Endelea kumpigia kura Mc Gara B awe mshindi wa Tuzo ya MC BORA AFRICA kupitia link ifuatayo . ccawardaafrica... Maelezo zaidi piga 0736668711 ASANTENI SANA
nyieeeeee mieeee mechekaaaaaa hadiii bhaciiiiiiiiii......hawaaa wamekutanaaaa mungu anakupaa wa kufanana naee......Garaa b imetishaaaaa sanaaa sanaaaaaaaa
Mc Yani kweli uliletwa dunianii uwe MC brooo,,,kazi yako inapenya kinoumaaaa
N mc wa ndoto yangu I wish
Good vibe ilike it❤
Always MC GaraB is the best pia maharusi wametishaaa kinoumaa jamn mpak nimetamani kuolewa, daah... All the best ndoa njema yenye baraka tele
Jamani wangoni mbona mambo mnayaweza hivyo
nyieeeeee mieeee mechekaaaaaa hadiii bhaciiiiiiiiii......hawaaa wamekutanaaaa mungu anakupaa wa kufanana naee......Garaa b imetishaaaaa sanaaa sanaaaaaaaa
hakuna kitu safi kama kuolewa na muhuni
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Oyaaaaa kunywa soda nakuja kulipa 😅
Hawa watu wakikuoa Wana raha yao
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Solute kwako mc upo vizuri
Mm nimeirudia kma Mara 30
Daaah iko p xaan maharus wamedamshii na pia mc yuk p xaan✌️✌️🥰
Safi sanaa heri njema kwa ndoa yenu nmependa
Nimewapend mpaka nimelia❤
Hawa maharusi nimewapenda!
Nakubaliiiiiiii mc gara b big up
Dah!!!mmeuwa sana
Nyie huyu bwanaharus kajua kinifurahisha
mungu nipe kama uyu
Nimerud tena kuangalia ❤❤
So nice entrance
So fantastic I like it
Mmmmmh yamoto kweliiii
Very nice❤
N motooooo
nice wangoniiii
Huyo bwana harusi anafanan na bilinass
Apana
Nani kaimba huu wimbo jmn
Mung nipe wa kufanana nae
😂😂😂😂 really interesting
Daaah haw maharus wametisha xaaaan ✌️✌️🔥🔥🔥mc nae yup motooo🔥🔥🥰❤️
Very nice
lovely!!!!
Mng aliwAbaliki jaman
Nice
❤❤❤❤❤
Bwana Harusi kitundu nn,😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
Jamani hako kawimbo kanafanya nitamani ndoa
Nani mwenye ameimba hiyo by Nyimbo
Nipo mama
Hhhhhh...tupo apa jmn
@@evancymassawekenya7521 Mimi mars ft Young lunya ft mario
wa moto haswa dah hakuna kutegeana
Kizazi hiki!
Nimerudi kuangalia Kwa ya 10 jmn bro unajua
😍😍😍🔥🔥🔥
Weuweeeeeeeee
Mh jamani mh uyu dada anamshipa wa aib wakwe hawakuwepo
Siku yake
Hayo mavazi ya bi harusii Mh!!!!
Acha wivu
Eti mupe yote GaraB bwana😂😂
Wangoni tujuane
Hallo..
Natafuta muhun namm niolew naee
Tuma Loceshen nik ap 😅😅😅
Mwimbo wa nan please
Mimi mars ft Mario na young lunya *:Una
mimi mars
Nimerudi kuitazama mara 6😂😂
Jmn msinifanye niolewe mie
Haha,I like that
weee ngoni girl
Utaolewa tu kama hujaolewa mungu ataskia maombi yako😅❤🙏
Kwa kwelii kuolewa Raha jmn❤🎉😂😂😂
Nani ameimba hiyo song jamani
Kaka marioooooo mzee wakulalamika na mimi Mars wake
@@rahmaomary5045 Asantii Nashukuru kunifahamisha
Mimmars ft mario & young lunya- una
Mimi mars
Naombeni jina za hizi nyimbo plz
Una
Yaan jamaa uyu kanchekecha😂😂
garb utafanya dada zetu watake ndoa mapema bro
Mi mwenyewe hapa nishapagawaaa😂😂😂
Hapo sasa wangoni mnapo ?
❤❤❤❤❤