BUNGE LAPITISHA BAJETI KWA 94%, WAJIBU YATOA MAPENDEKEZO ILI BAJETI ITEKELEZEKE KWA URAHISI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 чер 2021
  • Wakati Bunge likiipitisha bajeti ya 2021/22 kwa 94%, Taasisi ya WAJIBU katika uchambuzi wake wa bajeti hiyo katika jicho la Uwajibikaji ,iliyoutoa mnamo tarehe 16 june 2021, iltoa jumla ya mapendekezo 11, ambayo yatasaidia bajeti hiyo kutekelezeka kwa urahisi.

КОМЕНТАРІ •