Apostle asante kwa kuwa watchman wa Taifa hili. Pole pia kwa kubeba mzigo huu mzito ndani yako na kuomba kinyume na hili kwa muda mrefu. Msiba huu umeumiza sana sana, Mungu atufariji Watanzania na Mungu atupe nguvu na neema yake uchungu usipate nafasi ndani mwetu. Mungu Ibariki Tanzania 🇹🇿.
Mtume Mtalemwa 😭😭😭💔💔💔💘,we lost the brave perfect man indeed to our own motherland, we are the loser, even where we are, he loved us perfectly, our heart overwhelmed awhile his departure, oh! Lord Jesus Christ bind us,and cover us with your Holy blood and Holy Spirit to lead us all as Tanzanian Nations.
Apostle Mtalemwa nimekufatilia kwa muda mrefu kuhusu mahubili yako , hakika naomba niseme roho wa mungu yuko juu yako na anakutumia kuwanulisha watu habari zake .kama ambavyo alifanya Eliya kwa mfalme wake yote aliyoyasema yalikuwa kweli .hivyo tunahaja ya kuwatii nyinyi na mungu azidi kujifunua kupitia maisha yetu nakupenda sana mtumishi wa mungu kwa moyo yote nimekuwa mfuasi wako ingawa sipo kanisani kwako ila siku moja naweza kuja kuungana na huduma yako
We need to teach our knees how to bend for our leaders...A president who cared so much about the common community...We may not bring you back but You will never be forgotten...You have died fighting for the truth....what a wicked world
Man of God kwa kwel you did your part, nakumbuka kabisa yale maneno ulivyoyaongea kwa msisitizo katika ujumbe wako wa kwanza ulisema " THEY ABOUT TO ATTACK OUR PRESIDENT BUT WHO TO RESCUE HIM, US, CHRISTIANS. Nakumbuka nliogopa sana nikaamka hapo hapo usiku kumuombea Rais na taifa kwa ujumla. But man of God we believe that our God is God of another chance kama hawa watu washafanya hiv tupe muelekeo mwingine kua wakristo tufanyaje maana wamefanya hvyo kwa malengo flani coz naamin sasa hv tumeshajifunza.
Wachungaji hebu pendeni kuongea kiswahili zaidi kuliko kuchanganya kiswahili name kiingereza. Asante Sana unabii wako mungu akubariki Sana Sana mtumishi WA mungu. Natarajia Luna kanisanj kwako napendezwa Sana nag mafundisho yako
Amen my father, hakika Bwana Mungu huwatumia watumishi wake ili kutufunulia yale yaliositirika, kila jambo hutokea linakusudi lake kuu, naimani hata hili kutokea ni funzo Mungu anatupatia ili #tusitweze unabii (1)Thesalonike 5:20)
Watu wana ignore maneno ya watumishi...kweli ulisema kabisa...nway pole sana kwa Tanzania...mimi ni mkenya...but alikuwa rais mzuri na mcha mungu,mungu ailaze roho yake mahali pema.
@@ibnually7648 mchongo kutoka kwa nani? Mchongo wakati wote huo anawaomba waumini wake wamuombee raisi, usalama wa taifa wana kazi gani wasiujue huo mchongo nabii aujue? Ungekuwa mkristu ningekuelimisha japo kidogo ninavyo jua mm lakini kwako ni kazi bure hutanielewa. Hata hivyo Mungu aliruhusu kifo chake kitokee kwa hiyo its well
Imeandikwa, hakika Bwana Mungu hatafanya jambo lolote duniani pasipokuwafunuliwa watumishi wake manabii Amos 3:7 Hongera mtumishi wa Mungu kwa utii wako
Nice Apostle aiseee nilikwambia uko sawa sana mzeee dar ukweli kifo cha mzeee jpm kimenivuluga saana kichwa yangu duh kweli bwana wamemuondoa kwel aiseee duh
I have been following almost every videos uploaded here. Jumbe nyingi nilikuwa naokotoa "message" ya taifa, kuliombea taifa na Viongozi wake. Kazi yako ni njema sana Mtu wa Mungu. Wana wa Mungu Tuwe tunapokea kwa mioyo yetu jumbe hizi na maagizo ya kimaombi, Tuendelee KUOMBA Kwa Bidii bila KUACHA!
Mungu wangu mbona wengine hatukujua? Nasikitika sana. I wish tungejua wengi tungeomba kwa nguvu zetu zote. Hii bahari ndiyo naisikia leo kwa kweli, already too late.
I've been speechless since the departure of our beloved president.... God forgive us Christians... We failed to do our job as the prayer warriors of the nation...
Kifo cha mh.magufuli baadhi yawachungaj mnataka kukifanya kuwa dili lakupigia pesa utaskia nlioteshwa mara nilisema jaman kumbuken hii ni njia ya kila mtu:ushaur embu tuache kuchuma pesa kuptia hayati syo vzur kabisa
Mungu turehemu. Ulisema na sisi kupitia mtumishi wako lakini tulizembea kuomba. Tupe roho ya utii. Mungu aendelee kukuinua na kukutumia mtumishi wa Mungu Apostle Mtalemwa.
Unabii unapo tolewa tuwe tayari kuupoke na kama ni kuomba tusimame sana kwa maombi maana Mungu hutoa unabii huo ili watu waombe lkn kwa kupuuza tu ndio tunakosa mwelekeo. Mm ntoka kenya lkn kifo cha Raisi Maghufuli kime ni liza sana. 😭😭😭Mungu aiweka roho yake panapo stahili. Imeniuma sana lkn mapenzi ya Mungu ni hayo!😥
Aliomba, kazi ya mtumishi nikutoa ujumbe na mlengwa nikutendeakazikilichotolewa nawaliomzunguka nikuchukua hatua, Nabii Isaya alitoa ujumbe wa mauti kwa Ezekia. Ezekia akaenda mbele za Mungu. Mtumishi yuko sahihi
@@rehemamwabukusi1108 nuhu alihubiri watu wamrudie MUNGUBABA waliokubari ni watu 7 wakaokolewa MTALEMWA aliambiwa nini cha KUFANYA Ndo maana aliwaambia WA awake waomboleze....Ili kumponya..km ni MUNGUBABA aliwonesha amuonye KWA staili hiyo angepona.... Ndo maana nasema huyo atakuwa SHETANI anayeonesha mabaya yakatokea.(roho wa mungu anaonesha jambo na namna ya kujiepusha nalo.
Yawezekana watu waliomba sana lakini kama unakumbuka YESU mwenyewe aliomba kuondolewa kile kikombe lakini ilikuwa ni lazima yy afe ili wengine wapote kwahivyo hata hili pengine ilikuwa ni lazima iwe hivyo 😭😭
Baba Mtumishi wa Mungu Naomba Maombi Yako napitia changamoto Kubwa Sanaa Nahitaji Maombi ninafanya kazi zandani nanyanyasika Sanaa Natukanwa Eee Mungu Naomba usikie kilio changu
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Mungu tusamehee sisi tunakukosea ..... Unaumaa sana jamaniii Mungu tunaomba Uinue Imani Zetu zifike ktk viwango vya juu zaidi , hii imetuumiza sana 😭😭
Hatutaki huu ujinga wa kufunuliwa nani anakufa lini, bila kuwa na uwezo wa kuzuia au kuwafufua wanaokufa. So what?? Ili tuwaogope??? Jitabilieni vifo vyenu wenyewe msitake umaarufu kwa kifo cha raisi wetu.
Stoicdusonel we mpagani au upande wa pili? Agano la kale limejaa unabii mwanza mwisho hata agano jipya, Yesu alijitabiria kifo chake sasa sijui unaongea nn
A CRY OF OUR PRESIDENT JPM.. ...PASTOR MUTALEMWA I'M WATCHING THIS PRESIDENT, WHEN WE ARE MOANING DEATH OF OUR PRESIDENT JPM WHO DIED ON 17.3.21,. AND ALREADY NOW THE NEW PRESIDENT HAS JUST BEEN SWORN IN .. MAMA SALUHU HASSAN. "IT'S KWARESMA!! LET'S PRAY VEHEMENTLY AGAINST ANY ENEMY OF OUR COUNTY TZ.
Can someone send me the link of his previous message he is reffering on why it's important for women to pray Without fainting for the leaders of their nation's pls
magufuli kwa kweli haliwatesa wengi hasa mbunge tuntulisu halipigwa risasi 32 kuminasita silimuingia mwiliyake mwenye kutoa hamuri ni rais magufuli mimi ni mkenya
Mimi sio mtanzania, lakini najua kuwa unabii hutolewa kwa kila taifa na kabila. Nawaamini watumishi wa Mungu aliye hai, na kwako nabii, Mungu azidi kukuongoza na kukupa kila linalostahili kwetu wanadamu .
Wewe ni mtumishi upo kwaajili ya taifa lako nakufatilia kila siku wanaongea Sana wakosoaji ni wengi mnooo sanaaaaa zaidi lakin sisi tulio pewa maono wewe ni mtume wa kweli acha tubaki apa kwa mtalemwa hata kama tupo nchi za watu bado tutabaki kwa apostle mtalemwa
Eeee Mungu wangu nisaidie kusikia sauti yako. Laiti ningeisikia na kuitii na ningefunga na kuomba roho ya mauti ingemuepuka jemedari wa nchi yetu John Pombe Joseph Magufuli. Tunakuomba Mungu wetu mtukufu tusaidie kukujua wewe zaidi
wengine ambao hatusali hilo kanisa wala hatuna ndugu jamaa wala marafiki wanaosali hilo kanisa hatukutua hilo yan nimeumia sana yani laiti ningekua nimeusikia huo unabii before ningeomba sana. Mungu amlaze mahali pema peponi raisi wetu magufuli
Kwa hivyo ina maana Mungu hakupokea maombi? Na kama alipokea maombi mbona imetokea? Huu Ni ujanja tu na akili za binadamu...hakuna anayejuwa siri ya mauti isipokuwa M.mungu.tungejuwa tungejiepusha.
Mungu anaombwa na anasikia lakini sio kuombwa kwa rasha rasha kwani adui shetani yeye yuko serious kwa hiyo maombi nayo yawe serious tatizo ni nani atakaye amini akiambiwa na mtu wa Mungu kama umauti unamkaribia?
Shalom Shalom Piece Agness Karibu kanisani kwetu ukifika niulizie Mm Sam au ulizia Director utaletwa kwangu uwe na flash tu au hard drive utapatiwa mafundisho ya Apostle unayoyataka Karibu sanaaa.Mimi Ni Samuel Ntevi Kiongozi Wa Media ECG Dar
Mungu atatuvusha yordan maana yeyey ndiye baba wa dunia,,,,, Tanzania Ni yake,na watanzania Ni wake,,,,ajawahi kushindwa....yupo Mungu mwenye nguvu.....
I am an italian man. I studied Magufuli, a politician I discovered and appreciated for his complaint against the effectiveness of tampons. He was a great and courageous president, an honest man who had reduced his salary (from $ 15,000 to $ 4,000) defended the interests of the people. I also appreciated his position on covid and against dangerous vaccines. In my opinion they killed him even though he officially died of heart problems. Magufuli will forever remain a political example of integrity for all. I agree about Magulification of Africa!
I'm a kenyan lakini kifo chake kimeniumizaa sana !Yeye hajafa bali amelala
Kabisa my dear
Kweli kabisaa
Mimi nimelia nimemchoka Mimi
Mimi nimelia yangu yote
Asante sana yani its a mass grief a nightmare in a bottomless pit...how we wish our tears cries could awake him
Apostle asante kwa kuwa watchman wa Taifa hili. Pole pia kwa kubeba mzigo huu mzito ndani yako na kuomba kinyume na hili kwa muda mrefu. Msiba huu umeumiza sana sana, Mungu atufariji Watanzania na Mungu atupe nguvu na neema yake uchungu usipate nafasi ndani mwetu. Mungu Ibariki Tanzania 🇹🇿.
Katika hili umeniongezea imani juu ya Mungu na juu yako, barikiwa sana mtumishi
Mtume Mtalemwa 😭😭😭💔💔💔💘,we lost the brave perfect man indeed to our own motherland, we are the loser, even where we are, he loved us perfectly, our heart overwhelmed awhile his departure, oh! Lord Jesus Christ bind us,and cover us with your Holy blood and Holy Spirit to lead us all as Tanzanian Nations.
This is so painful..Mungu tuhurumieee..Yan ukiangalia mtume alitusisitiza mno..
Eeh Mungu tupe unyenyekevu kuskia sauti yako Baba......jamani..😭😭😭
Mungu atusamehe na atusaidie kuisikiliza sauti yake kupitia watumishi wa Mungu.
Apostle Mtalemwa nimekufatilia kwa muda mrefu kuhusu mahubili yako , hakika naomba niseme roho wa mungu yuko juu yako na anakutumia kuwanulisha watu habari zake .kama ambavyo alifanya Eliya kwa mfalme wake yote aliyoyasema yalikuwa kweli .hivyo tunahaja ya kuwatii nyinyi na mungu azidi kujifunua kupitia maisha yetu nakupenda sana mtumishi wa mungu kwa moyo yote nimekuwa mfuasi wako ingawa sipo kanisani kwako ila siku moja naweza kuja kuungana na huduma yako
We need to teach our knees how to bend for our leaders...A president who cared so much about the common community...We may not bring you back but You will never be forgotten...You have died fighting for the truth....what a wicked world
Mimi mkenya lakini kweli sio Tanzania tu,,Ata sisi huku tumeumia sanaaaa 💔💔💔💔💔
POLENI SANA KAKA NA DADA ZETU
Poleni pia
Ahsante but 😭😭
Asante sana
Pole kaka
Hii pole kwa kila mmoja kaka msiba wa kitaifa huu😭😭😭
Asante sana ndugu
Glory to God,
Ni kazi kwetu tuliobaki inatakuwa kutega sikio na kusikiliza Mungu anasema nini kupitia watumishi wake,
Barikiwa sana my Apostle
Now nitakua makini Sana, kusikilza na kutii na kuwa mtenda kazi wa Neno la Mungu
Man of God kwa kwel you did your part, nakumbuka kabisa yale maneno ulivyoyaongea kwa msisitizo katika ujumbe wako wa kwanza ulisema " THEY ABOUT TO ATTACK OUR PRESIDENT BUT WHO TO RESCUE HIM, US, CHRISTIANS. Nakumbuka nliogopa sana nikaamka hapo hapo usiku kumuombea Rais na taifa kwa ujumla. But man of God we believe that our God is God of another chance kama hawa watu washafanya hiv tupe muelekeo mwingine kua wakristo tufanyaje maana wamefanya hvyo kwa malengo flani coz naamin sasa hv tumeshajifunza.
Wachungaji hebu pendeni kuongea kiswahili zaidi kuliko kuchanganya kiswahili name kiingereza. Asante Sana unabii wako mungu akubariki Sana Sana mtumishi WA mungu. Natarajia Luna kanisanj kwako napendezwa Sana nag mafundisho yako
Amen my father, hakika Bwana Mungu huwatumia watumishi wake ili kutufunulia yale yaliositirika, kila jambo hutokea linakusudi lake kuu, naimani hata hili kutokea ni funzo Mungu anatupatia ili #tusitweze unabii (1)Thesalonike 5:20)
Hakika Mungu utumia watumishi wake kutuletea ujumbe wake kwetu. Mungu aendelee kukulinda na akuhifadhi katika jina la Yesu Kristo Apostle Mtalemwa.
WHAT MANNER OF A MAN IS THIS ? YOU'RE A TRUE APOSTLE OF GOD , I love you Apostle of God
Watu wana ignore maneno ya watumishi...kweli ulisema kabisa...nway pole sana kwa Tanzania...mimi ni mkenya...but alikuwa rais mzuri na mcha mungu,mungu ailaze roho yake mahali pema.
Jaman kweli huyu ni nabii🙌🏻
Nakumbuka haya maneno, na roho iliniuma sana.
😭😭😭😭😭😭😭😭duuuuuuh jaman
Sikuwahi kusikia 😭😭
Oooh Bwana alitoa na Bwana ametwaa,Ee Mungu uturehemu pale yamkini hatukuomba ipasavyo,Tusamehe Bwana,Tunaomba Neema yako tena Bwana Amen
Mung ni Allah pekeyak yey nd anaepasw kuabdiwa kw hak nyie wachen kupotea tambuen mola wenu
Eh Mungu usituache apunzike kwa amani mpendwa wetu amen. Eh Mungu mlinde Mtumishi wako dhidi ya roho chafu amen
Tumekosea😭😭😭😭hatukutii sauti ya Mungu... Mungu wangu Naomba msamaha
Mungu atusamehe jmn😪😪😪
😭😭😭😭😭
Watu wanakejeri na kudharau manabii kamatunge simama tukasali na kuomba pamoja Mungu angesikia maombi yetu
@@MsAggie5 Manabii waongo hawana roho ya mungu chochote mm nadhani kuna mchongo wanaujuwa inabidi wahojiwe
@@ibnually7648 mchongo kutoka kwa nani? Mchongo wakati wote huo anawaomba waumini wake wamuombee raisi, usalama wa taifa wana kazi gani wasiujue huo mchongo nabii aujue? Ungekuwa mkristu ningekuelimisha japo kidogo ninavyo jua mm lakini kwako ni kazi bure hutanielewa. Hata hivyo Mungu aliruhusu kifo chake kitokee kwa hiyo its well
Imeandikwa, hakika Bwana Mungu hatafanya jambo lolote duniani pasipokuwafunuliwa watumishi wake manabii Amos 3:7 Hongera mtumishi wa Mungu kwa utii wako
Inaogopesha sana, Mungu atusaidie kuuchukulia kwa uzito nabii zinazotelewa na watumishi wa Mungu. Mungu atusaidie kweli kweli, Mungu atuhifadhi uuwii
Nakuombea apostor mtelemwa mungu azidi kukutumia
Nice Apostle aiseee nilikwambia uko sawa sana mzeee dar ukweli kifo cha mzeee jpm kimenivuluga saana kichwa yangu duh kweli bwana wamemuondoa kwel aiseee duh
Mungu atusamehe na azidi kutusaidia tuweze kusikiliza yale aliyowaonesha watumishi wake. Mungu akutunze na kukuinua zaidi Mtume wetu
Nenden mkasome kuhusu unabii.
Mungu akutumie zaidi Apostle mtelemwa
I have been following almost every videos uploaded here. Jumbe nyingi nilikuwa naokotoa "message" ya taifa, kuliombea taifa na Viongozi wake.
Kazi yako ni njema sana Mtu wa Mungu.
Wana wa Mungu Tuwe tunapokea kwa mioyo yetu jumbe hizi na maagizo ya kimaombi, Tuendelee KUOMBA Kwa Bidii bila KUACHA!
Oooh Be Blessed Man Of God. I appreciate the Grace and your Prayer. We are together Sir....
Mungu wangu mbona wengine hatukujua? Nasikitika sana.
I wish tungejua wengi tungeomba kwa nguvu zetu zote. Hii bahari ndiyo naisikia leo kwa kweli, already too late.
I've been speechless since the departure of our beloved president.... God forgive us Christians... We failed to do our job as the prayer warriors of the nation...
😭
He's aHero
@@jjody1980 indeed
@@jjody1980 truly he is
Absolutely right....We failed him
Truly this is man of God 🙏 prophecy chief apostle mtalemwa
Tuommbe zaidi
Kifo cha mh.magufuli baadhi yawachungaj mnataka kukifanya kuwa dili lakupigia pesa utaskia nlioteshwa mara nilisema jaman kumbuken hii ni njia ya kila mtu:ushaur embu tuache kuchuma pesa kuptia hayati syo vzur kabisa
Mungu turehemu. Ulisema na sisi kupitia mtumishi wako lakini tulizembea kuomba. Tupe roho ya utii. Mungu aendelee kukuinua na kukutumia mtumishi wa Mungu Apostle Mtalemwa.
Nabii Kama ulijua kwann uliacha hili litokee mmmh inauma sanaaaaa
Surely God does nothing in the earth unless he reveals his secrets to his servants the prophets...in this case Apostle Mtalemwa🙌
God can't do something without telling his prophets even today. Let us fear God 🙏😘
🙏......🙌
Ameeeeen Barikiwa Sanaa Mtumishi wa Mungu
Mungu atusaidie, Apostle Mungu akubariki
Unabii unapo tolewa tuwe tayari kuupoke na kama ni kuomba tusimame sana kwa maombi maana Mungu hutoa unabii huo ili watu waombe lkn kwa kupuuza tu ndio tunakosa mwelekeo. Mm ntoka kenya lkn kifo cha Raisi Maghufuli kime ni liza sana. 😭😭😭Mungu aiweka roho yake panapo stahili. Imeniuma sana lkn mapenzi ya Mungu ni hayo!😥
I started to follow this prophet from God he spoke it about president Maghufuli death .
Man of God I listen to you sir,if people were to listen they could help the country,but plan of God is always plan of God
Nikwelikweli kabisa great apostle. Yote ulisema baba. Tunapuuzia saana. Mungu turehemu
Si wewe rehema tu hukumwombea hata MTALEMWA naye ALIONESHWA na hakuomba Ndo MAANA yametokea haya
Aliomba, kazi ya mtumishi nikutoa ujumbe na mlengwa nikutendeakazikilichotolewa nawaliomzunguka nikuchukua hatua,
Nabii Isaya alitoa ujumbe wa mauti kwa Ezekia.
Ezekia akaenda mbele za Mungu.
Mtumishi yuko sahihi
@@rehemamwabukusi1108 nuhu alihubiri watu wamrudie MUNGUBABA waliokubari ni watu 7 wakaokolewa MTALEMWA aliambiwa nini cha KUFANYA Ndo maana aliwaambia WA awake waomboleze....Ili kumponya..km ni MUNGUBABA aliwonesha amuonye KWA staili hiyo angepona.... Ndo maana nasema huyo atakuwa SHETANI anayeonesha mabaya yakatokea.(roho wa mungu anaonesha jambo na namna ya kujiepusha nalo.
Mungu aturehemu sana kwa kupuuzia unabii na kutokutii😥😥😥
Surely God does nothing without revealing His secret to His servant the prophet. i believe in you prophet.
Najiuliza tu mtumishi wa Mungu anaonyeshwa several times na maombi yanafanyika sasa kwa nini mabaya yatokee jamani💔
Kuna maono mengine ni lazima yatimie kwakuwa Mungu huwa anakusudi. Mungu atusaidie.
Imeandikwa maombi ya mwenye haki yafaa sana akiomba kwa bidii.
Yawezekana watu waliomba sana lakini kama unakumbuka YESU mwenyewe aliomba kuondolewa kile kikombe lakini ilikuwa ni lazima yy afe ili wengine wapote kwahivyo hata hili pengine ilikuwa ni lazima iwe hivyo 😭😭
Hatukusali kwa imani tulikua tukichukulia poa that's why
Tatizo mbona hamkuipost toka mwanzo hebu uongo muache
Baba Mtumishi wa Mungu Naomba Maombi Yako napitia changamoto Kubwa Sanaa Nahitaji Maombi ninafanya kazi zandani nanyanyasika Sanaa Natukanwa Eee Mungu Naomba usikie kilio changu
Pastor man of God am going through taught time. Nikumbuke please kimaombi
Mioyo yetu migumu hatukuamini hadi yametokea. Tusamehe mzee wetu Magufuli. RIP baba yetu kipenzi cha wengi
Mungu nilehemu mungu nitie nguvu kusimama nawe milele 🙏🙏😭😭
Bless you Apostle. Bless you Chief....
Stay blessed 🙏 our lovely Apostle
Amini kwamba MUNGU yupo TANZANIA...💪
Mungu akurinde Mtumish wa Mungu,
Wewe ndio nabii tuliye nae Tanzania
Mungu akurinde
Nabii wa mungu kweli ulioneshwa mbali. Hatukukuelewa tu
Mungu akutunze
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Mungu tusamehee sisi tunakukosea ..... Unaumaa sana jamaniii Mungu tunaomba Uinue Imani Zetu zifike ktk viwango vya juu zaidi , hii imetuumiza sana 😭😭
Kweli kifo cha Rais wetu kimetengenezwa na wanaoitawala dunia
Hatutaki huu ujinga wa kufunuliwa nani anakufa lini, bila kuwa na uwezo wa kuzuia au kuwafufua wanaokufa. So what?? Ili tuwaogope???
Jitabilieni vifo vyenu wenyewe msitake umaarufu kwa kifo cha raisi wetu.
Devol
Stoicdusonel we mpagani au upande wa pili? Agano la kale limejaa unabii mwanza mwisho hata agano jipya, Yesu alijitabiria kifo chake sasa sijui unaongea nn
MUNGU atusamehe tu maana hatuwasikiliz watumishi wake na hili limetukuta sababu tuko bize namambo yetu kuliko ya mungu
Amina,hatumtii MUNGU
A CRY OF OUR PRESIDENT JPM.. ...PASTOR MUTALEMWA I'M WATCHING THIS PRESIDENT, WHEN WE ARE MOANING DEATH OF OUR PRESIDENT JPM WHO DIED ON 17.3.21,. AND ALREADY NOW THE NEW PRESIDENT HAS JUST BEEN SWORN IN .. MAMA SALUHU HASSAN. "IT'S KWARESMA!! LET'S PRAY VEHEMENTLY AGAINST ANY ENEMY OF OUR COUNTY TZ.
Mungu aturehemu sana kwa kushindwa kusimama katika maelekezo yako Apostle. Yamkini kweli hatukuomba ipasavyo. Eee Yesu turehemu.
Swali kubwa apa ni kwanini maombi hayakupokelewa? Tumrudie Mungu
Yes, Ata Mimi najiuliza
Hii ni vita. Ndiyo maana akasema tuwe serious maana alishaona ukubwa wa vita akaulinganisha na maandalizi yetu.
Maombi hayapokelewi kwa vile hatuko safi
Bless you Chielf Apostle....
Mimi ni mkenya lakini, hapa kwetu tumehisi uchungu sana kwa kufo cha raid Magufuli
Twashukuru Christine, I am a college student recently on exams..we hardly concentrate
Ooh Lord we real need you.i understand you Love us Lord .
Can someone send me the link of his previous message he is reffering on why it's important for women to pray Without fainting for the leaders of their nation's pls
Kusema ukweli hatukuomba kabisa. Mungu tusamehe
Ee Mungu nakuomba niwe na mwisho mwema maana masikio yangu yamesikia macho yangu yameona ningekuwa na uwezo ningekuomba Mungu umpokee Rais wangu
magufuli kwa kweli haliwatesa wengi hasa mbunge tuntulisu halipigwa risasi 32 kuminasita silimuingia mwiliyake mwenye kutoa hamuri ni rais magufuli mimi ni mkenya
@@bensonlendama9069 usiongee kitu usichokijua, angalia ya nchini kwenu
MUNGU UNAISHI KWAKWELI NIMEKUONA LIVE KUPITIA MTUMISHI WAKO NA HAYA YALIYO TOKEA NI MAPENZI YAKO YAMETIMIZWA
ASANTE Mungu kwa Jambo hili zaburi 107:1
Mungu aturehemu.Tanzania Belongs to God.
Mbona maombi hayajafanya kazi..au mungu ajasikia maombi
Mungu hakunyamaza sema watanzani udini unatutesa sana hata kushindwa kuwatumia watumishi tulio pewa
Ee Mungu tunaomba umsaidie raisi wetu MAMA SAMIA SULUHU WASIMTUMIE VIBAYA
Mungu atabaki kua Mungu!!!
Mimi sio mtanzania, lakini najua kuwa unabii hutolewa kwa kila taifa na kabila. Nawaamini watumishi wa Mungu aliye hai, na kwako nabii, Mungu azidi kukuongoza na kukupa kila linalostahili kwetu wanadamu .
Mungu atusamehe kwa kukosea kutii sauti ya Mtumishi wake...😟😟😟
Mtume mungu akulinde sana nafamilia yako
Abarikiwe mtumishi wa Mungu.. tujitahid kuomba
Naomba uponyaji kansa inanisumbua na kunitesa kwa nguvu ulizonazo niponye mtumishi wa Mungu
Amen Apostle
Ameen
Wewe ni mtumishi upo kwaajili ya taifa lako nakufatilia kila siku wanaongea Sana wakosoaji ni wengi mnooo sanaaaaa zaidi lakin sisi tulio pewa maono wewe ni mtume wa kweli acha tubaki apa kwa mtalemwa hata kama tupo nchi za watu bado tutabaki kwa apostle mtalemwa
Daah.. yote yapo sahihi kabisa mtumishi.. watumishi ni watu muhim sana..MUNGU tusaidie tz
Umesema kweli.mchungaji.iliandikwa nitampiga mchungaji na kondoo watatawanyika.nguvu ya kuzimu hiyo.
Eeee Mungu wangu nisaidie kusikia sauti yako. Laiti ningeisikia na kuitii na ningefunga na kuomba roho ya mauti ingemuepuka jemedari wa nchi yetu John Pombe Joseph Magufuli. Tunakuomba Mungu wetu mtukufu tusaidie kukujua wewe zaidi
Kwa hiyo wangap walitakiwa kuomba ili Magu asife?
Mungu ailaze moyo wake nahali alipo pajaguwa mwenyewe Amen
We should have listened oh God forgive us
Naikumbuka hii
Indeed GOD is still speaking today.
wengine ambao hatusali hilo kanisa wala hatuna ndugu jamaa wala marafiki wanaosali hilo kanisa hatukutua hilo yan nimeumia sana yani laiti ningekua nimeusikia huo unabii before ningeomba sana. Mungu amlaze mahali pema peponi raisi wetu magufuli
Msijaliq, Mungu yupamoja nae lakini zingatieni maneno yamsingi, kwasababu amejenga ukuta nawaomba msibomowe
Kwa hivyo ina maana Mungu hakupokea maombi? Na kama alipokea maombi mbona imetokea? Huu Ni ujanja tu na akili za binadamu...hakuna anayejuwa siri ya mauti isipokuwa M.mungu.tungejuwa tungejiepusha.
Mungu anaombwa na anasikia lakini sio kuombwa kwa rasha rasha kwani adui shetani yeye yuko serious kwa hiyo maombi nayo yawe serious tatizo ni nani atakaye amini akiambiwa na mtu wa Mungu kama umauti unamkaribia?
Mungu anabaki kua mungu ht km hajajibu ulichokitaka
To GOD be the Glory
Shaloom mtumishi, ninaitaji mafundisho yako Yakima siku, nawezaje kuyapata tofauti na you tubu??
Shalom Shalom Piece Agness Karibu kanisani kwetu ukifika niulizie Mm Sam au ulizia Director utaletwa kwangu uwe na flash tu au hard drive utapatiwa mafundisho ya Apostle unayoyataka Karibu sanaaa.Mimi Ni Samuel Ntevi Kiongozi Wa Media ECG Dar
God bless 🙏🙏🙏🙏🙏 you man of God...
Tatizo binadamu tunazarau sana maneno ya Mtumishi wa Mungu mpaka yatukute 😭😭😭😭😭😭😭
Ndiyo maana mm nilisema magumu aliyokuwa anapitia basi tungeshirikishwa wananchi tungefanya maombi kila mmoja na imani yake 💔😭🇹🇿nalia sana mpaka leo
Hakika
Mungu atatuvusha yordan maana yeyey ndiye baba wa dunia,,,,, Tanzania Ni yake,na watanzania Ni wake,,,,ajawahi kushindwa....yupo Mungu mwenye nguvu.....
Ameen
I am an italian man. I studied Magufuli, a politician I discovered and appreciated for his complaint against the effectiveness of tampons. He was a great and courageous president, an honest man who had reduced his salary (from $ 15,000 to $ 4,000) defended the interests of the people. I also appreciated his position on covid and against dangerous vaccines. In my opinion they killed him even though he officially died of heart problems. Magufuli will forever remain a political example of integrity for all. I agree about Magulification of Africa!
Very true
Still crying 😢 utill now oh God this has been hard to believe but that magufuli has gone 💔 😢
Bless you for this testimony....
😭😭😭😭😭may his soul rest in peace JPM
Jamani mbona makanisa tumeomba sana basi tu tuamini mapenzi yake yametimizwa
Mliomba bila iman maana mlio wengi ni wanafki wachawi wazinzi waongo sasa mungu ata sikiaje maombi yenu
@@tistarmalafyale1626 na wewe mtakatifu uliomba?
Hakika yametimia,lla Mungu siyo mwanadamu atajilipizia kisasi kama alivofanya kwa makatili kama Farao
AMINA