Nafurahia sana mafundisho haya japo nafahamu hiyo nikweli kabisa Mungu azidi kukulinda utukufu wa Mungu ukawe juu yako ili izidi kutufundsa zaidi Amen Amen 🙏🙏
Mama yangu!!! Asante mtu wa MUNGU aliyehai Innocent nimejua sasa mana mimi hutoa mshahara wangu baada ya kukatwa kodi na makato mengine kumbe ni malipo kabla ya makato!! Asante mtu wa MUNGU barikiwa sana nitaanza kutoa hivyo kuanzia leo!!!
Challenge, Agizo katika malaki 3:7-10, au Kitabu chote cha malaki, lilikuwa la Taifa la Israeli au kwajili ya kanisa? Na mistari yote katika kitabu cha Malaki, tunaizingatia kama tunavyoizingatia Malaki 3:7-10? Vipi kuhusu Malaki 4:4? Naomba majibu mtumishi wa Mungu.
Ikumbukeni torati ya Musa, mtumishi wangu, niliyomwamuru huko Horebu kwa ajili ya Israeli wote, naam, amri na hukumu. Maandiko hatuyatafsiri hivyo tu, Yesu hakuja kuondoa torati ya Musa bali kuitimiliza. yaliyoandikwa kwenye biblia yanamuhusu kila anayemuamini Kristo na neno lake. na torati ya Musa ni amri kumi ambazo ndizo tunazitumia kwa sasa. Amini maandiko na soma kwa kuongozwa na Roho Mtakatifu utaelewa hatua kwa hatua rafiki
Asante sana kwa mafunzo, nina swali Nko nnje ya nchi yangu nitajuaje madhabahu sawa ya kutoa zaka na dhabihu zangu? Kwasababu nchi ninayo ishi hakuna makanisa ya kikristo, tafadhali nishauri
Msaada mkubwa kwako ni Roho Mtakatifu ukimuomba atakupa maelekezo ya wapi pa kuachilia sadaka yako, huenda isiwe huko ulipo...unaweza kutuma hata kwa kanisa lako nyumbani...au mahali ambapo pana madhabahu inayokuhudumia na kukulisha kiroho...usiache kuingia katika maombi na umuulize Roho Mtakatifu,ni mwaminifu na atakupatia muongozo sahihi
Baadhi ya mafundisho wanasema eti Kwenye Agano Jipya fungu LA kumi halitajwi, hivyo eti sisi wa Agano Jipya hatutakiwi kutoa. Naomba uwasaidie hao ambao elimu hiyo imewapitia au wanaamini hivyo.
Mtumishi mimi nafanya kazi kila mwezi. huwa ninawekeza mtaji ndo nipate kipato. Je? Wakati wa kutoa zaka nitatoa vipi Mfano nimeweka mtaji wa 25,000 nikapata commission ya 150,000 na hiyo 25,000 ipo humo natoa vip hapo? Ameni🎉
Swali la pili, kwanini Yesu hakuwafundisha na kuwaagiza wanafunzi wake kutoa zaka? Na kwanini mitume wa Yesu katika mafundisho yao hawakuwafundisha wala kuwaagizo Wakristo wa mataifa kwa habari ya zaka?
Marko 2: 18 Wakati mmoja wanafunzi wa Yohane na wanafunzi wa Mafarisayo walikuwa wanafunga. Basi, watu wakaja, wakamwuliza Yesu, “Kwa nini wanafunzi wa Yohane na wa Mafarisayo wanafunga, lakini wanafunzi wako hawafungi?” Yesu akajibu, “Je, walioalikwa harusini hutakiwa kufunga wakati bwana arusi yupo pamoja nao? Wakati wote wawapo pamoja na bwana arusi hawawezi kufunga. Lakini wakati utafika ambapo bwana arusi ataondolewa kati yao; wakati huo ndipo watakapofunga.
@@sirizabiblia5276 romans 6;14 Kwa maana dhambi haitawatawala ninyi, kwa sababu hamwi chini ya sheria, bali chini ya neema. (Amp version) For sin will no longer be a master over you, since you are not under Law [as slaves], but under [unmerited] grace [as recipients of God’s favor and mercy , The tithe was the requirement of the law in which the israelties were required to give 10% , we live under the freedom of the GOD 'S GRACE and not the law so if you continue living under the requirement of the law sin will continue to be your master .
Wewe SI Myahudi. Sheria za TORATI walipwa Wayahudi. Hilo no Agano la kale kwa Wayahudi. Agano jipya linajitosheleza hakuna Fungu la kumi halipo. Wewe unajimiza wizi. Hatutoi kubarikiwa Bali tumeshabatikiwa. Wewe ni Mlawi?
Wachungaji matapeli hulazimisha 10%Ibrahimu hakutoa ktk mapato yake Bali alitoa kutokana na alichopora ktk vita. Hakuwahi kutoa kutoka mali zake. Unawaibia watu
Nafurahia sana mafundisho haya japo nafahamu hiyo nikweli kabisa Mungu azidi kukulinda utukufu wa Mungu ukawe juu yako ili izidi kutufundsa zaidi Amen Amen 🙏🙏
Nabarikiwa sana
Ameeeeeeen
Mama yangu!!! Asante mtu wa MUNGU aliyehai Innocent nimejua sasa mana mimi hutoa mshahara wangu baada ya kukatwa kodi na makato mengine kumbe ni malipo kabla ya makato!! Asante mtu wa MUNGU barikiwa sana nitaanza kutoa hivyo kuanzia leo!!!
Ubarikiwe kwa kuyafahamu maarifa hayo.umesamehewa sababu hukujua.anza upya sasa
@@sirizabiblia5276 amina mtu wa MUNGU🙏🏽
Nitapata wap mafundisho yananibariki sana
Ameen
Amina kaka nikweli kabisa kaka nime ona mengi Sana kupitia zaka
Amen amen,Mungu hasemi uongo
Nashukulu sana mtumishi wangu ila nilikuwa na swali mkuu fungu la kumi uwa sielewangi naomba unifafanulie past
0758 708804 wasiliana nami nijue unahitaji maelezo yapi zaidi ya hayo ndugu
Ubarikiwe saana kwa Maneno hayo kuhusu zaka na dhabihu
Shukurani sufufu kwakunielimisha
Kwann sasa umefunga video
Asante kwa mafudisho ,,ya kutuelimusha
Yakutuelimisha
Asante mtumishi naomba kama itawezekana somo hili liwe na muendelezo maana watu wengi zaka na fungus huwa hatulielewi
Linaendelea.....
Challenge,
Agizo katika malaki 3:7-10, au Kitabu chote cha malaki, lilikuwa la Taifa la Israeli au kwajili ya kanisa? Na mistari yote katika kitabu cha Malaki, tunaizingatia kama tunavyoizingatia Malaki 3:7-10? Vipi kuhusu Malaki 4:4?
Naomba majibu mtumishi wa Mungu.
Ikumbukeni torati ya Musa, mtumishi wangu, niliyomwamuru huko Horebu kwa ajili ya Israeli wote, naam, amri na hukumu.
Maandiko hatuyatafsiri hivyo tu, Yesu hakuja kuondoa torati ya Musa bali kuitimiliza. yaliyoandikwa kwenye biblia yanamuhusu kila anayemuamini Kristo na neno lake. na torati ya Musa ni amri kumi ambazo ndizo tunazitumia kwa sasa. Amini maandiko na soma kwa kuongozwa na Roho Mtakatifu utaelewa hatua kwa hatua rafiki
Asante sana kwa mafunzo, nina swali
Nko nnje ya nchi yangu nitajuaje madhabahu sawa ya kutoa zaka na dhabihu zangu? Kwasababu nchi ninayo ishi hakuna makanisa ya kikristo, tafadhali nishauri
Msaada mkubwa kwako ni Roho Mtakatifu ukimuomba atakupa maelekezo ya wapi pa kuachilia sadaka yako, huenda isiwe huko ulipo...unaweza kutuma hata kwa kanisa lako nyumbani...au mahali ambapo pana madhabahu inayokuhudumia na kukulisha kiroho...usiache kuingia katika maombi na umuulize Roho Mtakatifu,ni mwaminifu na atakupatia muongozo sahihi
Nilikua nikisubiri sana hii, asante kaka mwendelezo tafadhali 🙏
Upo tayari,fuatilia
Baadhi ya mafundisho wanasema eti Kwenye Agano Jipya fungu LA kumi halitajwi, hivyo eti sisi wa Agano Jipya hatutakiwi kutoa. Naomba uwasaidie hao ambao elimu hiyo imewapitia au wanaamini hivyo.
Somo zuri sana mtumishi wa MUNGU natamani kujua ni lazima kutoa zaka mahali ninapo salii au inawezekana kutoa kwa wahitaji na MUNGU akaikubali??
Majibu yote yapo sehemu ya pili
Mtumishi mimi nafanya kazi kila mwezi. huwa ninawekeza mtaji ndo nipate kipato. Je? Wakati wa kutoa zaka nitatoa vipi Mfano nimeweka mtaji wa 25,000 nikapata commission ya 150,000 na hiyo 25,000 ipo humo natoa vip hapo? Ameni🎉
Swali la pili, kwanini Yesu hakuwafundisha na kuwaagiza wanafunzi wake kutoa zaka? Na kwanini mitume wa Yesu katika mafundisho yao hawakuwafundisha wala kuwaagizo Wakristo wa mataifa kwa habari ya zaka?
Marko 2: 18 Wakati mmoja wanafunzi wa Yohane na wanafunzi wa Mafarisayo walikuwa wanafunga. Basi, watu wakaja, wakamwuliza Yesu, “Kwa nini wanafunzi wa Yohane na wa Mafarisayo wanafunga, lakini wanafunzi wako hawafungi?” Yesu akajibu, “Je, walioalikwa harusini hutakiwa kufunga wakati bwana arusi yupo pamoja nao? Wakati wote wawapo pamoja na bwana arusi hawawezi kufunga. Lakini wakati utafika ambapo bwana arusi ataondolewa kati yao; wakati huo ndipo watakapofunga.
@@sirizabiblia5276 romans 6;14 Kwa maana dhambi haitawatawala ninyi, kwa sababu hamwi chini ya sheria, bali chini ya neema.
(Amp version) For sin will no longer be a master over you, since you are not under Law [as slaves], but under [unmerited] grace [as recipients of God’s favor and mercy , The tithe was the requirement of the law in which the israelties were required to give 10% , we live under the freedom of the GOD 'S GRACE and not the law so if you continue living under the requirement of the law sin will continue to be your master .
you can give as your way of giving as ten percentage but not get compacted with the master of law as taking it as a law which gives (fear and guilt )
@@sirizabiblia5276 2 CORINTHIANS 9;7
Wewe SI Myahudi. Sheria za TORATI walipwa Wayahudi. Hilo no Agano la kale kwa Wayahudi. Agano jipya linajitosheleza hakuna Fungu la kumi halipo. Wewe unajimiza wizi. Hatutoi kubarikiwa Bali tumeshabatikiwa. Wewe ni Mlawi?
Wachungaji matapeli hulazimisha 10%Ibrahimu hakutoa ktk mapato yake Bali alitoa kutokana na alichopora ktk vita. Hakuwahi kutoa kutoka mali zake. Unawaibia watu
ACHA uongo
AMINA