SALIM KIKEKE ALIVYOZINDUA KIPINDI CHAKE KIPYA MBELE YA ALIKIBA NDANI YA CROWN FM..
Вставка
- Опубліковано 30 чер 2024
- Kwa maoni au ushauri comment hapo chini bila kusahau ku like na kushare ili kuweza kupata update mbali mbali ndani na nje Ya Tanzania
Tufollow katika ukurasa wetu wa instagram @BONGO TRENDY TV
Na kulike facebook page Bongo trendy online - Розваги
Nice
Kikeke
Hii ni ya kikeke unajua ishu ni jina na mashabiki hawezi kuacha BBC eti akaja Kwa alikiba jamani lakini yote heri kikeke wetu pia Ali ni wetu ko Haina tatizo Songa mbele kikeke😂
Hii redio ni salim kikeke yan jins anavyojiexplain tu unajua kabsa hii redio ni yake
Sasa kuna shida gani hapo!ku share mafanikio sio dhambi