wimbo mzuri sana, yesu nisaidie nisije achwa na yesu wangu mzuri yatosha kuwachwa na wapenzi kunavoumiza Vile na hisi nikiachwa na wewe yesu hicho kitakuwa kilio na kusaga meno. yesu usiniache mimi na watoto wangu, wazazi wangu na ndugu zangu pamoja na Mume wangu.

Waoooooooo nice song mama 🥰🥰🥰🥰
Amen amen mtumishi ubarikiwe sana
Hongera sana sana dadaaa
Mama hongera sana san
Safi dada
Amen
Amina