GLADNESS ATOKA NA WANAUME WAWILI KWA WAKATI MMOJA,AWAPIGIA SIMU"NIMESHINDWA KUCHAGUA NAWAPENDA WOTE"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 вер 2024
  • WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

КОМЕНТАРІ • 187

  • @Tariq_Tryagain
    @Tariq_Tryagain 3 роки тому +8

    Shout out kwa duwe santana na thisisaaliyaah na refresh kwa ujumla na wasafi media kwa kazi nzuri🤝👏👏

    • @raydanfrenk
      @raydanfrenk 3 роки тому +1

      Auko vzr kwaiy Apo umejifunza nn

  • @florencekaranja8736
    @florencekaranja8736 3 роки тому +3

    I salute u gal.......haya mapenzi kweli ya tatuonyesha mambo

  • @husseinshabani9522
    @husseinshabani9522 3 роки тому +8

    Moyo Umesimama. Kwa Hofu!!!!!Hii Dunia si mahara Salama kabisa... Dunia iko Ukingoni kabisa.Allah Atujalie Mwisho Mwema In sha Allah.

    • @reubenkissinga5802
      @reubenkissinga5802 3 роки тому

      Dunia ni sehemu salama,,na wala haijafika ukingoni na kamwe haitofika ukingoni,,,Ukingoni utafika wewe na kuwa salama au kutoka kuwa salama hilo ni lako jombaa wala usisingizie Dunia na umuache Allah ahudumie wenye uhitaji zaidi wewe endelea kufanya kazi zako

    • @priscaaron8892
      @priscaaron8892 3 роки тому

      @@reubenkissinga5802 🤣🤣🤣🤣🤣🤣jibu zuri

  • @isamclassique1178
    @isamclassique1178 3 роки тому +5

    Hizo ni raha tu za dunia,,, fanyeni kazi zimpendeze Mungu haki

  • @priyahtz7255
    @priyahtz7255 3 роки тому

    Dah

  • @gerry_macopper3808
    @gerry_macopper3808 3 роки тому +6

    Daaah,,,,
    Dunia imekwisheee wazeeee,

  • @benymathew4277
    @benymathew4277 3 роки тому +6

    Pili kama ni kweli. I appreciate you. Basi chagua mmoja plzzz

  • @valeriachipeta774
    @valeriachipeta774 3 роки тому +4

    Hata mm I wish nipate wawili na wajuane tupunguziane stress maana mda mwngne kuwa na mtu mmoja n stress

  • @kennyrogers4734
    @kennyrogers4734 3 роки тому +6

    Sikutegemea kama Pili atakua hivi kwenye maisha ya kawaida nilijua maigizo tu kumbe ndo maigizo yake ndo maisha yake yalivyo jmn dah dunia hii mungu atusaidie jmn 🙏🤲

    • @monicamushi5192
      @monicamushi5192 3 роки тому

      Pili anawadanganya tuu,,,,huyo n mwanaume mmoja Ila namba n tofauti,,,,,,mnaingizwa cha kike na nyie mnaingia tuu hahahaaa

    • @kennyrogers4734
      @kennyrogers4734 3 роки тому +1

      @@monicamushi5192 Dada unapokua kwenye mahojiano ya nje ya kazi unaonyesha uhalisia wa maisha yako hata kama watu walikunukuu vby unawaonyesha sio nnavyoishi vile mnavyoniona kwenye maigizo ila uyo kweli ameongea mwenyewe hakuna kutudanganya anajidanganya mwenyewe na mungu wake sisi ndo tumeshajua uhalisia wa maisha yake yakoje MONICA MUSHI

  • @D-Man.B-Free
    @D-Man.B-Free 3 роки тому +10

    Tanzania hii ,noma kweli

  • @abdulhakimswaleh8117
    @abdulhakimswaleh8117 3 роки тому +1

    Kusema ukweli hata mm namunga mkono gladness kwa sababu ya kusema ukweli na hajafanya siri amewajulisha wote wawili wakajuana na wakasikizana 🇰🇪👌👍

  • @ayoubmakori8680
    @ayoubmakori8680 3 роки тому +10

    Duuh sjawahi ona hii ndo first time daaah inasikitisha Sana aisee

    • @athumanimhanga2053
      @athumanimhanga2053 3 роки тому +1

      huyuu hafai kuwa msanii anapotosha jamii

    • @ayoubmakori8680
      @ayoubmakori8680 3 роки тому

      @@athumanimhanga2053 maana anaufurahia umalaya wazi wazi daah japo kuna watu wapo wanatmtafanya haya lkn si kujionyesha ivi Mungu tusaidie

  • @jasseifyussuf4671
    @jasseifyussuf4671 3 роки тому +13

    Apewe ulinzi😂😂

  • @ashaissa8813
    @ashaissa8813 3 роки тому +2

    Nimekupenda

  • @jorgettemwajuma5428
    @jorgettemwajuma5428 3 роки тому +1

    👌👌

  • @sarahkimaro75
    @sarahkimaro75 3 роки тому +6

    Huyu ndo chagga girl sasa 😂😂😂

  • @D-Man.B-Free
    @D-Man.B-Free 3 роки тому +7

    Kuwapenda wote?Afu appointment ikiwa same time utafanyaje? Daaah Kumbe bongo movie sio maagizo😬😬😬daaah🤭🤭🤭ntakuja kuolewa na wao,duh,mambo ya ulaya

  • @Jumashadhil380
    @Jumashadhil380 3 роки тому +5

    Pili noma

  • @christinemangaza6303
    @christinemangaza6303 3 роки тому +2

    😅😅😅 nampenda uyu dada jmn ❤️❤️‍🔥😆😆😆😆

  • @hafidhhemed1514
    @hafidhhemed1514 3 роки тому +6

    Hapo hakuna mwanaume anaempenda, mwanaume anakumpenda hawez ridhia uwe na mwanaume mwengine, never!..mabaharia washaelewana hapo washamjaza wanamkula tu, na lazima watakua wanamchukulia poa sn na kumzarau... Wanawake hawatakuja Kukaa kuzielewa codes za mabaharia😀

  • @nazaretimwamba2416
    @nazaretimwamba2416 3 роки тому +5

    🤣🤣🤣🤣 uyu katuchezea tu comédie
    Wamepanga bwana
    Wanaume tunajuana.
    tuseme ukweli Nani anaweza kuchangia demu n'a mimi wasio weza like wanao weza DSLike
    🇧🇮🇧🇮

    • @zeanaabdallah3906
      @zeanaabdallah3906 3 роки тому +1

      Waafrica ingekua nipotezeee husikii hata language zao ni Mambele mzungu atakubali akuache wakat kajitoa mpaka kucha na umeuweka wazi hao watu nawapendaga sema sijabahatika kumshika hata mmoja yani wako real na wanapend uwe mkweli that's 😅

    • @Rose-ue2ho
      @Rose-ue2ho 3 роки тому +1

      Wazungu hao kwao kawaida tuu kila mmoja anamwaga uchafu wake kwenye karo moja wala hawana habari kwasababu in watu wachafu.

  • @allyhamisi6394
    @allyhamisi6394 3 роки тому +3

    Kiyama 🚶🏾🚶🏾🚶🏾🚶🏾

  • @nilufaallyhussein7678
    @nilufaallyhussein7678 3 роки тому +2

    It’s normal in western world

  • @mozasultan5152
    @mozasultan5152 3 роки тому +4

    Kizungu kinapanda kumbe😂👌

  • @benardjaloo5263
    @benardjaloo5263 3 роки тому +4

    Lakini Tanzania wanaongoza kwa kudanga East Africa yote asa wanawake mmezidi.

  • @KoreanDramaMoviesKiswahili
    @KoreanDramaMoviesKiswahili 3 роки тому +2

    🔥🔥🔥

  • @jumakalukule5312
    @jumakalukule5312 3 роки тому +4

    Hahaha etizinaa imekua kawaida kuitangaza m/ mungu tusaidie

  • @emmynyembo3816
    @emmynyembo3816 3 роки тому +2

    Acheni unafki na nyinyi mnaojifanya kushangaa ndio ukute mnawapanga kama treni tofauti yy amesema ukweli na nyinyi mnaoshangaa hamjawaweka wazi😏😏😏😏

  • @ngoshathebest228
    @ngoshathebest228 3 роки тому +9

    Mademu wengi wazur hua wanamabwana wengi

    • @asnabughe4220
      @asnabughe4220 3 роки тому +1

      Uyo ana uzur gani sasa

    • @asnabughe4220
      @asnabughe4220 3 роки тому

      Awe mbaya awe mzur akiamua kufanya uo ujinga anafanya tuy

  • @yasminoluoch169
    @yasminoluoch169 3 роки тому +6

    Huyu ni mtu mmoja anawazingua huyu

  • @dianarobert3989
    @dianarobert3989 3 роки тому

    Dunia simama nishuke🙋my dear utakuja kuumia haupo sahihi hata kdg chagua mmoja ubaya unakuja hapo kweny wao kujuana usifurahie aisee

  • @khairatali3676
    @khairatali3676 3 роки тому

    Dunia ishafika mwsho

  • @hillstv1688
    @hillstv1688 3 роки тому +3

    Woow

  • @bigdreamer8857
    @bigdreamer8857 3 роки тому +2

    Bado nipo darasani nafanya thesis ya michepukological theory to be officialization socially and polygamizationalisis and race to prignantalization of truthfully girl of both men. eeeehuuu... Tamu ila ngumu kutafuna this is TZ

  • @gwamakangwala6468
    @gwamakangwala6468 3 роки тому +3

    Mbona wasanii wa Kibongo wa kiume wanafanya hivyo?

  • @fatumasidi3372
    @fatumasidi3372 3 роки тому +3

    Bongo bwana..... Wanaume 2 kwa wakati mmoja......!!!! Alafu anasifia

    • @monicamushi5192
      @monicamushi5192 3 роки тому

      Anawadanganya huyo,,,,, mwanaume ndo huyohuyo mmoja Ila # tofauti,,,,,na walishaplan huo mchezo

  • @ndikumasabodiegovevo9091
    @ndikumasabodiegovevo9091 3 роки тому +4

    Hao wanaume wote niwajinga iwej kuchangia demu mmoja nahuyo demu nidangaa tu hapo hamna mapenzi

  • @fadhirikayeta6947
    @fadhirikayeta6947 3 роки тому

    Comed iyo

  • @johnsonmwambungu5310
    @johnsonmwambungu5310 3 роки тому +1

    Duuh noma kwel

  • @lissamsalu12345
    @lissamsalu12345 3 роки тому

    Jaman nimeipenda hii ya leo jaman

  • @winnieamanya1550
    @winnieamanya1550 3 роки тому +8

    Hahaaaaa...mtangazanji ameparalize🤣🤣🤣🤣

    • @dangotee5051
      @dangotee5051 3 роки тому

      😀😀😀😀😀😀

    • @meggy5268
      @meggy5268 3 роки тому

      @@dangotee5051 of a happy 😁😁 on your timelines for you on ooooh lo9ooookoklo

  • @D-Man.B-Free
    @D-Man.B-Free 3 роки тому +1

    Daaah,ana biashara mbili😛😛😛

  • @onlyonetztv610
    @onlyonetztv610 3 роки тому +1

    Huna wanaume #UNA MATAHIRA wawili

  • @khadijambarouk2983
    @khadijambarouk2983 3 роки тому +1

    Na ukibeba mimba jee itakuaje?

  • @juliethkipeja4791
    @juliethkipeja4791 2 роки тому

    Mhhh nakumbuka shairi la fikra za waungwana

  • @emanuelmhagama8193
    @emanuelmhagama8193 3 роки тому

    We ni malaya

  • @felizbonbonface8275
    @felizbonbonface8275 3 роки тому +3

    🤣🤣🤣🤣🤣kutudanganya huyo n mtu mmoja

  • @aminamauhfoda9201
    @aminamauhfoda9201 3 роки тому

    Alliyandugu yangu wewe nimuislam jistiri😢😢😢

  • @salhatjuma6299
    @salhatjuma6299 3 роки тому

    Daaah kwel shikamoo

  • @user-eo7ug2tg9r
    @user-eo7ug2tg9r 3 роки тому +1

    Duuh!Wanaume 2

  • @rukiakhamsin9220
    @rukiakhamsin9220 3 роки тому +3

    Wapashe dada gladness kifaluka🤣🤣🤣🤣

  • @bakariyusufujuma
    @bakariyusufujuma 3 роки тому +2

    Hayo sio mapenzi hiyo ni biashara wala hakuna atakae kuowa hapo hayo ni madanga

  • @fadhirikayeta6947
    @fadhirikayeta6947 3 роки тому

    Kichaaa uyo

  • @rajah9328
    @rajah9328 3 роки тому +2

    Ndizo dalli za mwsho izi wanaume kujuana wako n mtu mmoja ayaa wee bt dadangu io sio sifa

  • @thelonewolf4429
    @thelonewolf4429 3 роки тому +1

    Mtu mmoja huyo

  • @fatmaomar8497
    @fatmaomar8497 3 роки тому +2

    Sio peke yake wapo wenye wanaume wengi....zaidi ya wawili...msikatae

  • @maelezomaelezo9057
    @maelezomaelezo9057 3 роки тому +3

    Amepalalaiz mtagazaji hat mimi

  • @capteinchuimchafu7894
    @capteinchuimchafu7894 3 роки тому

    Hyu dada n msenge

  • @maelezomaelezo9057
    @maelezomaelezo9057 3 роки тому +1

    Unatutolea tumbo ili iweje

  • @Kabeya410
    @Kabeya410 Рік тому

    Sasa mtangazaji kukaa kitovu nje ndo biashara gani mtangazaji unatizamwa na watu wazima na watoto unafundisha nini jamii kitovu nje muoneshe mumeo tu jistiri mwanamke

  • @salhamrisho8138
    @salhamrisho8138 3 роки тому +2

    Yaani uyu mtangazaji mhmm Muslim harafu jamanini kitovu nje🤦‍♀️ mwenyezi mungu akusamehe hii duniya2 dada usikuwadae akhera ndiyo makazi tujiandae

  • @agwalubifaridah7079
    @agwalubifaridah7079 3 роки тому

    Heeeee...seriously!

  • @mannabu9333
    @mannabu9333 3 роки тому

    Dunia kwisha hii

  • @saidimhina6365
    @saidimhina6365 3 роки тому +1

    Salut kwako dada angu ww ni jasiri imekuwa muwazi

  • @Mimy_keys
    @Mimy_keys 3 роки тому +1

    Aaliyah ❤ Hapo tu ndo ana nimalizaga 🤣😂🤣

  • @miriamsaid3766
    @miriamsaid3766 3 роки тому +1

    Hapo mmepigwa 😂😂
    Ni huyo mtu mmoja sikiza sauti vzuri na alipopiga mara ya pili yule jamaa kauliza"umesema upo kwenye interview" ndo ni yuleyule aloongea nae mara ya kwanza 😂😂😂 pili bhanaa

  • @dengeman4814
    @dengeman4814 3 роки тому +3

    Unawapa mkundu hao sio pw

  • @DAVID-wp4vc
    @DAVID-wp4vc 3 роки тому +1

    Yaani huyu jamaa anaeuliza maswali kachoka🤣🤣

  • @estherngowi8102
    @estherngowi8102 3 роки тому +1

    Nimekupenda maana umekuwa mkweli Sana,hata sishangai mbona men wanakuwa hata na wanne? Why women's? Mje mnihoji na Mimi ninao 4 🤣🤣😝😝

  • @mariasixmund7964
    @mariasixmund7964 3 роки тому +1

    😁😁😁😁hao wanaume wanajiweza sna

  • @farajayosia4849
    @farajayosia4849 Рік тому

    Kwan ww aliyah kitovu hicho vp Mwanamke mzima huna hata hay

  • @tinaminja5500
    @tinaminja5500 3 роки тому

    Eeeebooooo aibu gan hii mtoto wa like🙄😳😳

  • @mosesjackson_tz
    @mosesjackson_tz 3 роки тому +2

    Sio sifa wala ujanja ,kufuri linalofunguliwa na kila funguo halina thamanj ....UO NI UMALAYA

  • @naimamunishi1241
    @naimamunishi1241 3 роки тому

    Dalili za kiama 😭😭😭

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 3 роки тому +1

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌

  • @oswardkabasa8476
    @oswardkabasa8476 3 роки тому

    huyu mwanamke chiz

  • @ammarsalah5693
    @ammarsalah5693 3 роки тому

    But all in all mwanamke mmoja kudate wanawake wawili thats not something you be proud of

  • @ninacuteninacute2567
    @ninacuteninacute2567 3 роки тому

    Vzr ishi vile upendavyo G cz ukitaka kuwalidhisha waja hautaweza fny vile nafsi yk inapenda

  • @ngoshathebest228
    @ngoshathebest228 3 роки тому +1

    Kujifanya kingerezaa

  • @alan-btharealboy9035
    @alan-btharealboy9035 3 роки тому +1

    Duwe we ni fala sana😂😂

  • @herbertygeofrey2724
    @herbertygeofrey2724 3 роки тому

    Awa wanawake sijui wana nn duuh mi amenichosha uyu dem jinga sana lingeumbwa janaume sasa

  • @jamilajamila4572
    @jamilajamila4572 3 роки тому +1

    Huyu dada anachekesha

  • @sponsertv5009
    @sponsertv5009 3 роки тому +1

    huyo wa pili akiongea nae anapoa saana nyie angalieni vizur

  • @josephmbithi8729
    @josephmbithi8729 Рік тому

    Kifaluka yaani unapenda kavu kavu jamani 🤣🤣😂🏃🏃🏃

  • @rajabdibwa6415
    @rajabdibwa6415 3 роки тому

    Mdangaji tu! Halafu hao jamaa mafala tu kwani wanawake wamekwisha

  • @agnesmartine2712
    @agnesmartine2712 3 роки тому

    Mbona kama sauti niya mtu mmoja

  • @halimarehani7167
    @halimarehani7167 3 роки тому

    Bora pili kawa na wawili Kuna dada mmoja anazaidi ya hao

  • @jescajulius8023
    @jescajulius8023 3 роки тому

    He! Mbn ni sauti ya MTU mmoja jmn

  • @diananyakisinda2439
    @diananyakisinda2439 3 роки тому

    Chenga kweli

  • @sudidoto9759
    @sudidoto9759 3 роки тому

    Dda lenyewe bayaa Mmh halina hata mvuto

  • @meshackkulinda9397
    @meshackkulinda9397 3 роки тому +1

    Unajisifu ujinga,unajifny eti utaki kuolewa, subiri wakati utakwambia

  • @neemazee1864
    @neemazee1864 3 роки тому +3

    ALIYAH nakuona umevaa nguo

  • @AMI-ip1lx
    @AMI-ip1lx 3 роки тому

    Tanzania Sitoki Nawambia

  • @nahyialetomia9284
    @nahyialetomia9284 3 роки тому

    Mume wa kwanza mkenya

  • @bahatihassan5413
    @bahatihassan5413 3 роки тому +1

    Gladnes umeua ww kiboko

  • @isamclassique1178
    @isamclassique1178 3 роки тому

    Tanzania muabuduni Mungu Kweli aliehai

  • @damasymtuya1504
    @damasymtuya1504 3 роки тому

    Duli bhnaaaa

  • @rajabmsinzia7921
    @rajabmsinzia7921 3 роки тому

    Dah mtoto una kitovu kizuriiii manina

  • @mulhatramadhani4857
    @mulhatramadhani4857 3 роки тому +1

    Ukistaajabu ya Hamza utayaona ya pili😂😂😂

  • @wamydalkiferd7053
    @wamydalkiferd7053 3 роки тому

    DUUUUH
    Maana sisi wengine hata mmoja huna 😂na ukimpata unasuuuuza Rungu hatarii🏃