KWAYA KUU ITILI MORAVIAN MBEYA-- TUMEAMBIWA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 8

  • @TimothyKibona-zl7sr
    @TimothyKibona-zl7sr Рік тому +1

    Nyimbo hizi ni nzuri sana hawa wapiga vyombo wamepiga sana hasa mpiga solo huyu amepiga solo ya kwaya kuu kweli apewe hongera zake popote atakapo soma huu ujumbe ameni

  • @nicholauspandilar3521
    @nicholauspandilar3521 3 роки тому +1

    Nyimbo za hii kwaya ukisikiliza kwa kutafakar Kuna ujumbe mkubwa Sana muzik umetulia solo tamu Sana naomba utuweke album nzma kiongoz

  • @stellashimey2831
    @stellashimey2831 3 роки тому +1

    Khaaaaaa....ubarikiwe mno wmwe!!!!

  • @charlesmongarenyakangi
    @charlesmongarenyakangi 11 місяців тому

    Very sweet and educative

  • @marthabren2867
    @marthabren2867 3 роки тому +1

    Jaman tunaomba muweke nyimbo zote jaman ili tuweze kuzipata

  • @lightnessjose4984
    @lightnessjose4984 3 роки тому +1

    Mungu awabariki watumishi

  • @Bm_Mwakalobo
    @Bm_Mwakalobo 3 роки тому +1

    Kaka weka albam nzima jamani

  • @AsajenyeMwakyoma
    @AsajenyeMwakyoma Місяць тому

    😂😅