Hongera Rais wa Vitendo. Tumeona kwenye barabara. Na airport tunaiona. Huko nje ukisema unatoka Zanzibar unaona raha jinsi ya watu wanavyoi❤ sasa itapendeza na mji wake ukupandeza zaidi. Jengine sasa idadi ya watu imaongezeka kwa kasi hivyo ni bora tukaanza kujenga nyumba zilizokwenda juu zaidi. ili tunusuru maeneo yetu ya kilimo na misitu. Big -up our brother we all ❤ you.
Wazo zuri mheshimiwa bora yabomolewe yajenhwe mpya kwanza hayo majumba yapo katikati ya mji yanaweka mandhari mabaya mji haupo kwenye haiba nzuri wakati miji ya wenzetu inapendeza ona saivi darajani mashallah imebadilika sana inavutia ila hayo majumba mbaka yamichenzani pia yabadilishe hapo mji utengezwe uwe kama funba baba etu kipenz❤❤❤ fanya kazi kwa vitendo yajayo yanafurahisha
Ww hujaona jumba la treni darajani wapangaji mtu anakodi laki waliorudi Kodi ya mwezi milioni ,kwahani hamujaona mfano anaangalia market ya nyumba kilimani inauzika 400ml akurudishe ww maskini mbuchuchu
Bomoa Bomoa Mh. Munajua kwamba dhima munalo mtu akidhulumiwa munayajua hayo bado ukitoka hapo uje Pemba sehemu ya Mtemani majumba makubwa yote ni mabovu Hongera Dr. Hussein Yajayo Yametimia
Please 🙏 please our young precedent bring the bright future for our country 🙏 please don't look back go further go further to the good future for for for everyone in zanzibar people's Thank you very much 👏 God bless our leaders us Amiin yaarab amiin Twendeee kazi days and night 🌙
Majumba mabovu ayo ni bora kuvunjwa na kujengwa tena lkn yawe na ubora km wa mwanzo .... Namaanisha yaweze kudumu km yalivyodumu hayo miaka mingi sio unajenga leo baada ya muda mfupi yanaporomoka....😔
Mamaetu samia muungano ufanye kazi mbaka za huku zanzibar maendeleo yaje hii ni nchi moja kama inavyojengwa bara pia na zanzibar unguja na pemba nazo zibadilishwe miji iwe yakisasa yote tanzania nzima
Mungu atakusaidien mie mzaliwa haswa wakikwajun kuanzia bibi bas mmenipiga kwenye kura na mkanambia si watubwapale juzi mmetunyanyasa kwenye boma letu tukaliuza bila kutaka eti linaleta uhalifu 😂😂 ila nakuombeen Kwa Allah atakusaidien
Ata watu wa kwahani sie tulisema hayo hayo lakini mwisho tumetajirika kwa ajili ya hizo hizo nyumba kwahani nyumba million 30 ilikua haifk but watu tumeuza mbka million 200

@@omarissamashaallahpresiden2920kwahani kuna nini huja fafanua
Bomoa Bomoa Mh. Munajua kwamba dhima munalo mtu akidhulumiwa munayajua hayo bado ukitoka hapo uje Pemba sehemu ya Mtemani majumba makubwa yote ni mabovu Hongera Dr. Hussein Yajayo Yametimia
Mwinyi ni Jembe, Zanzibar sasa inapendeza
Mashaallah huyu Rais Mwinyi ni kiongozi anajielewa ana nia njema kwa Watu wake tafadhali toeni ushirikiano mupate makaazi salama
Muhamishwe katika nchi yenu
Wew unaishi Zanzibar au unatoka usingizini
Hiyo nyumba pana 50 iko more than that. Warabu njenga zamani.
Hizi nyumba ni mbovu ,tutaangukiwa na nyumba tujitathmini tuache mabishano.
Kaka ndugu zetu wa Zanzibar ni wabishi siasa zimewapofusha
Please 🙏 please our young precedent bring the bright future for our country 🙏 please don't look back go further go further to the good future for for for everyone in zanzibar people's Thank you very much 👏 God bless our leaders us Amiin yaarab amiin Twendeee kazi days and night 🌙
Watanganyika tushikamane . Hao ndugu zetu sio . Iko siku watatuvamia huku TANGANYIKA.
Huyu jamaa kanzu ni anaonyesha Hana ukweli
Jamba jamba imeingia kikwajuni allah awape subra kila kitu kitakua sawa
Majumba mabovu ayo ni bora kuvunjwa na kujengwa tena lkn yawe na ubora km wa mwanzo .... Namaanisha yaweze kudumu km yalivyodumu hayo miaka mingi sio unajenga leo baada ya muda mfupi yanaporomoka....😔
Huyo Mzee anaeunga mkono Hana maana pesa mbili
Hana maana hata pesa mbili wote hao
Hongeren Sana ayo Tv
Nyie ni Waongo.
Mamaetu samia muungano ufanye kazi mbaka za huku zanzibar maendeleo yaje hii ni nchi moja kama inavyojengwa bara pia na zanzibar unguja na pemba nazo zibadilishwe miji iwe yakisasa yote tanzania nzima
Thubutuuu!! Cha wazanzibari chao ila cha bara chetu. Akili gani hiyo yakhe
Achen hoja kwan nyiny hamuon km nyumb mbovu
Mungu atakusaidien mie mzaliwa haswa wakikwajun kuanzia bibi bas mmenipiga kwenye kura na mkanambia si watubwapale juzi mmetunyanyasa kwenye boma letu tukaliuza bila kutaka eti linaleta uhalifu 😂😂 ila nakuombeen Kwa Allah atakusaidien
Sasa jamani nyinyi mnataka nyinyi majumba mabovu yamechoka yanataka kurekebishwa manaleta malimbano
kwa mtu anaejielewa hawezi kuishi kwenye ayo magofu
CCC MBELE KWA MBELE PIGA KAXI BB MWINYI DOCTOR. IMARA KBS
Acheni kusumbua watu, wizi wakubwa ninyi washenzi, mumeona mumeshindwa kuchukua nyumba za kilimani saiv munazichimba hizo, njaa tu ndo inawasumbua.
Ata watu wa kwahani sie tulisema hayo hayo lakini mwisho tumetajirika kwa ajili ya hizo hizo nyumba kwahani nyumba million 30 ilikua haifk but watu tumeuza mbka million 200
Mashaka kwelikweli ...
Nabei pia mzijuwe
mushakula pesa nyiny pesa inaongea mulize mazur
Vunja baba hayo mabovu yote
Kwaiyo video nzima umeshindwa kuainisha hii ni sehemu gani Zanzibar?
Apo ni kikwajuni zanzibar
Kikwajuni
Mbezi Beach