Singida Black Stars 2-2 Kagera Sugar | Highlights | NBC Premier League 07/02/2025
Вставка
- Опубліковано 9 лют 2025
- Singida Black Stars wamebanwa mbavu kwa kulazimishwa sare ya mabao 2-2 na Kagera Sugar kwenye Dimba la Liti, Singida....
Singida wamepata magoli yao kupitia kwa Jonathan Sowah na Marouf Tchakei kwa penati huku Kagera Sugar wakipata mabao yao kupitia kwa Salehe Kambenga na Halifa Hassan.
Hii penalty sio kabisa mwamuzi kapepesa macho
Mechi nzuri,bila pressure
Hamna penalty
Leo kagera wamenuiyashari 😂😂😂😂
haya singida tunamtaka sowah wetu
Penalty inajujaje apo ila bongoo
Tatizo la singida ni metacha na manyama hawa wachezaji hamna kitu
Mbona jezi ya mtoa assist ya bao la kwanza Haina jina la mdhamini
Mpira wa bongo bhan sasa hpo hiyo ni penati kweli..!!
Ety naomba kuuliza elihefu sahv wako wapiiii
Tatizo la marefa wa bongo ni kansa ya damu. Ovyo kabisa
No penalty
Nyie kuna alie sikia ...wewe seif wewe...ww ni k
NANI KATUKANA HUYO
Kubebwa tuu
Wananchi tulifeli wp kwa Jonathan nsowa tukaangukia kwa dube
Tulia wewe Dube ni mtu sana ..... Acha kwanza arudi kwenye ubora wake