OLE WANGU - BY MASHIMONI SDA CHOIR - NAIROBI - KENYA
Вставка
- Опубліковано 6 лют 2025
- ENGLISH VERSION
1)Woe unto me,who will save me from this tribulations
separating me from God, my heart yearns to do good but my
body is weak,how will I stand before thee, to defeat the devil’s
motives.
2)The only thing I know is,the devil was defeated in heaven and
is now on earth with his army wanting to destroy me. With my
own ability I can’t defeat him, I’m relying on your Strength Lord,
you who has the power and authority so as not to fall.
I know it’s the schemes of the devil to deceive me that I may
fall into sin, In the name ofJesus of Nazareth, you have no
authority over me I have my Savior who’s in me, I believe He
leadeth me.
KISWAHILI VERSION
1.Ole wangu maskini mimi, ninani atakaeniokoa kweli, katika mwili huu wa mauti, unaonitenganisha na Mungu. Ninatamani moyoni kutenda mema, na mwili wangu unaniangusha, ni vipi nitasimama kwenye zamu, nizipinge hila za mwovu.X2
Ninatumbua ni hila zake shetani unanidanganyadanganya nianguke dhambini kwa jina lake Yesu wa Nazareti huna mamlaka kwangu, nina Mwokozi aliye ndani yangu namwamini Mungu ananiongoza xz
2.Jambo moja ninajua kwamba, shetani alishindwa huku juu mbinguni, na sasa yuko hapa duniani na jeshi lake ataka niangamie, kwa nguvu zangu mimi sitaweza nategemea nguvu zako Bwana, uliye na uwezo nayo mamlaka nisije nikaanguka.X2
Kwa nguvu zetu hatutaweza,Tunategemea nguvu za Bwana Amina
Tangu nimeskia nyimbo zenyu , nimezipenda sana ,munaimbaka vizuli kama wajilani zetu sauti yenu imefika tena kwetu RWANDA🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼
God bless
Jaman nawapenda san nawafatilia kila kuchao mngu aendelee kuwapigania muendelee kumtumikia milele🙏
Kutoka 🇹🇿 twawapata vyema nice song tubarikiwe sote kwa jina la Mungu
Praise God, be blessed good songs very inspiring, remove your mask you will never get corona when you are serving the Lord ,keep it up God bless
What a message in this song,,, Mungu utuokoe dhidi ya dhambi
I pray so to
The day I will meet this choir, surely I will be a member of, SDA.
you are welcome
Amen
Amen,Marko 16: 15,16
God Bless you .. this is soul Reviving songe
naipenda hii kuliko maelezo
I love this son'g God bless you
Keep the fire burning
your right
Keep it up mashimoni church choir I love you guys and missing you may God bless you
Amen.Keep the fire burning.May God bless the Choir.
Good bless you peple
U never disappoint.Good music
Beautiful ❤️ ❤️ ❤️ ❤️ ❤️ love this choir, keep the gospel going, from your best fan lover of your songs here in Kaduna, Nigeria 🇳🇬
Wow encouraging ,be bless
Supercool
My most inspiring song...God help us in this rough and tough journey to see our Most High
Dah Nina barikiwa hasa,mnatubarik hasa
Love your songs they are so a mazing be blessed 🙌
Lovely song
My best song.....God help us in this tough and rough journey of hope
Aminaaaaaa
🔥🔥🔥
God bless you and be strong
God Bless us All ...Good Work
Amen, I Love it, thnks Mashimoni for the good work for the Lord
I love you my people.keep inspiring souls
MAY GOD BE WITH US IN THIS FILTHY WORLD
Where are you based kindly ..
Your pieces are very inspirational. 🙏🙏
Amen.
Nice song indeed
Great
God bless you saints... Am blessed🙏
Amen and Amen
Very smart
Blessings
Amen
❤ 3:07
Your sing good Ila punguzeni intro ya mziki ni ndefu
eeeeeeeeee...!!!
Bonjour mes frères et sœur en christ, nous vous aimons beaucoup, aider nous avec vos numero whatsapp, car nous sommes plus loin de vous
Praise God, be blessed good songs very inspiring, remove your mask you will never get corona when you are serving the Lord ,keep it up God bless
❤ 3:07