UFUNGAJI WA MAFUNZO YA ZIMAMOTO NA UOKOZI NGAZI YA UONGOZI WA KATI KITOGANI ZANZIBAR

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 15

  • @bakaromar8979
    @bakaromar8979 14 днів тому +1

    Hongera kwao viongoz

  • @AzizaHusein
    @AzizaHusein 13 днів тому

    Allah barik zimamoto na uokoz Zanzibar

  • @vumbatv2976
    @vumbatv2976 14 днів тому

    Hongera kzu

  • @HassanMaulid-nf4dp
    @HassanMaulid-nf4dp 6 днів тому

    Uongozi mgumu hakuna mihaliiii

  • @AbuuShuraimAl-Shirazy
    @AbuuShuraimAl-Shirazy 13 днів тому

    Mbn wapo kidg?

  • @abdulkadirramadhan5337
    @abdulkadirramadhan5337 13 днів тому

    Uyo wa nyuma mbona haend sawa katika ukaguz WA pared

  • @KhamisJuma-ds2xb
    @KhamisJuma-ds2xb 13 днів тому

    Tufanye kazi kwa bidii wakubwa wawajali wadogo na wadogo wawapende wakubwa

  • @issahaji8715
    @issahaji8715 14 днів тому

    Nilidhani jeshi la polisi hili

  • @maridhiaabdallah630
    @maridhiaabdallah630 14 днів тому

    Mnafiki mkubwa hakuna kiongozi nafiki kama ww ulaaniwe maisha yako yote

    • @mrjagenmuuz5704
      @mrjagenmuuz5704 14 днів тому

      Kwenye uislamu wako hutakiwi kumlaani mwenzako sasa izo laana unazompa mwenzako Allah atakurejeshea mwenyewe huezi kumtolesha kwenye rehma za Allah wakati sote tunaxihitaji rehma hizo na haifai kumwita mwislamu mwezako mnafiq sjuui unautolea wapi ujasiri huo ukimnyooshea kidole kimoja mwenzio vinne vimekuelekea mwenyewe jitathmini kijana

    • @maridhiaabdallah630
      @maridhiaabdallah630 14 днів тому

      @mrjagenmuuz5704 nimesema mnafiki wala hafai kuwa kiongozi kwa anayo yafanya maneno yake hayafanani na vitendo vyake mungu amlaani duniani mpaka kesho akhera 🤲

    • @NahirHaji
      @NahirHaji 14 днів тому

      @@maridhiaabdallah630 una hakika wew huna izo lana? au umeshajichungulia na kugundua wew ndo mkamilifu

    • @NahirHaji
      @NahirHaji 14 днів тому

      jielewe babu kama huna la kusema em kaa kimya.. c lazima uonekane kam umeongea

    • @binseidy3366
      @binseidy3366 12 днів тому

      Shd nn​@@maridhiaabdallah630