#LIVE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 10

  • @habibaramadhani-xv2ed
    @habibaramadhani-xv2ed 11 місяців тому +1

    Inapendeza sana , Kadri Unavyo fika maeneo mbalimbali ya Tanzania Umepongezwa . Tumuombe Manani Allah Akupe Afya zaidi Uzidi kufikisha Ujumbe kusudiwa.Amiina.

  • @SelciMsijakani
    @SelciMsijakani 11 місяців тому +1

    Yes Mungu amurinde kweli kiongozi ,uzuli sana.

  • @musicschool_tz7014
    @musicschool_tz7014 11 місяців тому

    Inavyoonyesha wanamkataa Mkurugenzi kwakuwa hawa watu wanabanwa sana na Dolah kazi ngumu sana anayofanya na hatari kubwa anayo.tumpe ushirikiano kwakweli amefanya mengi makubwa kwenye mji wa Kasulu. hapo ni lango la biashara na uhalifu ni mwingi. Panahitaji umakini sana.

  • @MussaDavid-g4k
    @MussaDavid-g4k 11 місяців тому

    Kasulu hiyoo😂😂😂😂

  • @joycematita4888
    @joycematita4888 11 місяців тому

    Kasulu nichaka la wapigaji Bora uludi tena vinginevyo hata han ya Chama binafs lnsniishia

  • @joycematita4888
    @joycematita4888 11 місяців тому

    Nimeumia kwakuwa kero yangu makonda hakusoma bango langu

  • @HuseniMsumba
    @HuseniMsumba 11 місяців тому +1

    NAVILE VILE MUELEWE HIZO KERO NI CHA HE MNGEWEZA KUWASIKILIZA WOTE MNGETAMANI DUNIA IPASUKE😅

  • @JacobMorogoro-is7kj
    @JacobMorogoro-is7kj 11 місяців тому

    Duu aya maisha

  • @albertinamichael6123
    @albertinamichael6123 11 місяців тому

    Waambie hizo nafasi za uongozi wanazipata kupitia chama .

  • @HuseniMsumba
    @HuseniMsumba 11 місяців тому +1

    DUU! VIONGOZI MLIOTEULIWA NA MH RAIS TUNAOMBA MUWATUMIKIE WANYONGE TUSIJIFANYE MUNGU WATU,