Assalam waaaleykum natafuta studio ya kurikod qaswida huku Zanzibar sijui inapatikana maeneo gani maana mi mgeni studio za dar nyingi zinarikod singeli tu
Kila ana sauti yake aipendayo kama hata Sheikh Juma Faki alipoulizwa akiwa na Zinjibar tv kuhusu sauti aipendayo sana alisema hiyo hiyo. Kwanini umhukumu huyu tu
ust hafidh nakuomb nitungie kasda ya ramadhan mm kama mshabiki wako kipenzi❤❤❤
Weeeeeeeeeeee ustadh sauti Mola amekupa huna budi kuitumia vilivyooo ujumbe umefikaaaa huna bayaaa huna bayaaaaaaaaa❤❤❤
Mashaallah,Ahlu Madina mji umepoa qasida hakuna Tena Kuna mipasho tu ,Rudini majini
Ahsnt sheikh hafidh kaswida mzr mungu akubarik na doctor mwinyi aampe moyo wa uvumilivu pia
Shairi limepitia ustadi,Ufundi,punched,emotions etc
Big Up Mkufunzi She Khafidh.
Unajua mashallah endelea na kazi yako
Wallahi kama mm shabiki wako naomba laddha hata 1 tu mwamba wang shekh hafidh mpo wengi lakin wwe ni namba 1 ❤❤❤❤
Mola awabariki kwa kazi nzur , mashallah
Mungu ampe Subira Dr. Mwinyi
MashaAllah ❤❤InshaAllah very soon nita mtafuta anitungie qaswida ya wedding yang InshaAllah ❤
InshaAllah allah alifanye kabur lake liwe ni miongoni mwa wale watu wa pepon ....afu umepotea saana ust hafidh twamisi kaswida zako walai
mashaallah ust hafidh ww ni noma sana❤❤❤❤
😢😢😢 mungu amrehem inshaallah
Nzuri,mejitahid sana,ata msijali majungu🤝
Hongeren ma broh
Hongereni ahalulmadina kwakazinzuri sana mula amrehemu mzee wetu❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Hivi jamani mimi niulize shekhe hafidh amesha rudi ktk kaswida
Shekhe hafidh unajuwa mungu akubariki lakin ulipo ondoka kadiri umekufa
Alale pema penye wema amiin poleni 😢
oiiii hii team ya hafidh ni kali sana
Ila kweli kaka umefeli wp tumemiss bwna hebu tupo jabo Albam 1 au kitu Kimoja au viwili
Mashallah
Sheikh hafidh ni wamoto sana hapoi
Ust afidh kweli wew auna mbya lakin why umetutenga san tunaomba album mpya bas mshabik zako tunasubir qaswida
Musijali mambo yapo jikoni kuwa nasi G video channel utatupata kwakila qaswida mpya zijazo
Pia ww g mbn tuliwaona mnaandaa video za aqaz album mpya lkn naon kiiiimy
Aqaz tulipata msiba w meenzetu Marhem Beka thabit tukaona tutulie kwanza lkn ipo njiani
Aaaaaa oky tulisikia.... Polen cn
Mashallah 🤲🏻
Masha Allah
Mashaallah😊
Assalam waaaleykum natafuta studio ya kurikod qaswida huku Zanzibar sijui inapatikana maeneo gani maana mi mgeni studio za dar nyingi zinarikod singeli tu
Zipo nyingi sana
Alipaswa kuimba hafidh pekeyake maana sauti yake nizahabu
Maalim ni mmoja tu
Nimewamis jmn ahalmadin
Ujumbe mzur deni kit muhum
Shkh Hafidh huna mmpinzani mana vitu vyko vunagusa myo
Maashaallah Maashaallah
Hivi kwann unakuwa na sauti hiyo hiyo kila qaswidaa
Mashallh
Kaka huna baya
Nikweli albamu hatupati tena na ww ndio ulioazishia kisha watupotea
Hahahahaha usjli kiongoz utafrah
❤❤❤🎉
Hiv jaman mimi niulize shekhe hafidh amesha rudi kwenye kaswida
Ndio amesharudi
Sawa
Kaka unafel wap tumemis ladha zako hebu twaomba japo 1 utuletee
Usjali kiongoz mambo mazur ynakuja
Upuuz, na,njaa, pumbav zenu
Katika dunia msipokuepo watu km nyinyi dunia haiendi kwahio tushawazoea.
xxx
Xxx
Jaman huyu Sheikh Hafidh hajuw kuimba kwa Sauti nyengine isipokua Bayat tuuuh???😂Bora Alfannaan Makono kuliko yeye!🙈
Hivi unadhani sauti hii kila mtu yupo nayo
Kila ana sauti yake aipendayo kama hata Sheikh Juma Faki alipoulizwa akiwa na Zinjibar tv kuhusu sauti aipendayo sana alisema hiyo hiyo. Kwanini umhukumu huyu tu
Hiyo ndio upekee alionao hafanani,pongezi sana Kwa kasida nziri hii ila jitahidi itupatie nyengine ya sikukuu
kila mtu kivyake
Hizo maqam nyengne imba wewe tu
Mashallah