Huyu kijana ni Muuguzi alieamua kujiajiri. Kuandika Daktari akati yeye ni Muuguzi ni kama vile taaluma yake anaushusha thamani. Tunashukuru sana kuona Muuguzi ameweza kujiajiri na anaendelea kusaidia watu kwa ujuzi na ubunifu wake. Hongera sana kwake👏🏻👏🏻👏🏻
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE UWE WA KWANZA KUONA:🏾 bit.ly/3MraYdQ
Huyu kijana ni Muuguzi alieamua kujiajiri. Kuandika Daktari akati yeye ni Muuguzi ni kama vile taaluma yake anaushusha thamani. Tunashukuru sana kuona Muuguzi ameweza kujiajiri na anaendelea kusaidia watu kwa ujuzi na ubunifu wake. Hongera sana kwake👏🏻👏🏻👏🏻
Hongera kaka
Ndoto yangu kabisa
Hiyo kaa yenu haifai
naomben namb zenu
🔥🔥🔥
Safiiii
💯💯💥💥💥
💯💥💥💥💥💥
Ila siyo Daktari kabisa,mmetaka mpate wateje tu hapa mtandaoni,Labda alikuwa Muuguzi tu
Dah watanzania mnasumbuliwa sana na wivu, nyege na chuki aiseee....!
Kwani daktari hawezi kufanya!
@@clementsanawa7967 Ajabu sana