OFFICIAL NAI NA NDINGA LAKE JIPYA (BMW) / "SITAKI DRAMA, NIMENUNUA KIMYA KIMYA"
Вставка
- Опубліковано 23 лип 2023
- OFFICIAL NAI NA NDINGA LAKE JIPYA (BMW) / "SITAKI DRAMA, NIMENUNUA KIMYA KIMYA"
www.youtube.com/@Wasafi_Media...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm - Розваги
Nifanye kazi kwa bidiu ninunue gari wazaz wang wapande ni niwapeleke dinner niwafungulie mlango🤩 omg inshaallah.
Ee Mungu nisaidie Naipenda BMWX5 Nichangien jman
Ila Mchaga og anapendezana na Nai❤❤
Im just saying, kama wangekuwa wapenzi❤❤
Mchaga anavo iangalia garii adi huruma😃😃😃😃😃🙌🙌🙌🙌
Ukizid apo nai utakuwa mbaya una nyama za kutepeta😂😂
Ila uwe kama vile mwanzo ulivyokuwa mwembamba ndo ulikuwa mzur sana
Push to start nusome kilometers tunaijua hyoooo
Ivi mtu unakuwaje comfortable manyonyo yakiwa nje tumbo nje nguo inaonyesha mavaz ya ndani daaah
Tulia wewe hujakua
@@nkwabitz233 🤣🤣🤣🤣
@@nkwabitz233 hakuna cha kukua kasem ukweli
Duuh kiukwel ni hatar sana
Hahahaha unamtega mchaga og
Kanazeeka ss
Minyama ovyo ovyo
Anatako kama lote duuuu sasa anamuonekano mzuri sasa, ila sasa yakusema ofisi yake inanunuwa gari anatuchora
Shusha kamera chini
😝 unataka kuona nini jamani😂😂😂😂😂😂