RAIS SAMIA AKISHIRIKI KUAGA MWILI WA MBUNGE WA KIGAMBONI DKT. FAUSTINE NDUGULILE
Вставка
- Опубліковано 2 гру 2024
- Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akishiriki Kuaga Mwili wa Aliyekua Mbunge wa Kigambonio na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Ukanda wa Afrika Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile, leo tarehe 02 Disemba, 2024.
Apumzike kwa amani
Raha ya milele umpe Ee Bwana, na Mwanga wa milele umuangazie, apumzike kwa Amani yake Kristu, Amina 🙏🙏🙏
Ni Masikitiko makubwa kwa ndugu nafamilia Ya muheshimiwa mbunge wa kigamboni na Taifa Hatunae tena Tulimpenda kwa mchango wako mkubwa Ukiwa bungeni wakati wa uhai wake na sasa Mungu Amempenda zaidi Tunakuomba Mungu Ailaze pema Sehemu salama peonies Amina
REST IN ETERNAL PEACE DR. NDUNGULILE
Eh Mungu twaomba unpunguzie machungu ya vifo vya Watanzania Mama Samia 😢
Tunashukuru ikulu tunawapata vizuri kutoka Halmashauri ya wilaya ya Nyasa.
Apumzike Kwa amani