Wow!! Lil Ommy.. I am a huge fan. The way you ask your questions. It shows that you do your homework before interviewing an artist. your questions are so detailed and on point. Big up
Poleni wote waliopata shida kwa VIDEO hii, mtu wangu wa UA-cam ameweka hiyo. Hata hivyo Kulikua na TWEET iliyosambaa sana ikionesha Shinski anasema Diamond Hawezi kumake Hit song, lazima kama Jornalist tuipatie majibu kutoka kwake na ndo nilichofanya amefafanua (Clarify) so inabidi kusikiza interview yote ili kuelewa. Pole sana na furahia tunachofanya, asante kwa mchango wako.
Watanzania wenzangu, mnatabia ya kusoma title mnarukia conclusion! Huu ni uzembe mkubwa sana, Nyashinsky hajaongea hayo matope instead amemwelezea Diamond positively... Ila mapovu yenu sasa, hadi aibu!
Watz kabla mropokwe sikizeni full interview..Mjinga tu ndiye ataropokwa kabla ya kuisikiliza full.Nyashinski ndie Michael Jackson wa Kenya..tunampenda na kumheshimu...10yrs
Am from Tz nilijua tu sio rahisi somebody like Nyashiskii to talk sheet this guy is humble just like his Musiq Budda be blessed Bro all way up...
This is the only remaining musician in Kenya... the best artist in the region today... long live Nyash
Nyashinski ni mzito.. Mentor wa wengi bana.. Including me.. #Team Shinski for life💯
Nyashinski I really love YOU bro keep it up
LilOmmy much love from Kenya nyashinski ni king wa mziki ya Kenya
Wow!! Lil Ommy.. I am a huge fan. The way you ask your questions. It shows that you do your homework before interviewing an artist. your questions are so detailed and on point. Big up
I love Nyash beyond explanation.
Nyashinski is a cool guy..wish to meet him someday😍
Lil Omy your way of asking these questions is just on it's own level. Kizazi sana
Makaveli Reborn inlive with the Kizazi sana nimependaa mnoo..nawapenda majirani zangu waK kizazi sana
Haya!kwani kuna watu hawaelewi kizungu hapa😉big up shinski👊
Nyashinski is the best,,humble and talented,,
Wenye mnaropoka mjifunze kuskiza before kuongea..
He has a good voice by the way
Beautiful shisk....
Massive Enterview
Proud of you great Nyash
This dude namuelewa sanaa East Africa love 👉 realshinskiy
Im from Kenya na nakubali kazi ya Lips denda one love for my Tizi friends
Chai Lee one love
Respect sana kwa Nyasyy.. Anafanyaga poa kinoma
Great .... The MVP
Great interview 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Lilomy, your going places, uko lit na interview
good good sana mzee baba Nakukubali sana ki noma noma
Penda sana wewe😘😘
Hayawani😘😘
Nimekuelewa kaka u are the best 2 me
This man knows how to interview people big up
Kabisa. Kwanza introduction.
mzAzi huyo king in bongo land
Poleni wote waliopata shida kwa VIDEO hii, mtu wangu wa UA-cam ameweka hiyo. Hata hivyo Kulikua na TWEET iliyosambaa sana ikionesha Shinski anasema Diamond Hawezi kumake Hit song, lazima kama Jornalist tuipatie majibu kutoka kwake na ndo nilichofanya amefafanua (Clarify) so inabidi kusikiza interview yote ili kuelewa. Pole sana na furahia tunachofanya, asante kwa mchango wako.
LilOmmyTV sasa braza si unaedit tu unaweka sawa au utasema huna password 🧐🧐🧐
Wajina umezingua
LilOmmyTV tumekusoma mzeee baba
Ni sawa ila haitoshi.. Rekebsha heading.. Coz sio wote wanacoment wamechek full interview..
Badilisha heading bro...
LilOmmyTV nakuelewa but hapa utadanganya tu Watz....Wakenya si wajinga .anyway umefanya poa umeedit
They are all African and doing us proud let's support them and not compare them
from +255 shinskiiiiiiiii nakuelewa kuliko hata chakula akii
Shocked that Tanzanians read the title wakafura kuliko kaimati
Oganga Khadudu haha nikama mabuzi
MVP tafuta Shinski kwenye PLAYLIST Abonyeze ngoma tano. Hii haijatosha,kuna mastory kibao bado hatujapata. MVP
Interview qaliii bro higher quality bongo to Kenya blessed....
Mi kwanza acha niseme namuona Nyanshisiki pekee.... # kwa wale fans wake acha tummwagie 👍ama niaje
THE REAL KING!!
%nakuelewa sana mzee baba ujawahi niangusha broo
Napenda honesty ya shinski. Yeye amekam kuona Ross kama shabiki.
Guyz from tz ..Oneni full interview kabla ya kuropokwa .. Shinski amesema he respects Diamond so much.
Tell 'em
Jxm K who cares
NYASHINSKI NI MOTOOOO
The host is a good interviewer lovely did your homework please don't ever interpret or write your interview or yet fire your editor good job
Wabongo mwapenda ubishi sana..... skizeni full interview mwanzo kabla ya kuropokwa
nakupenda sana ile kitu ya bebi bebi
Umetishaa Nyashinski
Good interview 🔥🔥🔥
Hapo hakuna vita wala beef its a very humble interview
Watanzania wenzangu, mnatabia ya kusoma title mnarukia conclusion! Huu ni uzembe mkubwa sana, Nyashinsky hajaongea hayo matope instead amemwelezea Diamond positively... Ila mapovu yenu sasa, hadi aibu!
kizazi ommy pia salutee nyashiski
I personally I have gat your point shinski
Dkens Mo Pain Same isee,I wonder why people take it negatively?
You know some pipo never went to school
They were always sick 😂😂😂
wengine hata wajaview video yote kucomment tu 😂😂😂
Kenyan we r humbled people's
ujinga na umbea na makiki waliachiwa watanzania
Kiswahili ya uyo mtzed iko fiti ako sawa. Na ni kweli ukija Kenya huwezi kosa taja Nyashinski
Real shinski amemkubali mondi aiseeeee
U better listen till the end #EAST AFRICAN UNION AM FROM TANZANIA ....
LIKE HAPA TWENDE SAWA
much respect u...sweetie
Watu hapa hawana mbs..... Zao ni ku. Comment tu upuzi😂😂lamba lolo
Tatizo lenu mnacomment tu bila kuelewa.... Amesema ana mkubali Sana mondi na hio tweet haikuwa yake. Washamba eleweni ndo mcomment not!
@RealShiski Man You are the Illest🔥🔥🔥🔥
Yaaani Nyash rudi 🇩🇪 utupe concert nyengine Baba yao
Nimekuelewa sana nyashisik
You guys??The model from Kenya!! That model from Kenyaaa!!!! Aaahhh ha ha haa, am just happy
woooooowww we love you too
Mwanamuzi wa Kenya ambaye huwa sikos nyimbo zake kwa playlist yangu
From Tz nakukubali sana
RealNyashie 🔥🔥🔥
Very civil guy
Got your point nyashi
Namkubali jonijoo then lilommy anafata
Noma
Watanzania hata hamjaiona interview mnaanza kelele
Nop the Man clarify that tweets was not his...he's so thankful for Diamond ...Tatizo hata hamuangalii mnakoment tuu..😂😂😂
Zachaa Mtani you understood it very well
Wow!! I'm so grateful for ya Comment that
's why I never regret to be by Your side let me call my people for more subscriptions...Iam A fan
Watu wana bando la kubeep tu, hawawezi kuangalia clip yote, ndo maana matusi kibao.
Big up bro
Hii subtitle ni ya interview gani asking for a friend..?!😀
Tz mnawanga na ushamba sana mtz mjanja akikam Kenya anawanga mshamba Wa uku
broo uko sawa
Nyie waandishi wa habari bbn...daaah sio kwa vichwa vya habar hivyoo😂😂🔥
tanzania kizungu shida
Watz kabla mropokwe sikizeni full interview..Mjinga tu ndiye ataropokwa kabla ya kuisikiliza full.Nyashinski ndie Michael Jackson wa Kenya..tunampenda na kumheshimu...10yrs
hatumjui huku ila nyie simba mnamjua
Andrew they ati hamumujui na ndie tunaongelea saa ee
charles Ndungu fal t na ww
We Charles mbn mnafiki sana?????????
suhneri khan kwanini
We msenge sana.....lil omy tufiakwa!!!!! Hata nimeunsubscribe hii channel yako
Nyanshisk uko good saana so kazana ili umfikie diamond.#Hayawani #Malaika.........#Africanbeauty
Winnie Mwasenga nyashinski alihit kutoka kitambo akiwa kleptomaniac
kizaziii sana
Omba collaboration na mnyama mnyamani,inamjua diamond platnum
Nilitaka kumtolea mapovu ya omo ila nilipomsikiza sikuona tatizo😁😁😁
Good
humble shiski..
From tz.....respect for nyashinski all the way
Nitakua kama Shinski siku moja subscribe to my channel kama unawatch
Guys open the video and watch the full interview sio kuchepuka tu juu ya headline!!!!!puga😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏
Ati puga heheheheh
huyu jamaa ni mnoma sana namkubali kinomanoma
WAP mnaocomment bila kuangalia had mwishoo...😂😂
dope
Like shinski
OK,nmekuelewa. Ucjikologe ww Fanya kazi utatoboa
Nyashinski ni legend anajua sanaa tu don't start creating mabifu ya kijinga lil ommy badilisha title
Skip to min 9:24
Title imeleta diplomatic crisis
Ok meisoma hii kmumbe gud 2
Lilommy nakukubali lkni kwa hio title nakuona kma unatafta views in any way possible...misleading titles
Adi Nyashinski amekubali intro
Mm ni mtanzania, nyashinski ni mkali Sana ni angekua tz tungempa kiti kimoja na Ali kiba
Lengay Maida sawa kabisa kwaalikiba anafanana lkn simba bado hajazaliwa wakufanana nae east yote hii
Na angempakata kiba
Lengay Maida mpe tako basi
Lengay Maida ww ni chupi hujui kitu
yes ni kweli
Maturity
Why is that guy twenging???,the interviwer
Tume kuelewa bro
Jamani pls msikikize kadi mwisho sio kucoment ki2 kama hujaelewa jaribu kurudia kutizama hiyo interview
Hiviii nyie matako mnaomdiss nyanshiski mmeckiliza full interview????