When I heard nilisunguka kila Kona kutafuta furaha ya Moto,l mungu kanipa ye anayenifaa naskia niko pengine mbali it can't disappoint......Yani guys hio song inatoanga mawazo
Wale mtakaokuwa huku mwaka wa 2092 nawajuza huu ndio wimbo uliotikisa mawimbi mwaka wa 2022 tukiwa katika pilkapilka za kutazam kombe la Dunia lililokuwa likifanyika Qatar.. Naam,Rayvanny kijana Toka Bongo akiimba roho yake yote kwa sauti nzuri kushinda ninga 🔥🔥🔥
Uuuuuwiii.endelea kutupa burudani kabisa kakangu.wakati mwingine nafurahia vibe yako hadi nashindwa nilie ama nicheke.kipaji chako kipo juu san.mungu azidi kukubariki
I love this 😀 congratulations 🎊 🎉 l will play this song on my wedding much love from Kenya 🇰🇪 we gat you Tanzanians l am l leaving this comment here so that when anyone likes, l will revisit no matter how many yrs it takes🙏
"Nilizunguka kila kona kutafuta furaha ya moyo mungu kanipa yeye anaye nifaa" I love this part
Ndakupeda sana oll artist from Tanzania and Kenya
Tanzanian never disappoint hapa ni t✔️✔️✨🌟
@@stephenmwenda3478loĺllllll
@@BabySamia7370 😘
Niko pamoja na wewe
Kilicho chema na kipewe sifa…Vanyboy doing what he does best👌🏼👏🏻
Mwamba ni mwamba kweli…hats off!
Tunakufuatilia toka Zambia 🇿🇲 unaweza mzeebaba ❤
Kbis manze Tena kwa noma I say tupo ndani ya zambia tuko na yeye kijana simba Rayvannay #Hoseachris
Ray kama kawaida,Nipo hapa nikijibamba
This is the song that I will have to my wedding the coming next four year.
Mwambaa chui 🔥🔥🔥🔥🇰🇪more love .....kama unaipenda mwamba weka like hapa
Naipenda
Kwan iyo nyimbo ni mpya
Kwan iyo nyimbo ni mpya
youtube.com/@kanjalaughter4723
Naipenda sana
Mziki wa huyu kijana unakutoa dunia halisia mpaka dunia ya Fantasia na kukusahaulisha matatizo.. you are the best chui
Nyimbo zote. Ni Kali hamna wimbo mbovu kama una kubali. Nipeni ata like 5 zinanitosha ❤️🔥
Chuii,,,very amazing
Exactly
🥰🥰🥰
The song is 🔥
Love 💕 TZ🇹🇿 songs
I am not a prophet, but this man will one day preach Jesus in this songs, this beats will praise Jesus soon. Amen.
hahaaa🤣
😂😂😂😂the beats si uongo
Chui official.... I like your work manzeeee
Tunaufunga Mwaka kihivi sasa. Home Boy, Mbeya Man, always proud of you brother, You Did Best All The Time.
Rayvanny nimekukubali kwelikweli,hit after hit🔥hardwork pays push on kaka 👏👏👏👏
ua-cam.com/video/vGhScH1I4YY/v-deo.html
Vanny boy nijeshi anapiga ngomakali
Shemeji mwambaa.🇰🇪🇰🇪Kenya tumeipenda sana
♥️🇹🇿
♥️🇹🇿
Nawapenda sana wasanii wote wa Tanzania......from Kenya 🇰🇪🇰🇪
Rayvanny is the pillar..he's super talented na nyimbo zake zote zimeweza..wacha likes kama wamkubali❤
Nakubali
namkumbatia...... hamnifanyi chochote ..tena namshika namchumu hamsemi chochote i love this part of the song vanny u are sooo talented
I nakam amazing sana
Sweet i can't sleep
Suzzane
Forever Chuuuuuuui❤️🔥🔥🔥🔥I'll always comment here ,, whenever I come across the mwamba song
@@iamFestanny-tz namkumbatia ,namleta shemeji yenu nyinyi mumuone
Nilizunguka kila kona kutafuta furaha ya moyo ❤️💕this song is 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥
Vile mtoto wangu anacheza huu wimbo, utadhani ni yeye alitungiwa, Tanzanians never disappoint when it comes to Love songs 🥰🥰🥰🥰
Dfggdsejjklkki8877uiuk 2345
Much love from 254 Rayvanny my all time Artist
Chui love your songs💕💕💕💕💕
Outrageous song ever inamangoma fulani hivi ya Kiafrica you kill bro🔥✊🏾
Ii ni anthem ya ploti yetu inaimbwa kila nyumba hadi wenye hawana redio wanaimba na mdomo. Song is fireeeee
Hahahaaa
i love you so much God bless you bro
Uneenete kyaw'o vyu.
Hii nayo imekubali kwa hio track "mwamba"so far my best ❤️❤️ vanny to the world
walai
Walai namprnda sana rayvanny anajua kuimba mno❤️❤️❤️
Who has watched this 10 times like me,, I have fallen in love with it,,, You're talented +254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Lots of love from Kenya
Song of the year imehit sana gonga like hpa kama umekubali
Excellent
@@marionotieno3465 d
Dedication to peris wangu
Mwamba
Mama wewe ni mwamba
Nakukumbatia hawanifanyi chochote
Wewe wangu natamba siogopi chochote
Namleta shemeji yenu mumuone, i love that part, pure talent 🔥
Kama unapenda chui avyo imba piga kereree kwa mwamba waake
Chuii mwenyeweee hawakuwezi
Wimbo unagonga mbaya huku Kenya 🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
No one talks about how Vanny Boy is so talented 🔥... Nifikisheni 1k subs ntashukuru 🙏
More than 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Let's do it
ua-cam.com/video/vGhScH1I4YY/v-deo.html
You too subscribe please 🙏🥺
Nimeupend wimb
Am tempted to complete "....Yesu ndiye Mwamba...Mwaba Mwamba.✅🔥💯😂
Nani atanipeleka kwa shemeji zangu hao wanione 😃kifaa hiki jameni 🥰🥰how can I like this song a million times ????? My Fav artist In Africa 🥰🥰
Niko kwa ajili Yako dada yangu ❤️❤️❤️
One day one tym watakuona tu mkuu 😂😂😂😂😂😂😂
Much love from Kenya🇰🇪🇰🇪 vannyboy
I saw it on pastor Lucy Natasha on her Valentines, I have fallen in love this song 🥰🥰💞💞🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲
Mwamba uyu apa❤️❤️❤️
I love this kind of melody and I thank God for AFRIMA awards you've won in US. Big up Mr Chui
Napenda nyimbo zako Rayvanny 👏👏👏 Nakupenda sana Anne kutoka 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Wimbo za mapenzi vannyboy ni number1 much love from🇰🇪🇰🇪
I listen thing song more than 10 times a day I really love it big up bro💕💯
I love this vañy boy❤️❤️❤️
Nakwambia hii song inasumbua namba moja huku Kenya,Kila mahalo mwamba waaahhh wakenya shida Nini genge ton yanini
Rayvanny wewe ni shujaa wa kuimba msalimie macvoice I💞💞💞 your songs
I wish harusi yangu ingekua kesho hii ngoma ni tamu sana ya arusi😍😍
Nice song ❤❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
This will be my wedding song...Inshallah...big up Vanny boy....
Weuh am in love with this song, more love from +254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
It's rayvanny n the mic for me😅😅😅talent on top notch
Mwamba huyu hapa#kifaa hichoo chombo hichoo oyeee 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Ni Sawa basi, sisemi chochote😂😂😂😂... Chui, mwamba ni wako. 🔥🔥🔥👏
Big dédicaces à toutes les mwamba de la RDC 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Hii naeza watch na Baba na mama na familia Yangu yote... Clean content
Kama umerudia hii Wimbo more than 2 times watching it wacha like hapa
More than 30 times
I ndio song ilifanya nkapenda mtoto wa wenyewe❤❤. Listening from Kenya🇰🇪.I like it
Everything Rayvanny releases is 🔥🔥🔥
This song is woow🥰inaweza chezwa mahali popote 🔥#imeweza#imekumbalika🔥🔥💯☑️Chui
Mwambaa,,🔥🔥Vanny Never disappoint..u rock Vanny boy,,🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪
When I heard nilisunguka kila Kona kutafuta furaha ya Moto,l mungu kanipa ye anayenifaa naskia niko pengine mbali it can't disappoint......Yani guys hio song inatoanga mawazo
WOW ❤ nakubali 100% penda sana vanyboy
Now this is the music we expected. Your destiny is brilliant bro
This dude is so talented ...
Good work chui more love from 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪kama unapenda mwamba like sikam zote
Hi
Chuiii 🐅🦅 msanii number 2 in Africa 🔥🔥🔥 mwamba kiukweli❤️❤️❤️
Mi ni fun wa Rayvanny damu, sending love from kenya🇰🇪
Vannyboy safi sana
I might not understand what he’s saying, but I guess he’s expressing his true true love for her ❤❤❤
🇹🇿🇹🇿
Goofy
Music is universal language
Hizi comments zenu zinanifurahisha😂 najua we n mkenya kutoka kayole 😂
@@nyambogambura1440 ebu shout kabisaaaa....pia mm sielewi kile anasema😂😂😂😂
Mwamba kavunja recodi 🥰 mwamba haozi santa baba mwamba vanny boy...Nakupenda buleeee😊🤗
Wale mtakaokuwa huku mwaka wa 2092 nawajuza huu ndio wimbo uliotikisa mawimbi mwaka wa 2022 tukiwa katika pilkapilka za kutazam kombe la Dunia lililokuwa likifanyika Qatar..
Naam,Rayvanny kijana Toka Bongo akiimba roho yake yote kwa sauti nzuri kushinda ninga 🔥🔥🔥
Hii imeweza👏
This guy has one of the best voices in Africa! Some of his songs are melodic dome are filled with rhythm! Five stars!
🌟 🌟🌟🌟🌟
I love this manzee kitu kiliipikwa kikapikika ..chombo kifaa🔥🔥🥂
Likes from 🇰🇪🇰🇪
Uuuuuwiii.endelea kutupa burudani kabisa kakangu.wakati mwingine nafurahia vibe yako hadi nashindwa nilie ama nicheke.kipaji chako kipo juu san.mungu azidi kukubariki
This is pure talent ❤️ Vanny boy big love from your Kenyan brothers
🥰🥰🥰🥰
Wewe kweli ni mwamba huu mwimbo nimeungilia nao hata kwenye harusi yangu❤😊🥰🥰🥰🥰
Daktari WA mistari💜💜💜💜📢📢📢
Let me hope my future bae hajapitwa na hii songs,,,much love vanny boy 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
I've heard it😂
😂😂
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥We love you vany bwoy from kenya
Fantastic ,very talented you guy much love from Kenya ,,,
Love you 😘😘 Rayyvan nakupenda ❤️ naiyii ngoma ndo nita imba kwa arusi yangu Love you so much
This gonna be my song on my wedding😍....haya nishapata nyimbo bado bwana😂😂😂
hapo kwa bwana ntafte🤣
Nkajua bwana ushapata 😂😂
mbona hizi chance zinakujanga ka uko na mtu😜😜
🤣🤣🤣🤣🤣😁
🤣🤣🤣🤣
My all time artist. The song is not only a hit but with a soothing heart melting romantic lyrics as accompaniments.
My son who is 3yrs old loves it to the moon n back
Dueaf
Hit after hit ,,Vannyboy never let's me down
My no 2 artiste
HIS vocal
t͎o͎p͎ m͎r͎ rayvany❤❤
Rayvanny is the most talented Tanzanian musician. Huyu hata Diamond anamuonea 18
This is stunning guys. We love you Ray. keep on pursuing your dreams.
ua-cam.com/video/vGhScH1I4YY/v-deo.html
Can't get enough of it,Rayvany never disappoint 💓💓💓🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Never dissapoints
My favorite east African artist. From 🇰🇪
Wewe Mwamba wangu ❤❤❤❤
Bro you are not just talented but gifted too, wonderful voice and fully of wisdom in your music....
You are truly an artist. Greetings from Sudan 🇸🇩to the great people of Tanzania.🇹🇿 Africa is full of cultures and heritage
Are you in Khartoum?
@@PESAUP yes
Your songs are so sweet bro
Very true that
This guy never disappoints..🇰🇪🇰🇪💞💞
youtube.com/@sweetbake8426 pitia kwangu please
I tell you this Rayvanny he can't dissapoint♥️🌹♥️🌹
He never can,,,,,always the best🥰😘
♥️🇹🇿
That's true
Representing Kenyas 🇰🇪 and to confirm this sweet hit 💯💫❤🔥
Hii imeweza🥳🥳♥️♥️🔥🔥🔥🔥
@@jaredomondi8407 Kabisaa 🙌
Yes bro I am flyboy ya zamani where u
Nafurahi sana juu ya hili wimbo jameni Niko na kijana ambaye ako na talanta ya kudance so who will support him plz
Woow..Ravnany is so talented..big up
Mob love from +254,msela kaweza kweli ngoma kali kabisa,big up vannyboy to the world 👏👏👏👏
You made Ugandans to love Tanzanian music , much love from Uganda
Kalibu Mombasa mwana wa tata
Mwamba Uyu Apa, Ukimuona Chui Unajua Leo Goma Goma Tu...😂🙌😂
Kabisa yani ukijaribu kukaa kidogo ajaachia huwa nakaa chizi
@@feihfaih254 🔥🔥🙌😂😂
Msanii bra África masharki
Kkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkk
Kkkkkkkkkkk
Well presented by chui🔥🔥... Enjoying Tha great music representing 254🇰🇪
I can see how my fellow Kenyans celebrate this guy Rayvany ❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
❤
😊I 6t
@@bakarirwambo1765 hh😋😎😎😎
Kenya gather here🇰🇪🇰🇪🇰🇪
He never disappointed 💯💯
Tanzanians don't disappoint in thier industry..much love from kenya ❤🔥🔥🔥✅
Very true 💯👌
Nice2
All the best
Yes that's true
Hope willy Paul anaona hii
0%nudity
100%content
100vibe
Keep it up Mr Ray
Hi
I love this 😀 congratulations 🎊 🎉 l will play this song on my wedding much love from Kenya 🇰🇪 we gat you Tanzanians l am l leaving this comment here so that when anyone likes, l will revisit no matter how many yrs it takes🙏
Watazania maze best content creator ki mziki mko sasawa❤❤❤❤❤
Already One of the best wedding hits of the year. VIVA Rayvanny