Iringo esd church EDENI wako wapi ninge penda kujua mahali wapo number yasimu nipigie mama Judy.nyimbo huo imetia moyo wangu huzu I. May God bless them all
Adamu na Eva hawakula matunda ya mti wa uzima, bali ya ujuzi wa mema na mabaya. Mwanzo 2:15-17 Biblia Habari Njema (BHN) 15. Basi, Mwenyezi-Mungu akamtwaa huyo mwanamume, akamweka katika bustani ya Edeni, ailime na kuitunza. 16. Mwenyezi-Mungu alimwamuru huyo mwanamume, “Waweza kula matunda ya mti wowote katika bustani; 17. lakini matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya, usile, maana siku utakapokula matunda ya mti huo, hakika utakufa.”
Hiyo biblia mliyotumia ni ya kwenu nyie waimbaji .Nawashauri Ondoa huu wimbo nenda mkabadilishe ili iendane na BIBLIA.BIBLIA yangu haisemi walikula,ila malaika waliwazuia kwa ulinzi mkubwa.Tafadhali ondoa,wimbo hauhubiri mtu.Mnachakachua.Msiharibu nebo Yetu.
Nawapenda sana Iringo kwa nyimbo zenu zenye jumbe nzito Mungu atusaidie tufkke huko
Songen mbele tunakaribia nyumban,nyimbo zenu Zina mguso sana
Wimbo nzuri sana congrat's guz,mzidi kabisa mungu awainue
Wimbo mzuri,mbarikiwe🙏🙏
MUNGU awabariki sana kwa karama njema ya huu uimbaji wenu wenye kutia moyo
Barikiwa sana Iringo SDA Choir
Mubalikiwe sana kwa nyimbo zenu zuri zenye ujumbe mzr
Nawapenda sana Iringo kwa nyimbo zenu zina ushuhuda mwingi na Sauti nyololo. Mungu wa Mbinguu awabariki sana.
Good work keep it up
Thanks Iringo for thi gift God bless you am blessed this morning
Mungu awabariki kazi nzur sana
Mbarikiwe Sana
Amina
Hongera sana, wimbo wenye funzo zuri
Iam yield you.
MUNGU awabariki sana
Iringo esd church EDENI wako wapi ninge penda kujua mahali wapo number yasimu nipigie mama Judy.nyimbo huo imetia moyo wangu huzu I. May God bless them all
🙏🙏🙏🙏🙏
❤❤❤❤ you have made my day ba dear. Thank you so much & God bless you for me & my family
Amen barikiweni napenda choir za Tz sana nidhamu na uvaaji wa Kiungu
Amina,nyimbo nzuri, BWANA awabariki.
Mungu ni mwema Kila wakat
Oopoo90]]]
Amen Iringo
Mungu awape uwezo wakuimbia mbinguni
Amen, mubarikiwe sana wana iringo🎉🎉🎉
VERY NICE LYRICAL MUSIC LOVE IT BE BLESSED
Amina🙏🏼🙏🏼
Mbarikiwe sana watu wa Baba
Aminaa 💕🙏🙏🙏
❤🙏🙏🙏
Mbarikiwe Sana wapendwa
Barikiwa pia baraka
Amina MUNGU azidi kuwa pamoja nasi
Be blessed abundantly my dearest brethren
Amen ,mbarikiwe sana Watumishi 🙌
The songs is good but my request is that translation is needed in English
May GOD bless this choir
Hawabarikiwe nataka number yasimu nipigie mama Judy.
Be blessed beloved of God and keep strength from heaven
Amen
Nice 🙂
This is my choir,from🤣🇰🇪🇰🇪
This is the Tanzanian
Très belle chanson
Adamu na Eva hawakula matunda ya mti wa uzima, bali ya ujuzi wa mema na mabaya.
Mwanzo 2:15-17
Biblia Habari Njema (BHN)
15. Basi, Mwenyezi-Mungu akamtwaa huyo mwanamume, akamweka katika bustani ya Edeni, ailime na kuitunza.
16. Mwenyezi-Mungu alimwamuru huyo mwanamume, “Waweza kula matunda ya mti wowote katika bustani;
17. lakini matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya, usile, maana siku utakapokula matunda ya mti huo, hakika utakufa.”
God bless this choir.
Nice
Slati se etiro
Hiyo biblia mliyotumia ni ya kwenu nyie waimbaji .Nawashauri Ondoa huu wimbo nenda mkabadilishe ili iendane na BIBLIA.BIBLIA yangu haisemi walikula,ila malaika waliwazuia kwa ulinzi mkubwa.Tafadhali ondoa,wimbo hauhubiri mtu.Mnachakachua.Msiharibu nebo Yetu.