S2KIZZY awachana LIZER na ABBAH/Hawaniwezi/NAWAZIDI KILA KITU/ Nina HITS NYINGI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 тра 2024
  • _________________________________________________________________________________
    Kuwa wa kwanza kupata Habari zetu kwa ku-subscribe UA-cam channel ya RICK MEDIA. Tufuatilie kupitia Instagram, Facebook na Twitter kwa jina la @rickmediatz
    _________________________________________________________________________________
    Contact Us Now +255 742 447 854 | Normal Calls & WhatsApp
    #S2KIZZY #BongoFlavour
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 89

  • @ray45king84
    @ray45king84 3 місяці тому +5

    Give this man his flowers...Living Legend.

  • @rashowshine7849
    @rashowshine7849 3 місяці тому +6

    Nakukubali zombie but lizer Ni full package

  • @milazoomilazoo4494
    @milazoomilazoo4494 3 місяці тому +3

    S2kzee ni mbayaaaaaaaaaa achaniiii wivuuu watanzania tukubali vya kwetu kama wanaijeria jmnnnniiiiiii watanzania tuache wivuuuuuuu

  • @hatib8957
    @hatib8957 3 місяці тому +2

    S2kizzy anajuwa sana emu tuacheni majungu

  • @danielmushekerwa
    @danielmushekerwa 3 місяці тому +2

    This the greatest producer in east africa

  • @newecrosslophomz666
    @newecrosslophomz666 3 місяці тому +3

    Zombie Lizer ni noma sana

  • @azamsijaona4579
    @azamsijaona4579 3 місяці тому +1

    sure man

  • @jumastephano2688
    @jumastephano2688 3 місяці тому +2

    Zombie kaa mbali na lizer wew 🤜🤛

  • @johnmwasilu7087
    @johnmwasilu7087 3 місяці тому +1

    Nominated Grammy producer Award 🌺👏🏾👏🏾

  • @sevastierkalumba7556
    @sevastierkalumba7556 3 місяці тому

    Lizer, I love his mix and he doesn't boast

  • @kurumwagodfrey7052
    @kurumwagodfrey7052 3 місяці тому +1

    Bro wee ni nomaaaaaa

  • @chibudangote0126
    @chibudangote0126 3 місяці тому +4

    ACHANENI NA LIZER SEMA TU HAJIDAI MITANDAONI

  • @gastosowela9195
    @gastosowela9195 3 місяці тому +4

    Lizer 🔥 🔥 🔥

  • @AROMAAR_KING001
    @AROMAAR_KING001 3 місяці тому +1

    S2kizzy bado mtoto mchanga sana kwa ayo lizzer💯 lizzer ndio baba lao

  • @user-gb8vg8vc7s
    @user-gb8vg8vc7s 2 місяці тому

    Respect Kwa zombiiiiiiii kaz unafanya inaonekana hip hop mapiano everything

  • @hatib8957
    @hatib8957 3 місяці тому +3

    Kama lizer ni mkali kuliko zombi mbona hit zote zinatoka kwa s2kizzy jaman kwann msikubali kua s2kizzy anajua emu acheni kuongelea mapenzi tuongelee uhalisia tunaouwona kwnye beat kali

    • @Theman-dn8vo
      @Theman-dn8vo 2 місяці тому

      S2kizzy kweli ni mkali, ila hta lizer naye yumo angalia no za inama, waah,naanzaje, the one, n.k

    • @kidesnassor146
      @kidesnassor146 2 місяці тому

      Nawew jiulize kwanini lizer anamalizia mix

  • @ce-08
    @ce-08 3 місяці тому +3

    Weee zombie + laizer wote wa ❤️‍🔥❤️‍🔥

  • @noelmarapachi1808
    @noelmarapachi1808 3 місяці тому +1

    Master Jay na Majani ni one of the god fathers wa bongo flava ambao kizazi hiki cha watoto wa 2000 ndiyo wamewajua sababu ndiyo wanao tajwa sana na wenyewe wanajitokeza sana mitandaoni, but basically kuna god fathers wa 5 wa hii game ya BONGO FLAVA, ambao ni Master Jay wa MJ Productions, P Funk Majani wa Bongo Records, Enrique wa Sound Crafters na hapa sound crafters ndipo palipo mtambulisha producer mwingine mkali aitwaye Biziman, Bony Love wa Mawingu Studio ambako Mwana FA ndiko alikotokea na Mika Mwamba wa FM studios.
    Kulikuwa na sound engineers wengine kadhaa ambao hawakuwa producers na hawakuwa wanajulikana sana maana walikuwa wanafanya kazi kwenye Recording studios ambazo siyo Record labels na walikuwa wakirekodi variety of music Genres za band, taarab, kwaya, reggae etc kama Marlon Linje aliyekuwa anafanyia kazi studio za Don Bosco upanga kuanzia mwanzoni mwa miaka ya 1990 baadaye mwishoni mwa miaka hiyo ya 1990 akahamia MJ Records kwa Master Jay, wengine ni Samuel Luhende, Richard Mloka, Joseph Anania, huyu Joseph Anania alifanya kazi Good news studios pale Jengo la umoja wa vijana fire enzi hizo kabla halijavunjwa na kujengwa jengo hili la sasa, huyu ndiye aliye rekodi album ya kwanza ya Bahati Bukuku inayoitwa Mapito mwaka 2000.
    Mwaka 1998 ilianzishwa studio pale ilala inaitwa Studio Marimba ilikuwa chini ya Band ya Njenje Joseph Anania, Samuel Luhende na Richard Mloka wote wakahamia hapo kama Engineers wakaungana na Keppy Kiyombile ambaye ni mpiga bass guitar na sound engineer wa Njenje so pakawa na Engineers wa 4 wakifanya kwa shift.

    • @user-vz4xj2ci2w
      @user-vz4xj2ci2w 3 місяці тому

      OYa babu we mzee sana hahahahahaha achana nao hao tunazungumzia matop ni majani na master j... hao akina makochali, zakchali manwalter cjui na akna nani ni nani hahaha s2kizz mkali

  • @allthingshub593
    @allthingshub593 3 місяці тому +4

    lizer🎉🎉🎉

  • @user-oo4gu3he4m
    @user-oo4gu3he4m 3 місяці тому +1

    True

  • @wabengaheritier6002
    @wabengaheritier6002 Місяць тому

    S2kizzy anafanya kazi nzuri ila Lizer ni noma sana Sio Mpaka kumzungumziya Lizer ni shidaaaa

  • @user-il6rm7cj1g
    @user-il6rm7cj1g 3 місяці тому +2

    S2kizzy nimkari nakubari ila sio kwaraiza laiza kamuachia nafasi tu ila nimkari kuriko

  • @user-me7uq3gt6w
    @user-me7uq3gt6w 3 місяці тому +2

    mix nyimb mwenyew bila lizer uwone kama unatoboa

  • @congoboymbeyas2440
    @congoboymbeyas2440 3 місяці тому +3

    Achana na lizer ww

  • @user-iy3fx7cl1j
    @user-iy3fx7cl1j 3 місяці тому

    Top 11 ya Producer wakali Tz ,1 Majan, 2 Mikamwamba, 3 Man water ,4 Master j, 5 Marco chali,6 Mr t tourch ,7 Abby dad ,8 Mesen Selekta,9 Marehemu Roy, 10 S2 kizy,11 Laiza.Ila S2kizy ana kipaji san na ni mkali ila upepo wa wasanii unambeba

  • @Chrisblaze-beats
    @Chrisblaze-beats 3 місяці тому +1

    Mpaka siv nakubali ila nakuja kumchomoa hapo mwambie natafuta tag name saiv

  • @WINNER_BITE
    @WINNER_BITE 3 місяці тому +1

    🎉🎉

  • @davidwalalason7630
    @davidwalalason7630 2 місяці тому

    That egypt English accent 😍

  • @officialdatonepro
    @officialdatonepro 2 місяці тому

    Sasa hivi producer anaewatoa Wasanii Ni pale Ma-feeling Records. Msanii Aliekuwa hajatoka Akigonga ngoma pale Ma feeling lazima asikike

  • @worldhappiness1181
    @worldhappiness1181 3 місяці тому

    Bboy beats ni silent killer, he is the best.

  • @backieb205
    @backieb205 3 місяці тому

    Why not man woter

  • @kiatu
    @kiatu 3 місяці тому +1

    Utakuaje wa muda wote (GOAT) wakati hukuwepo muda wote 🤔, hata wale wa zama hizo kama hawako active kipindi hiki watakuwaje wa muda wote?

  • @gastosowela9195
    @gastosowela9195 3 місяці тому +5

    Lizer nomaa sana ase

  • @RicardoNandumba
    @RicardoNandumba 3 місяці тому +3

    Lize

  • @SultanBakali
    @SultanBakali 3 місяці тому

    Ww unajuwa sana

  • @didabwoy
    @didabwoy 3 місяці тому

    kwa laiza bado sana

  • @rpynoel566
    @rpynoel566 3 місяці тому +1

    Zombi we ni hatari lakin laizer ni danger nlichogundua mziki sio chord, mziki ni mixing ok kamix laizer

  • @user-il6rm7cj1g
    @user-il6rm7cj1g 3 місяці тому

    Sio kweli ila unauwezo enderea

  • @user-dm3zm3om4n
    @user-dm3zm3om4n 3 місяці тому +1

    Zombie ❤❤

  • @papamukulu1045
    @papamukulu1045 3 місяці тому

    Lizer mkali sana

  • @user-ox2bu4fr9k
    @user-ox2bu4fr9k 3 місяці тому

    LAIZER HATARI SANA,

  • @syntaxsaintezzer5547
    @syntaxsaintezzer5547 3 місяці тому +3

    Kwa lizer bado sana

    • @royphotostore6535
      @royphotostore6535 3 місяці тому

      Ki vipi mbona lizzer wa kawaida sanaaaa.....alafu kumbuka laizer ana base sana wcb 😊😊😊

  • @giftysweetbert8755
    @giftysweetbert8755 3 місяці тому

    Humu kuna watu hamjui maana ya uproducer make huwez sema lizer n mkubwa kuliko s2kizzy au s2kizzy n mkubwa kuliko lizer hapana unatakiwa kuangalia vigezo vya uproducer msishabikie tu kwamba flan n mkubwa bila kujua facts

  • @yoramswagala6715
    @yoramswagala6715 3 місяці тому

    Rudin nyuma kwenye nyimbo za laizer kuanzia kwangwaru kurudi nyuma mtamuheshimu laizer

  • @allyjabiri
    @allyjabiri 3 місяці тому +1

    Lizer ni mkali ni producer wa Africa

  • @danielmushekerwa
    @danielmushekerwa 3 місяці тому +1

    Nakuli zombi

  • @user-cf2qs9wq6n
    @user-cf2qs9wq6n 2 місяці тому

    Unamjua Miika mwamba?,Pancho Ratino (rip),Dunga,Lamar, Komorye, Thood Thomas yaan hzo levels we hukanyagi mikono yao ina balaa alaf unalet ujinga hapa unajipangia tu mi namba mbil kwa ubora mjinga nini😡😡

  • @user-il6rm7cj1g
    @user-il6rm7cj1g 3 місяці тому

    Sema tangu laiza aache kuprodce kiasi frani wasani wa wcb nikama wanabahatisha bahatisha sio kamazamani ukidondosha jiwe nijiwe sema kazinzuri pambanen

  • @yoramswagala6715
    @yoramswagala6715 3 місяці тому

    Mnaonaje Hawa watu tuwashindanishe watoe vitu vikali afu wabongo tuone Nan mkali

  • @user-iv5wr9wl9u
    @user-iv5wr9wl9u 3 місяці тому

    ww bado san wanakubeba 2 san lakin ww c projuza bora bini ladeni umuwezi

  • @sheddythemix321
    @sheddythemix321 3 місяці тому

    Baba zombie umeuwaaaaa usiongee Sana utachoka bule

  • @yoramswagala6715
    @yoramswagala6715 3 місяці тому

    Nyimbo za laizer zitaishi mpaka anakufa lakin wewe unachezacheza tu

  • @yoramswagala6715
    @yoramswagala6715 3 місяці тому

    Kaulize goole wakupe majibu

  • @matugarecords
    @matugarecords 3 місяці тому

    Hahahaaa

  • @mashakanyale2637
    @mashakanyale2637 3 місяці тому

    Na lizer nae anasemaje 😂

  • @abnassirkarriem-ko5pw
    @abnassirkarriem-ko5pw 3 місяці тому

    Mbona lizer Hana majigambo kama huyo mtoto

  • @sorwasoudy6256
    @sorwasoudy6256 3 місяці тому

    APN zombi co mkali zaid lizer..lizer ni kiboko

  • @AROMAAR_KING001
    @AROMAAR_KING001 3 місяці тому

    Burukengee ww kwangwaru ni ww ulifanya

  • @djhajiztz
    @djhajiztz 3 місяці тому +1

    mokoo

  • @user-ye2wd1wg5o
    @user-ye2wd1wg5o 3 місяці тому +5

    Kusema kweli zombi ni mkali ila kwa Liza bado sana

    • @Rapdoscomos
      @Rapdoscomos 3 місяці тому +1

      S2kizzy mkali sana

    • @AROMAAR_KING001
      @AROMAAR_KING001 3 місяці тому

      Lizzer noma💥💥💥💥

    • @emmanuelmwasyoge2053
      @emmanuelmwasyoge2053 3 місяці тому

      Lizer ukwali wake n nn?😅😅😅

    • @user-ye2wd1wg5o
      @user-ye2wd1wg5o 3 місяці тому

      @@emmanuelmwasyoge2053 katika African yy ni wa pili nenda Google uka angaliye huyo zombie hayuko hata wapi isi tosha zombie lazima saidiwe na huyo jama

    • @fisjaykitamuliko1183
      @fisjaykitamuliko1183 3 місяці тому +1

      Lizzer mkali kumzidi uyo zombi wenu . acheni kuji mambafai eti zombi labda mkali kwako

  • @emmanuelmwasyoge2053
    @emmanuelmwasyoge2053 3 місяці тому

    Zombies

  • @user-up2fb3ci6h
    @user-up2fb3ci6h 3 місяці тому +1

    Wee zombie

  • @user-iy3fx7cl1j
    @user-iy3fx7cl1j 3 місяці тому

    Top 11 ya Producer wakali Tz ,1 Majan, 2 Mikamwamba, 3 Man water ,4 Master j, 5 Marco chali,6 Mr t tourch ,7 Abby dad ,8 Mesen Selekta,9 Marehemu Roy, 10 S2 kizy,11 Laiza.Ila S2kizy ana kipaji san na ni mikali ila upepo wa wasanii unambeba