Huwezi juwa ubora wa kitu iwapo hupati maoni hvyo ndio utajua hatua gani uliopiga na kitu kzr ni chenye maoni ndio maana hata wasimuliaji husema comment n share ddngu so hilo naomba ulifahamu sana tu
@@abdallagakweli6366 na sikatai kipenzi lakini si utoe maoni uonekane umetoa ama umecomment😁kuvujana moyo huko vip nitoke kwenye nimetoka nikukute kazini mwako nikuseme eti kazi yko si nzuri na kazi yenywe niyk binafsi na uliiweka ama unafanya juu ndio inakulisha na kukulipia kondi na na pia unaipenda🤷♀️🤷♀️tuwe waugwana jamani
@@abdallagakweli6366 🤣🤣🤣by the way kwa siku moja najikuta nimeskiza simulizi tano na bdo simalizi kuskiza,kwa wasimuliji ambao ww unawajua ni upi ujamskiza akisimulia🤔tukisema basi nikuskiza nani anasimulia hiv ama vil bsi watabaki mtu mmoja ama walili😩.any way jioni njema
Yani. We dad. Nakupenda napenda kusikiliza simuliz. zako sauti yk inanibukudisha mno
Good job My dear keep burning 🔥🔥 ❤️
Muache kurudia rudia smulizi banaa mnna boaaaa
Mtu anaskiza sauti badala ya maneno,heshimu kazi zatu kama vile zakwako Hua hakuna anakuingilia Alaaah
Huwezi juwa ubora wa kitu iwapo hupati maoni hvyo ndio utajua hatua gani uliopiga na kitu kzr ni chenye maoni ndio maana hata wasimuliaji husema comment n share ddngu so hilo naomba ulifahamu sana tu
@@abdallagakweli6366 na sikatai kipenzi lakini si utoe maoni uonekane umetoa ama umecomment😁kuvujana moyo huko vip nitoke kwenye nimetoka nikukute kazini mwako nikuseme eti kazi yko si nzuri na kazi yenywe niyk binafsi na uliiweka ama unafanya juu ndio inakulisha na kukulipia kondi na na pia unaipenda🤷♀️🤷♀️tuwe waugwana jamani
Jamani mbona simulizi ziko zina rudiliwa sana hi siopowa inamboa sana😏😏
🥰🥰🥰🥰🥰
Yaani kila simulizi niww tu Dada yaani hii sasa inaboa
Sasa humfaham au mnavisa wasikilizaji mm naona anasimulia vizuri tu
Kuna mtu amekulazimisha umskize🤣🤣watu wengne bhna hawana la kusema 😏
Cjasema yuasimulia vbaya ila inapendeza zaidi zikiwa mix c cku moja zote mtu mmoja jamn kubadilisha ladha pia c mbaya
@@abdallagakweli6366 🤣🤣🤣by the way kwa siku moja najikuta nimeskiza simulizi tano na bdo simalizi kuskiza,kwa wasimuliji ambao ww unawajua ni upi ujamskiza akisimulia🤔tukisema basi nikuskiza nani anasimulia hiv ama vil bsi watabaki mtu mmoja ama walili😩.any way jioni njema
Kwani umelazimishwa kusikiliza?? Zipo simulizi zingine 😎
❤️❤️❤️❤️👍🏻👍🏻👍🏻
good
❤️❤️❤️
🥰🥰🥰
😘😘😘
😘😘😘