzie
Ak wananii tu😂😂😂
😂😂😂😂😂 wanatuzungusha😂😂😂
Mam semen mbea jaman🥰🥰🥰
Imependa ruby alivoimba nyimbo ya juakali
Mungu ibariki Tanzania
Ameen na watu wake pia
🎉 Asee ila tomasi achatuu
Pombe siyo maji Tena Kwa mwanamuke
Jua kali ntakupenda ivo ivo. Nashndwa pakucomment😊
Yaan juakali ni familia watu wote wanajuana humu ndani
Mpk ana na soph
YAANI tomasi
Thomasi mbona kapotea 😅😅😅 kama jini😅😅
Chiku chikuuu....😅😅😅
Enzoooo❤❤❤ nataka mfall na Regina bila kikomo 🎉Ann hiyo kiss kwa Devis imenisitua😂🎉🎉
ana na devis wnachekeshaa😅😅
Ila natamani kuona mwisho wa Thomas maana sikwa unafiki huno😂😂😂na mwisho mwanae pia atamgeuka 😅
Dj❤❤❤🎉🎉🎉🎉Leo hakuna tsngazo
Huwa sipendi wanaume weupe ila uyu Enzo jamani 😢 he is so cute
😢 sio cute ni handsome
Freak ww unamuaminia sana madivuu. madivu ni nyoka ujuwea. nautaona mwesho wake
Ilike jua kali❤❤
Maria jua lake mwaka huu 😮😮
Thomac mnafk mkubwa
Ewe mung jaalia mimb ya maria itoke amiin
Isitoke maana ikitoka atapona watakosa ushahidi wa ushetani wake 😂😂😂labda kama hutaki aumbuke
Roho Mbaya iyooo
DAVIS scene ya kujifanya kalewa mmmh
Madevu kitamlamba ajikute hana bahati duniani
Wewe Tomas mnafiki sana muuwaji
Hi sehemu ykulewea wangeniwek mimi 😂....lamata ucngejuta knijua
😂😂😂
😅
Hata jina linaonyesha asingejuta😂
Ungekiwasha😂😂😂
Jua ni kaliiiiii jmn
Tunaomuonea huruma henzo tupungiane👋🏿👋🏿😂
Mie ndo ninaondokaa hivyo
Huyu Felix Bado anakisasi pia na baba yake, huko mbele ataharibu Kila kitu....Niko pale nimekaa😂
😂😂😂😂Anna devic jamani😂😂😂😂
Huyu mama semeni huyu , 😮yaanii yy 100% anajua Enzo Wana usiano na madam
Kunywa ulewe pesa yangu nipeweeeee😂😂😂chezea chiku
Msijifanye hamjaona uyo dada aliyevaa gauni jeupe jua kali baa kampa busu mpz wake harafu kainuka yeye kaenda mwenzie haliye vaa gauni jekundu😂😂😂ila jua kali bar
Nimeona 😆😆😆💔🚮
Kasalitiwa 😄😄 had kwamba anampa wine yake demu mwenye nguo nyekundu anywe ila mabiefuefu
😂😂😂😂 Yaani Leo nimecheka et atasaini Regina 😂😂😂
Madevu mjinga sana, Mimi siwezi know share Demu na mwanangu
Kunywa ulewe pesa yangu nipewe chikuuuuu 😂😂😂😂😂 ujue umeweza
Jmn jua kali si taman iishe
Ruby 🎉🎉
Enzo kapole kenyewe hadi raha❤
mbona kama thomas kapotea kama jin😂😂😂😂😂😂
Machiziii wawiliii wamekutana kwa chikuu🙈🙈🙈
😂😂😂😂
Felix na tomas wallah mbing mtaisikia tu
Anna muogope mungu kufanyia hivo mtoto wa mwanamke mwenzio Ovyooo😃😃
Jinga san hili atakuj kujutia sana
Jaman Kuna watu wanafki sana like Thomas kama amesomea
Litamkuta jambo jamaniii
Na mama semeni nae 😂😂😂
Ila kuigiza umelewa ni kazi cheki Davis anavyo ongea 😂😂😂🙌
😅😅😅😅😂
Mnaraukaaa🎉🎉
Aki Thomas kwa unafki SHKAMOO😂
Nami leo wakuweza jaman
Wakuweza nan
Amazing
Frenk madevu anakuchora tu uyo
Nyie mbona Thomas kapotelea kma jiniii😂😂
😂😂😂Kumbe na wew umeona ee
@@jenipherangelo1740 ee nkashndwa kushangaa ikabidi niulize 🤣🤣
Si diba atokezee hapa aje ajeajionee mambo ya Anna mazeengo
Wow🎉❤
Ila Enzo nyie anakautamu flani ivi
We acha tu yaan
Mtu namume mwenziw tomas na frenk
Ukisikia baba jinga ni Thomas
Uyo uyo Ndiy anakukosesha rahaa uyo mutu mubaya sana 😮
Enzo unafel wapii😅😅
Anna na Davis leo mmenikosha sana
Mwenye ameimba hapo mwisho ni ruby
Mtu mwenye amenisinya kwa jua kali ni madevu yaani mnafiki sana huyu jamaa
😂😂huoni unafiki wa maria😅😅
@@fatumariziki7276shangae na wew 😅
Na mama semeni nae😂😂😂
Mama semeni mbea 😅
😢ila devis anajilazimisha tu kumfurahisha Anna cz anamuonea huruma tu cz situation aliyonayo nimbaya😅
Mh Mary acha wivu basiii😂
Davc unakwama wap jaman unamuumiza anna
Zaman nilikuw nawapend bill na eva nw anna na devis😂❤
Huyu mganga wa diva leo kanichekeshaaaa😂😂😂😂
Anaaaaaaa😂😂😂😂😂
Davis kunamda anasahau kama amelewa
Your wish is my command 😂😂😂😂 kuna watu wanapoteza wachumba uku tunaonaa patrick na mwenzie diba wameishaaa😂😂😂 ngja nisiseme ila wachumba wao wamewakosaa
Wapumbavu wawili wamekutana kwa chikuuu😂😂😂
😂😂 et wapumbavu wawili😂😂
😂😂😂😂😂kbs
😅😅😅 Kabisa
@@happynesssamwel4249 weee unavoona Kuna akili humo 🤣🤣🤣
@@KhadijaTwaha-z3t kwakweli humo kuna makopo2🤣🤣🤣🤣
Chiku chiku kunywa ................
Devs hawez kuekt mlev
Hyu FRANK jau sana ,had kero.
Thomas anajua mipango sana sijui kama atafel
Hee jmn kumbe kuna jua kali bia na hamsemi😅😅😅😅
Ila hii juakali inaniboa uhalisia hakuna😮😮😮
Ningepend diba kwakujinyoosha Kwake aende kwa chiku pumbavu zake
Anna na devis leo mmenichekesha😂😂😂😂
Kam michizi vile 😂😂😂🤣🤣🤣