RAIS RUTO APONGEZWA NA WAVUVI July 2024

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 30

  • @muhammadsheekh7993
    @muhammadsheekh7993 Місяць тому +3

    Mwataka mupewe trolly fishing,si anze na kuregebisha fishing market cool store haifanyi kaxi miaka mingapi sahii.

  • @fauziaabdillahi7895
    @fauziaabdillahi7895 Місяць тому +2

    Wapwani wenzangu haswa wenyeji wa mombasa mnatia aibu kwani hiyo nafasi aliyo pewa joho si ilikuwa na mtu wa pwani kutoka kwale sasa la kusherekea ni lipi au waziri aliye pita na ni mpwani hakuwasaidia wana mombasa

  • @lavendaadhiambo
    @lavendaadhiambo Місяць тому +1

    Duh 🙄🙄🙄🙆

  • @gamarmahsan8254
    @gamarmahsan8254 Місяць тому +2

    Yaskitishaa saaana

  • @muzafarsharif9465
    @muzafarsharif9465 Місяць тому +3

    si walaumu NI hiyo pilau ,,😂😂

  • @lavendaadhiambo
    @lavendaadhiambo Місяць тому +3

    washamba tu

  • @gamarmahsan8254
    @gamarmahsan8254 Місяць тому +2

    Hawa jieliwi wamelazwa na hela wapikiwe pilau tuta omba mngu

    • @sarahmuhammed6872
      @sarahmuhammed6872 Місяць тому

      Kabisa huyo JOHO sijui.kawapa nini,nakwanini wakapendekeza huyo drug dealers,ambao wako kina MAMA ZAMZAM wanaona mbali,halafu wanjifanya kuhusu MUNGOKAA wamesahau,wanasubiri aondoke mombasa waanze pararira nyungi na mtunwako nae hapo karibu hawaambii matatizo ya mombasa wakifanyiwa maendeleo wenzenu wabarawaanza twabaguliwa

  • @user-sz9hx9pr6t
    @user-sz9hx9pr6t Місяць тому

    Aibu jamani ...njaa wanayo kweli ....asalam alleykum

  • @omarjeylan4113
    @omarjeylan4113 Місяць тому +1

    Joho alisema MWIZI ni MWIZI na amesahau hilo?

  • @lavendaadhiambo
    @lavendaadhiambo Місяць тому +1

    mwanitia aibu watu wangu

  • @elishamwambo6565
    @elishamwambo6565 Місяць тому +2

    Wavuvi watajenga magorofa.makatafunua ya siasa.mvuria alikuwa si mpwani

  • @Aminaamina-us5yj
    @Aminaamina-us5yj Місяць тому +3

    Yaani hii mijitu ya mombasa haijielewi hivi wanasherekea nini😢

  • @Shariff143
    @Shariff143 Місяць тому +1

    Wallahy sielewi lini mutafungua macho that's your right to get all, anyone he must give it's our taxes,there is no thank you

    • @WillisAli
      @WillisAli Місяць тому

      Hama kenya buana

  • @user-kn5bv3qj8p
    @user-kn5bv3qj8p Місяць тому +2

    Jee cocaine imemalizwa? Haiathiri watoto wenu tena????

  • @husha6372
    @husha6372 Місяць тому

    Assalamu Aleikum warahmatullahi wabarakatuhu sio huyo huyo joho ali wapiga lockdown WAKATI wa COVID-19 old town mukakalia na amekula PESA Za Mombasa stadium na Za maua na mulilia Kwa kuwaltea vijana wetu unga history will repeat itself sio MBALI mutalia mkumbukeni Doctor amkeni alivyokuwa akisema

  • @sarahmuhammed6872
    @sarahmuhammed6872 Місяць тому

    MUNGOKAA ni vipi?maana hata hao wavuvi wanakula MUNGOKAA,au viongozi hamjapata mualiko.wakulizungumzia swala hilo?mumekujabkuzubaishwa namukaxubaa, MAMA ZAMZAM where are you

  • @ibnuali6857
    @ibnuali6857 Місяць тому +1

    Bure kabisa

  • @QADerby
    @QADerby Місяць тому +4

    Tutabaki hivo hivo! Gen Z haikuhusu, wewe sio umri huo! Joho alipeana port, sijui kuna nini ya kusherehekea!!

    • @sarahmuhammed6872
      @sarahmuhammed6872 Місяць тому

      Nahalafu kwanini.wakakubaliana na rais uteuzi wa joho

    • @Ahmad.ali1-r9o
      @Ahmad.ali1-r9o Місяць тому

      Mdaa kidogo tu itaenda tena nbi,msa ibaki ghost town

  • @AbdallahKatana
    @AbdallahKatana Місяць тому +1

    Hawa ni warabu sio wa pwani, mijikenda ndio mpwani halisi

  • @user-kn5bv3qj8p
    @user-kn5bv3qj8p Місяць тому +1

    Wajinga bado wako hawaishi,,mulikuwa mukilia kuhusu drugs kila uchaao mukisema joho muuzaji cocaine jee leo mwasherehekea.??????

  • @Aminaamina-us5yj
    @Aminaamina-us5yj Місяць тому

    Sasa ni nini mnasgeherekea kweli hamjielewi yaani hawa mijitu joho alifanya nini saidi ya kuusa unga kwa vijana na kuuza port mijinga nyinyi

  • @ibejoe7719
    @ibejoe7719 Місяць тому

    Je sherehe ya siku na maboti yatasaidia muendelezo wa maendeleo ya generation zitakazo kujaa baada ya Joho kuweko na pia kumaliza uwaziri baadai?

    • @user-sg6nc1is3j
      @user-sg6nc1is3j Місяць тому

      Nyinyi Gen Zs msijifanye mwaangalia Maisha yajayo,Maisha yajayo mwachieni mungu

    • @ibejoe7719
      @ibejoe7719 Місяць тому

      @@user-sg6nc1is3j Trolley mmoja tuu, viboti 3 na swimming pool sio maendeleo ya kudumu haswa kwa jamii kubwa kama hio...bali ni kutetea katiba ya 2010 ifwatwe kikamilifu ndio maendeleo ya kweli yatakayo thibithi mpaka kwa vizazi vijavyo. Na kila nchi zilzo endelea haki hii walipata kuanzia kwa maandanao ya amani hii kusimamishwa kwa katiba ndio msimamsi wa sheria kufwatwa haaswa na viogozi ambayo sasa hivi wanaji faidika kwa kutoewa kwa wapiga kura.
      Amgalia hawa ndio wanao elewa kieni cha shida ziko wapi
      ua-cam.com/video/tqC4CwMc8qM/v-deo.html