VBV Swahili- Matendo ya Mitume 1:1- 11 Utangulizi wa kitabu na Ahadi kuu

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 жов 2024
  • Karibu sana tujifunze neno la Mungu kwa pamoja. Leo tutajifunza
    Matendo ya Mitume 1:1- 11
    VBV Swhili ni kikundi cha kujifunza maandiko matakatifu kupitia mtandao wa zoom, Tunakutana kila Jumamosi saa 10 jioni saa ya Uingereza au saa 1 usiku saa za Afrika Mashariki, Linki yetu ipo ukurasa wetu wa instagram na Facebook

КОМЕНТАРІ • 2