Magreth Magenda Mwanadamu

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 27

  • @GodloveMbwilo-z8y
    @GodloveMbwilo-z8y День тому

    Jamani mbarikiwe watumishi mlindwe na DAMU ya YESU

  • @JoshuaDalushi
    @JoshuaDalushi 4 місяці тому

    Mungu azidi kukuinua juu juu juu zaidi napenda sana nyimbo zako

  • @JoshuaDalushi
    @JoshuaDalushi 4 місяці тому

    Mrembo wa Yesu. Margreth. Sijajua nyimbo zako zinapatikana wapi jamani. Nazipenda lakini sizipati

  • @BahatiSinkamba-yu2dr
    @BahatiSinkamba-yu2dr 11 місяців тому

    Barikiwa sana mama magreth magenda mey I God bless you ,, nabarikiwa sana sana sana nasema mungu ainue kipaji chako ni miaka zaidi ya kumi wimbo wako kila leo ni mpya

  • @johnkillango7850
    @johnkillango7850 4 роки тому +3

    Mungu azidi kuwabariki sana dada mage barikiwa sanaaa katika huduma

  • @alphoncembithuka3046
    @alphoncembithuka3046 2 місяці тому

    ❤❤ mungu atusaindie

  • @sangomamourice921
    @sangomamourice921 3 роки тому

    Moja Kati ya nyakati bora kuwahi kutokea big up

  • @danielndekeja7184
    @danielndekeja7184 5 років тому +3

    Huu wimbo Naupenda Sana Unanibariki Sana

  • @shadrackwilliam8218
    @shadrackwilliam8218 6 років тому +2

    Wimbo huu jaman wanibariki sana ubarikiwe San na Mungu akuzidishe zaidi

  • @bahatisinkamba991
    @bahatisinkamba991 11 місяців тому

    Wimbo dada magreti una ujumbe ni zaidi ya miaka kumi hauchuji una mesege mzuriiiiiiiiiiiiii Kila Leo mafundisho yake ni mapya

  • @allenngwananogu4910
    @allenngwananogu4910 5 років тому +1

    vzur saana Dada nazipenda saana nyimbo zako hasa huu wimbo.

  • @leahshilatu7934
    @leahshilatu7934 6 років тому +3

    naupenda huu wimbo jaman Mungu akubariki

  • @AmosNzioka-l2d
    @AmosNzioka-l2d 9 місяців тому

    keep it up mangreta

  • @MigonzoMigonzo
    @MigonzoMigonzo Місяць тому

    Dada rd kwenye gem jaman tumekumic na mavoko yako

  • @jumanaomi6812
    @jumanaomi6812 5 років тому +2

    Wimbo mtamu balaa,mwanadam wajivunia

  • @samwelishigata6812
    @samwelishigata6812 4 роки тому +1

    Wimbo mzuli

  • @ibrahimkapela8462
    @ibrahimkapela8462 5 років тому +1

    Hapo ulitulia uwepo dada magenda

  • @samwelsamson9303
    @samwelsamson9303 7 років тому +1

    ubarikiwe mama

  • @sharmakhan881
    @sharmakhan881 3 роки тому

    By ng'washi mwinamila

  • @JoshuaDalushi
    @JoshuaDalushi 4 місяці тому

    Na ubora wako ule ule toka uanze uImbaji

  • @winfridaleonard9264
    @winfridaleonard9264 5 років тому

    Wacha ma doi

  • @ev.nicksonkuyenga6900
    @ev.nicksonkuyenga6900 5 років тому

    Ndugu, hongera wimbo ni mzuri, lakini tunaomba uirudie hii video upya, maana sauti bado inaishi na ujumbe wake ni mzuri...

  • @juclinidanieidaniel66
    @juclinidanieidaniel66 7 років тому

  • @MigonzoMigonzo
    @MigonzoMigonzo Місяць тому

    Dada rd kwenye gem jaman tumekumic na mavoko yako