AHMED ALLY" TUKIMUACHA CHAMA TUTAKUJA KUJUTIA/HAWANA UWEZO WAKUMCHUKUA/SIMBA DAY TUNASHUSHA MASHINE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 вер 2024
  • Klabu ya Simba SC kupitia kwa mashabiki wake Leo June 30,2024 wamefungua Tawi la Timu hiyo lililopewa jina la Mpira burudani maeneo ya Kigamboni Mbutu kichangani,hafla hiyo iliyohudhuriwa na Msemaji wa Simba SC Ahmedy ally ambae ndio alikuwa mgeni Rasmi

КОМЕНТАРІ • 138

  • @georgegregory8414
    @georgegregory8414 3 місяці тому +4

    Wewe ni zaidi ya wasemaji wote duniani uongezewe mshahara kwa kweli

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 3 місяці тому

    Simba wanasema kazeeka🤣🤣🤣leo wanajua anaondoka,wanasifia ! Huo ndo mgawanyiko wa simba! Akibaki,walimtukana?? Jibu ,HABAKI!

  • @JumaHUssi
    @JumaHUssi 3 місяці тому

    Mbona ngonjera nyingi, jibu, yupo au hayupo?. wewe mwenyewe umesema ni mchezaji huru, hivyo nafasi yenu kwa chama ni Hela tu, maamuzi ni ya chama.

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 3 місяці тому

    Katika WASENAJI HIVYO,NI HUYU ! HUSAHAU MASWALI, KUJIRUDIA MARA KIBAO

  • @eunho9529
    @eunho9529 3 місяці тому

    kwa maoni yangu binafsi Simba sc ni muda sahihi ya kuachana na chama kwani hata ukiangalia uwezo wake umeanza kuchuka, hivyo ni kheri kumtafuta mtu mwenye uwezo zaidi ya chama.

  • @josephnyatugara6422
    @josephnyatugara6422 3 місяці тому

    😂😂😂😂😂semaji lenye gundu kukosa makombe hadi chama kuondoka

  • @Mumlion2624
    @Mumlion2624 3 місяці тому +2

    Mnatupa presh juu ya chama semaj kama ameongez mkataba tuambien maan daah

  • @mrishojuma4695
    @mrishojuma4695 3 місяці тому

    Semeni kweli kenge nyie kachukuliwa na Yanga ndiyomaana unazunguuka zunguuka tu. Mwaka huu hamko nae paka nyie

  • @OnesmoNyika
    @OnesmoNyika 3 місяці тому

    Tumeskia chama hayupo tena Simba nyosha maekezo 😅

  • @noelymwakasege2428
    @noelymwakasege2428 3 місяці тому

    Mh uku awez kuondoka mala watakao mchukua watakuwa kam fisi tueelewe lip saa

  • @JuliusJohn-ce7hr
    @JuliusJohn-ce7hr 3 місяці тому

    Saivi kila andiko unalotaka kuandika unalifuta😂😂😂😂😂😂

  • @hamzaamry6251
    @hamzaamry6251 3 місяці тому +2

    Hakuna mkubwa kwenye timu Simba ya msimu ujao inawezekana bila chama 💪😢

  • @AzhadSaid-j1t
    @AzhadSaid-j1t 3 місяці тому

    Chama hawataki mnajipendekeza achanen nae aatawasumbua

  • @hidayampakate2380
    @hidayampakate2380 3 місяці тому

    Mbona umechukua muda mrefu kuwa ambia kuwa mmemuacha

  • @MarryRashidi
    @MarryRashidi 3 місяці тому

    Huyo dogo kutoka moroco yupo kwel au cheche2

  • @drallan6879
    @drallan6879 3 місяці тому +3

    chama is talented player;we should keep him in our club

  • @maxwellmarko7007
    @maxwellmarko7007 3 місяці тому +1

    Umeznguka tuu sem anaondokaa

  • @MagembeAngelo
    @MagembeAngelo 3 місяці тому +1

    Izopesa bola mungefanya usajili mbona munapenda safali sana nyinyi olewenu muje mutuchanga atuta waerewa

  • @iddimngazija1957
    @iddimngazija1957 3 місяці тому +1

    Mashindano ambayo yako mbele yetu,vzr sana😀

  • @SephaniaSanga
    @SephaniaSanga 3 місяці тому +2

    Jamaica chamade ni bora Nassington mashabiki tunaona yuko bora

  • @hidayampakate2380
    @hidayampakate2380 3 місяці тому

    Unawapa moyo alafu unatoka kwenye mada

  • @christopherngiga9349
    @christopherngiga9349 3 місяці тому +2

    Acha polojo zako unaongea maneno mengi sana wenye akili tumeelewa

  • @HamishaiWakishua-oh1ul
    @HamishaiWakishua-oh1ul 3 місяці тому +1

    😂😂😂mwamba walusaka naamini tutakuwa nae na tutatambabnae

  • @RahmaKhalfani-qp3vc
    @RahmaKhalfani-qp3vc 3 місяці тому +1

    Semaji tumechoka ba mafumbo yasiyo kwisha kuhusu chama naomba utuambie wazi ilitujue

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 3 місяці тому

    Bango kesho🤣🤣🤣🤣Chama Yanga!

  • @HurumaRajabu
    @HurumaRajabu 3 місяці тому

    Unalopoka mshamba wewe

  • @KosovoNaiiem
    @KosovoNaiiem 3 місяці тому +2

    Bado mwamba yupooooooooooooo

  • @husseinsalumu6214
    @husseinsalumu6214 3 місяці тому

    mm nafikili swalamoja nazani tunajuwa misimu 3 mfulu lizo atuna furaha kabisa wana simba sasa wazo langu mm iyo pesa itayo tumika kwenda uko misr tuta fute mbonge lamchezaji mtu wakazi kazi kumzidi chama maana ss tunajuwa chama tena 😂😂😂😯.

  • @yusufulimo5737
    @yusufulimo5737 3 місяці тому +1

    Huyu ndio ahamed Ali Sasa.

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 3 місяці тому

      Kuongea ujinga wa kuwafurahisha? Huyu unaona ana akili! Anajirudia mara kumi

  • @BeniYaredy
    @BeniYaredy 3 місяці тому

    Tatizo mashabiki madinduka au makolo uyu fala ana wadanganya sana liongo hatal fukuzeni linamkos

    • @OmaryAllykumba
      @OmaryAllykumba 3 місяці тому

      Acha matus kaka mtu Yuko kazini kama inakukera usiangalie

  • @OnesmoNyika
    @OnesmoNyika 3 місяці тому

    So kweli katoka mwamba

  • @AzhadSaid-j1t
    @AzhadSaid-j1t 3 місяці тому

    Chama kama angekuwa anabaki angekuwa tayar asahasain ila now tarehe 1 jully tayar mchezaji huru

  • @drallan6879
    @drallan6879 3 місяці тому

    too much politics tatizo anaenda wapi yanga it's a defeat to you by yanga;

  • @abubakarbajun3503
    @abubakarbajun3503 3 місяці тому +1

    Mbona unazunguka sana sema jambo mojaa achaa adisiiiiii

  • @salumhassan4309
    @salumhassan4309 3 місяці тому

    Nyie mnao ongea anyooshe maneno kwani yeye ndio anae sajili yeye msemaji tu anatangaza kilicho andaliwa kwasabau ashakuwa muwazi kuwa tusubilie viongozi ndio watakao amua hafai aachwe

  • @ELIACHOMOLA
    @ELIACHOMOLA 3 місяці тому +2

    Timu inaondoka lini

  • @KabungaKalla-fw4pp
    @KabungaKalla-fw4pp 3 місяці тому

    Waambie tu mwamba Kagoma KK usaini . Huna lolote zaidi ya kuzuwia taharuki.

  • @othmanmagoma6213
    @othmanmagoma6213 3 місяці тому

    Niseme tu viongozi na huyu mwanahabari asiwafanye watu ndundusa. Semeni kiume hapo watu wajue moja. Na mkimuacha kisha baadae mpigwe mabao na timu yoyote ile ya Bongo ndipo mtakapojua mbichi au mbivu kwa hawa ndundusa.

  • @jumanakamo5503
    @jumanakamo5503 3 місяці тому

    Walisaini vipi wakati wanajua walichelewa kulipa? waandishi wa Tanzania mmmmmh!

  • @drallan6879
    @drallan6879 3 місяці тому

    kauli zako Ahmed ni za kisiasa :hopeless;hamna uwezo WA kumlipa so stinge Mo

  • @kassimmwawado7002
    @kassimmwawado7002 3 місяці тому

    Wanapenda sana kuwadanganya Wanasimba..kwa porojo zisizo kuwa na kichwa wala miguu! Pathetic!

  • @AzhadSaid-j1t
    @AzhadSaid-j1t 3 місяці тому

    Xavi mtupu

  • @AlexGwambie-xr2hm
    @AlexGwambie-xr2hm 3 місяці тому

    Ashasepa mna hio msemo BC kishaumana Chama jina lake lisahaulike

  • @hasanimkamba8377
    @hasanimkamba8377 3 місяці тому

    makoro mwenyekili hamna kabisa kila siku chama chama kwaiyo kumbe nyie bila chama hamna timu

  • @mosesdavid-vm5hk
    @mosesdavid-vm5hk 3 місяці тому

    CHAMA kaenda JANGWANI MAMAE SIJAPENDA KABISA ASE

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 3 місяці тому

    Huyu kula yake kuongea! Subirini muone🤣🤣

  • @MikaLota
    @MikaLota 3 місяці тому

    Nyoosha maelezo,mbona unazunguka mbuyu.mana siyo kawaida yako kama jamaa chama yupo ungejimwambafay lakini kinyoooongee. Imeenda iyo.

  • @drallan6879
    @drallan6879 3 місяці тому +2

    keep the man he is magnificient

  • @ChalambaMrisho
    @ChalambaMrisho 3 місяці тому

    Chama tunamuhitaji acheni brabraa, fanyeni uamuzi wa busara

  • @MussaWambura-t9l
    @MussaWambura-t9l 3 місяці тому +1

    Yaani porojo tu chama kaishaondoka kitambo na kesho anatambulishwa kwa wananchi

    • @Gisakijamaduda
      @Gisakijamaduda 3 місяці тому +1

      Yanga hana hela ya kumlipa chama

    • @EliaMkumbo-wn7bm
      @EliaMkumbo-wn7bm 3 місяці тому

      ​@@Gisakijamadudakesho utajua kama yanga hawana Hela sijui akina Aziz k pacome diara aucho wanalipwaga mawe kwahiyo nyie makoroboi ndo munahela tu je azam

    • @MwajumaNgaruma
      @MwajumaNgaruma 3 місяці тому

      ​@EliaMkumb-wn7bm mjifaliji Ivo Ivo,,, mlisena Mzee vp Leo Kawa kijana 😂😂😂wagogo me

  • @JustinMkumbwa
    @JustinMkumbwa 3 місяці тому

    Mbona jobe mmmmmm

  • @LinusKyando
    @LinusKyando 3 місяці тому

    SIMBA WAMEKOSA FEDHA CHAMA AMEENDA YANGA AHMED ALI ANAENDELEA KUWAJAZA UMBUMBUMBU

  • @jadhirybenneth3138
    @jadhirybenneth3138 3 місяці тому

    Kweli ahmed ally ni kichwa tenge anaongea mambo na kuyasahau mda huo jmn fara ni fara tu

    • @AshaNchira
      @AshaNchira 3 місяці тому

      we shenzi acha kashifa Hilo ni semaji bwana

  • @akwilaisseri5312
    @akwilaisseri5312 3 місяці тому

    Mtamua Mzee Saidi Simba sport club

  • @JohanesPatrick
    @JohanesPatrick 3 місяці тому

    Sema ukwer konanyingi xana wambie watu ukwer

  • @MohamedFundikila
    @MohamedFundikila 3 місяці тому

    Sura yako tu inaonyesha chama hayupo simba

  • @timothyberege2594
    @timothyberege2594 3 місяці тому +3

    Mbona maelezo marefu sana dalili sio nzuri 😂😂😂😂😂

    • @EliaMkumbo-wn7bm
      @EliaMkumbo-wn7bm 3 місяці тому

      Chama ni mwananchi hadi saiv huyu kichaa anajing'ata ng'ata bure tu koroboi eti wakimchukua watakuwa mafisi huy jamaa ni taira yan

    • @revocatusmalimi4525
      @revocatusmalimi4525 3 місяці тому

      Pamoja na upendo wetu kwake,kama yeye mwenyewe haoni upendo huo na kung'ang'ania aondoke ni kumwacha ili astusumbue asije akaendelea kudengua.

  • @ElishaOisso
    @ElishaOisso 3 місяці тому

    Kama mnata kujenga timu chama asibaki

  • @malietamaliet
    @malietamaliet 3 місяці тому

    Maneno na kusajili tu kuchukua ubingwa aaah

  • @pius-john4212
    @pius-john4212 3 місяці тому

    Hivi ni lini viongozi wasimba watakuwa wawaziii??

  • @ezzepuritykamwene2121
    @ezzepuritykamwene2121 3 місяці тому

    Huyu abaki mpk afie msimbaziii

  • @AsiaNgoleka
    @AsiaNgoleka 3 місяці тому +1

    Mnazidi kumsingizia eti kauza mechi eti hatufai Leo mnamtaka Tena? Kaenda yangaaas.

  • @jamesmwandu9295
    @jamesmwandu9295 3 місяці тому

    Ukitaka ujue kwamba Simba Mashabiki kweli ni mbumbumbu kama alivyosema Aden Rage ni kwenye hii speech ya Ahmed Ally yani hapa mpka saizi hajui kama wanapigwa porojo na Bado wanapiga makofi

  • @DIANAPETER-n7q
    @DIANAPETER-n7q 3 місяці тому

    we chama bali simba mimi nakupenda saaaanaaaa

  • @KabungaKalla-fw4pp
    @KabungaKalla-fw4pp 3 місяці тому

    Kwani mwaka Jana mlikuwa mnatania

  • @KabungaKalla-fw4pp
    @KabungaKalla-fw4pp 3 місяці тому

    Aibuuuuu!!!!!!!

  • @JumaHija-d9g
    @JumaHija-d9g 3 місяці тому +1

    Mashabiki wa 5imba mnaandaliwa kisaikolojia chama bye bye 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @Lulaboytz
    @Lulaboytz 3 місяці тому +2

    Acheni kumpandisha kiburi uyo chama

  • @AzhadSaid-j1t
    @AzhadSaid-j1t 3 місяці тому

    Yoga ww

  • @ZuberiChamtumavi
    @ZuberiChamtumavi 3 місяці тому

    Nakuhusu chama vp wazee

  • @ELIACHOMOLA
    @ELIACHOMOLA 3 місяці тому

    Hapo umeongea ukweli

  • @Manywele.Maluja
    @Manywele.Maluja 3 місяці тому +3

    Hata kuongea hajiwezi masikini anazungukaa kama anaosha pipa hapo hapo anajichanganya..Eti hakuna timu yeyote hapa tz inaweza kumlipa chama hapohapo madunduka wanapiga makofi kwa furaha akajisahau tena kama watamchukua bac watakuwa kama mafisi tuh... Madunduka wakabaki wanyonge maskini duh...Mbona unatumia nguvu kubwa sanaaa

  • @BeniYaredy
    @BeniYaredy 3 місяці тому

    Mbona mnatumia nguvu sana

  • @KS-iw7qv
    @KS-iw7qv 3 місяці тому +1

    Ahmed Ally kwenye siasa zake 😂😂

  • @edsonchristian5806
    @edsonchristian5806 3 місяці тому

    Kama una D 2 lzm uelewe

  • @sosomacharles9920
    @sosomacharles9920 3 місяці тому

    Hayupo acha rongo rongo ww mbana pua.

  • @IpyanaPaul
    @IpyanaPaul 3 місяці тому

    Bora abaki chama ndani ya Simba bado uwezo anao mkubwa Sana kuitumikia Simba tusimuache mwamba wa Lusaka ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ tunaimani nae chama

    • @NeemaKyando-d5v
      @NeemaKyando-d5v 3 місяці тому

      Minaonatumuache tyuu bwana

    • @jumaally9709
      @jumaally9709 3 місяці тому

      Yeye ndio anawaacha hapo ndio shida

    • @AzizaMayemba-td8po
      @AzizaMayemba-td8po 3 місяці тому

      asiondoke mwamba wa Lusaka ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤abaki simba nguvu Moja

  • @EvadeusGonge
    @EvadeusGonge 3 місяці тому

    Chama abaki

  • @JosephTibu
    @JosephTibu 3 місяці тому

    mungu ibariki tanzania🎉🎉🎉❤❤❤

  • @giftmkwawa3003
    @giftmkwawa3003 3 місяці тому +2

    Mwamba kaamua kufanya umwamba wake

  • @JOVINSAMSON
    @JOVINSAMSON 3 місяці тому

    Semaji unachelewesha mambo tupe habari kamili

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 3 місяці тому

      Hakuna khabari,kesho utasikia Yanga wakitangaza Chama 🤣🤣🤣

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 3 місяці тому

      Kwa hiyo usajili wa simba ni chama tu?! Mo anajua kuwachezea Makolo! Ongelea chama,watatulia! Unaongelea jezi,watu WANATAKA KUJUA USAJILI! MO HUYOO🤣🤣🤣🤣🤣

  • @Lulaboytz
    @Lulaboytz 3 місяці тому +1

    Tungemuacha tu amishaanza kutuletea visa sana kwa ilo m'mekosea

  • @MussaWambura-t9l
    @MussaWambura-t9l 3 місяці тому +3

    We sema tu kaenda yanga maneno mengi wakati chama kesho yupo zake yanga

  • @nizoplatinumztz8025
    @nizoplatinumztz8025 3 місяці тому

    Jichetue tu

  • @MusaKatenga
    @MusaKatenga 3 місяці тому

    Chama kabaki au

  • @samwelllazaro87
    @samwelllazaro87 3 місяці тому

    Nyoshaah

  • @manboy2423
    @manboy2423 3 місяці тому

    😂😂😂😂

  • @KazunguFrancis-j3z
    @KazunguFrancis-j3z 3 місяці тому

    🎉tafta hela

  • @musaminza4920
    @musaminza4920 3 місяці тому +1

    maneno haya mbona kama ni ya sizitaki mbichi hizi!?🤣🤣

  • @dismaskullaya8520
    @dismaskullaya8520 3 місяці тому

    6:56 😅

  • @subiralema
    @subiralema 3 місяці тому

    😂😂

  • @ip_header
    @ip_header 3 місяці тому

    Ogopa technology, baada ya
    Misimu mi3
    Bila taji lolote muhimu.

  • @dismaskullaya8520
    @dismaskullaya8520 3 місяці тому

    😢😢

  • @zenahussein2242
    @zenahussein2242 3 місяці тому

    Hapa hali tayari ishakuwa mbaya kwa simba, chama ni mwananchi hapa. Wameshindwa kufika bei. Yani hakuna chakuongea kipya hapo 😂😂

  • @drallan6879
    @drallan6879 3 місяці тому

    mmepoteza chama ubahili;umempoteza beki wacost ubahili;majibu ya Simba so sahibi;ubahili mtupu;we are touched if chama is lost to yanga

  • @hajingangila1558
    @hajingangila1558 3 місяці тому +2

    Wewe siasa sasa za nn maneno umeongea mengi sana sema neno moja bado maamuzi hayajatoka au hatunae au tunae unapoteza sv zako kwa maneno mengi sana unajua nakukubaki sana hujui tu.

  • @allykamal-r8z
    @allykamal-r8z 3 місяці тому

    tunafeli

  • @mussandikumana3561
    @mussandikumana3561 3 місяці тому

    Chama kisha ondoka anashindwa kuongeya ukweli lakini wachezaji kama Chama ni wengi tuu

  • @girbetpaul8309
    @girbetpaul8309 3 місяці тому

    Mwamba wa Lusaka simba ni nyumbani, haiwezi kwenda kutengeneza madeni ya kuidai timu na kupelekana cas mwambaaaaa

  • @AzhadSaid-j1t
    @AzhadSaid-j1t 3 місяці тому

    Hatuzitaki jezi kama hamjasajili watu wamana tunagoma kununua jez