AMBWENE MWASONGWE: NIMERUDI SHULE/MKE WANGU KASOMA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 30

  • @tusiimerwihura634
    @tusiimerwihura634 6 років тому

    Ambwene nyimbo zako ziliko nitoa ni mbali sana,mpaka sasa bado zinaniinua,kuimba ni kusali,Mungu akutumie na mwisho wa safari yako akupokee

  • @teddymgeni9421
    @teddymgeni9421 6 років тому +2

    Barikiwa mtumishi wa Mungu kazi njema Mungu akutunze

  • @esterbarinaba5891
    @esterbarinaba5891 6 років тому

    Amen Mungu akuinue zaidi

  • @claracharles9772
    @claracharles9772 6 років тому

    Amina Barikiwa mtumishi

  • @theonlyonebeautiful3726
    @theonlyonebeautiful3726 6 років тому

    Wow kumbe kuoa raha ameshanenepa ona mashavu hongera sana.all the way from USA

  • @sarahwawuda7638
    @sarahwawuda7638 6 років тому +1

    Ambwene nakukubali sana....MUNGU azidi kukuinua

  • @sarahmwakilasa7425
    @sarahmwakilasa7425 6 років тому +1

    Barikiwa kaka Ambwene

  • @dicksonsheja9376
    @dicksonsheja9376 6 років тому

    Safi sana

  • @Mrwilliam-gu5sd
    @Mrwilliam-gu5sd 6 років тому

    Nakukubal sana kaka ambwen

  • @zachariamishai7258
    @zachariamishai7258 6 років тому +1

    Love u Ambwene😄😄😘😘

  • @prosperjuma905
    @prosperjuma905 6 років тому

    Mungu amekupa karama mtumishi.

  • @rozinamaleka214
    @rozinamaleka214 6 років тому

    Amen barikiwa sana Mtumishi

  • @julytito3891
    @julytito3891 6 років тому

    Nimeipenda hiyo

  • @bestkimali216
    @bestkimali216 6 років тому

    Huyu mtumishi Mungu amuinue tu juu Kwa mbawa kama tai Yule mkubwa

  • @perischarles2121
    @perischarles2121 6 років тому

    Pia sisi tumekukubali bro ambwene.

  • @manenokiza8124
    @manenokiza8124 6 років тому +2

    huyu jamaa anajua hajawahi kukosea wimbo nyimbo zke zte zko vzr

  • @damarisedna532
    @damarisedna532 6 років тому

    Wewe umetuchanganya mm sitaweza ipata jinsi ulivyo sema imenishinda kutafuta hii nyimbo mpya

    • @cadimelsully4499
      @cadimelsully4499 6 років тому

      Mungu akutie nguvu mtumish,,, Na barikiwa mnooooooooooo

  • @patrickmwazyunga8708
    @patrickmwazyunga8708 6 років тому

    Jamaa kuandika title tofauti Na kilichomo kwenye video imekuwa ndio stahili

  • @rehemakazumba4423
    @rehemakazumba4423 6 років тому +4

    NYIMBO ZAKO ZINATUBALIKI KAKA #ambwene

  • @neemamwasampeta3552
    @neemamwasampeta3552 6 років тому

    endelea kuponya mioyo ya watu

  • @erentjohn560
    @erentjohn560 6 років тому +1

    Naomba namba yako nategemea ushauri wako. (Uko sawa).

  • @razackraphael8861
    @razackraphael8861 6 років тому

    xaf

  • @tusiimerwihura634
    @tusiimerwihura634 6 років тому

    Ambwene nyimbo zako ziliko nitoa ni mbali sana,mpaka sasa bado zinaniinua,kuimba ni kusali,Mungu akutumie na mwisho wa safari yako akupokee

  • @tusiimerwihura634
    @tusiimerwihura634 6 років тому

    Ambwene nyimbo zako ziliko nitoa ni mbali sana,mpaka sasa bado zinaniinua,kuimba ni kusali,Mungu akutumie na mwisho wa safari yako akupokee