KRISTO ALIJINYENYEKEZA - E. Kalluh: Pro Studios Choir

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 43

  • @albanTz001
    @albanTz001 7 місяців тому +3

    "Kristu alijinyenyekeza", Kazi nzuri watu wa Mungu, always the best.

  • @NeemaYoram-w7g
    @NeemaYoram-w7g 7 місяців тому +4

    Kazi nzuri napenda kazi kama hizi. Zimetulia unavutiwa na unachokisikia. Vocals nzuri instruments zipo level. Hongereni pro... Kazi za aina hii ndio tunataka lakini unaweza kuta mtu anaponda. Mara hiki kimekua hivi mara vile. Leta chako basi ulichofanya tuone nawew. Niwape hongera saaaana pro studios.. Keep it up

  • @happymarchiusnjungani1138
    @happymarchiusnjungani1138 7 місяців тому +3

    Aisee hiii ndo ijumaa kuu Asantee Sana Wana wa Mungu..pro.juuuuu

  • @juliusanthony4173
    @juliusanthony4173 7 місяців тому +3

    Well done! Hii kweli kwaresma imetulia inapendeza.

  • @jamesmboyi30
    @jamesmboyi30 7 місяців тому +3

    Safi sana na hongereni sana.Akawa mtii hata mauti naaam mauti ya msalaba🎉🎉🎉🎉

  • @MARIAGORETHDIHOMBO
    @MARIAGORETHDIHOMBO 7 місяців тому +3

    Guuud Work ❤

  • @lucasshirima2880
    @lucasshirima2880 7 місяців тому +4

    Amina ...Tubarikiwe sote katika kutafakari Mateso ya ukombozi wa Mwanadamu

  • @geoffreymogendi4241
    @geoffreymogendi4241 7 місяців тому +3

    Hongereni sana

  • @ConsalvaMathias-sn5dq
    @ConsalvaMathias-sn5dq 7 місяців тому +3

    🙏🙏

  • @EliasJoseph-m2b
    @EliasJoseph-m2b 7 місяців тому +6

    Safi sana

  • @josephjuniormalyusa8677
    @josephjuniormalyusa8677 7 місяців тому +3

    superb

  • @Arati3
    @Arati3 7 місяців тому +3

    Safi sana❤

  • @thepebrisfamilygracedbless6668
    @thepebrisfamilygracedbless6668 7 місяців тому +3

    Huu wimbo Wana Pro mmeutendea haki kweli. Umetulia vyema kabisa na mkatoa video inayo inayotoa picha kamili ya Kristo Mnyenyekevu aliyejitoa kufa kwa ajili ya dhambi zetu. Hongereni sana na mbarikiwe sana kwa kuzidi kutubariki kwa sauti zenu taamu. Kujitolea kwenu kukawazalie Matunda.

  • @monicamarco5800
    @monicamarco5800 7 місяців тому +4

    Good song keep up good work

  • @evaalute2556
    @evaalute2556 7 місяців тому +5

    Good..

  • @abelmochama680
    @abelmochama680 7 місяців тому +2

    Kazi safi sana Nairobi twafurahia sana kazi zenu

  • @januarius-js2xl
    @januarius-js2xl 7 місяців тому +2

    Hongereni sana pro Studios wimbo safi sana,..ishi sana kaka agrey

  • @andreabatholomeo6965
    @andreabatholomeo6965 7 місяців тому +4

    Hongereni sana🎉

  • @gabrielcylver3182
    @gabrielcylver3182 4 місяці тому +1

    Perfect Tempo, Mpo vzur wazee Congrats. Hizi ndo ngoma za IjumaaKuu sasa

  • @Dr.Yuda_Romanus_Mahenge
    @Dr.Yuda_Romanus_Mahenge 7 місяців тому +3

    💪

  • @EmanuelPaulo-nd8me
    @EmanuelPaulo-nd8me 7 місяців тому +2

    Mawasiliano yenu pls

  • @newtonthomas1097
    @newtonthomas1097 4 місяці тому +1

    AKAWA MCHII HATAAAA MAUCHI NAAM MAUCHI YAAMSALABA, lugha ya kiswahili itamkwe kwa ufasaha ili kuepusha haya. Uzungu kwenye lugha ya kiswahili tuuache, unatuchafulia ujumbe.

    • @newtonthomas1097
      @newtonthomas1097 4 місяці тому +1

      Kalluh nadhani anasikitika huko aliko, hakulenga hayo mliyoimba. Waalimu na mafundi tujitahidi kuzingatia hilo, bila hilo kosa ingekuwa tamu mnooo.

    • @ohmbeauty
      @ohmbeauty Місяць тому

      We muongo aisee loh masikio yako yana matege maneno yametamkwa vizuri tu acha kutafuta negative za kujitengenezea

    • @newtonthomas1097
      @newtonthomas1097 Місяць тому

      @@ohmbeauty😂😂😂😂😂 si kwa nia mbaya, kama ulishiriki kurekodi au kufundisha una haki ya kuona masikio yangu Yana matege. Hii ni kumbusho kwa waalimu na mafundi studio na sijasema kwa nia mbaya.

    • @mutongoreprostudios
      @mutongoreprostudios  Місяць тому

      ​@@ohmbeautyamesekia hivyo tusimbishie... Mungu ambariki sana.

    • @ohmbeauty
      @ohmbeauty Місяць тому

      @@newtonthomas1097 we hata nisikulaumu inawezekana hii ni kazi yako kutafuta makosa katika kila kitu kizuri wacha nikuache tu hata sijashiriki chochote sijakuwepo rekodi wala sijui kufundisha mm ninachojua wameimba vizuri jina la Mungu limetukuzwa hayo mengine ni ya kwako na ujuaji wako.

  • @denismaunda3102
    @denismaunda3102 7 місяців тому +2

    Nzuri ila audio imekuwa na makelele Audio disrtotation

    • @NeemaYoram-w7g
      @NeemaYoram-w7g 7 місяців тому +1

      Wew unatumia nini kusikiliza ndugu??

    • @denismaunda3102
      @denismaunda3102 7 місяців тому

      😂😂 kwamba hali hii naisikia mmi

  • @LinusNguwa-e1o
    @LinusNguwa-e1o 2 місяці тому

    Hii studio uko wap

  • @commcaretanzania2698
    @commcaretanzania2698 7 місяців тому +2

    hongereni sana ila naona video zenu nyimbo zinafanana upande wa video rangi ya back ground kila wimbo ndio hiyo hiyo......

    • @EmanuelPaulo-nd8me
      @EmanuelPaulo-nd8me 7 місяців тому +2

      Za kwako zipo wapi wakati unakosoa za wenzio??watu tunazingatia ujumbe.

    • @NeemaYoram-w7g
      @NeemaYoram-w7g 7 місяців тому +2

      Tatizo watu mmekalili. Mbona audio mnasikiliza? Alafu kumbuka hizi nyimbo hazihitaji mambo mengi. Niwapongeze pro studios. Keep it up. Hivi vitu ndivyo tunapenda. Leteni vitu

    • @NeemaYoram-w7g
      @NeemaYoram-w7g 7 місяців тому +2

      ​​@@EmanuelPaulo-nd8mekweli kabisa atuoneshe zake. Wengine hatupendi mambo mengi. Hii ni sawa kabisa. Kazi nzuri ujumbe ndio jambo la muhimu...