URUSI yaelekea kuacha kuwatambua TALIBAN kama kundi la KIGAIDI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 вер 2024
  • Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

КОМЕНТАРІ • 101

  • @HassanAbdallah-f6o
    @HassanAbdallah-f6o 3 місяці тому +37

    Waislamu wakipigania maslahi ya nchi yao wanaitwa magaidi ila wakristo wakipigania nchi yao wanaitwa wanaharakati .

    • @kakorejrboyz6447
      @kakorejrboyz6447 3 місяці тому +3

      WAISLAM 😂😂😂😂..
      KUJITOA MUHANGA SANA ..
      NDIO MAANA WANAKUWA MAGAIDI NA NIMAIGI KWELI

    • @JohnCage-we6tp
      @JohnCage-we6tp 3 місяці тому

      ​@@kakorejrboyz6447yeah ni kwel ila ila kwa nin Mareakan alivamia Afghanistan, sababu Afghanistan walikataa kuwap Osama sio ndio mbon kwenye hizo nchi za waxungu kumehaa wakinbizi wa kisiasa ambao ni wala Rushwa wakubwa wa Africa na hakun mtu yeyeote alietumia nguvu kuwarudisha kwenye nchini zao ,ila marekani yeye akisem kitu ni lazima kutii Yan hap t ndio naichukia marekan kitu ambacho anafany yeye akifany mwengine ni makosa

    • @ShaibuMkullu-ck6sl
      @ShaibuMkullu-ck6sl 3 місяці тому +3

      Wale huwa wanajitoa muhanga au hujiripua kwa sababu ya kukosa silaha za kutosha, wangekua na silaha za kutosha sizani kama wangefanya huu ujinga wa kijiripua na wao wenyewe, ni kweli wale sio magaidi bali ni watu wanaopigania maslahi ya nchi zao.

    • @gasperjohnson3388
      @gasperjohnson3388 3 місяці тому +1

      Waislam wao ni magaidi toka uanzishwe uislam😂

    • @kiuje
      @kiuje 3 місяці тому +1

      Mimi nikiwa kama muafrika Sina Cha kusema Kila mtu angalie mambo yake sasa wewe uwe muislam mkilisto yote ya nini dahh 😂

  • @RamadhanpMwakilasa-di5hc
    @RamadhanpMwakilasa-di5hc 3 місяці тому +24

    Team Putin tuko hapa like zangu jamn

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 3 місяці тому +14

    Gaidi ni Mwislam yeyote mwenye nia ya kuweka au kutamani sheria za Quran zitawale, hii ni tafsiri ya mataifa yote yasio mjua Mungu, kwahiyo kwao haina shida ukicheza kamari, ukinywa pombe, ushoga, ukiuza bangi wewe sio gaidi , ukiwa mzinzi wewe sio gaid, cha ajabu waeza kuta hawa Jamaa wako upande wa Yesu na wanafanya yote yesu aliyo agiza, upande mwingine ukawa ni wauvu na watu walio laaniwa, Kesho kutakuwa na kazi kubwa, wale tunao waona ni Magaid huenda mbele za Mungu wako sahihi saaana tena saaaana, sisi tuendelee tu ulevi alafu tutaraji kuuona ufalme wa Bingu , yaani tuingia mbinguni kwa kutamka tu Yesu nakupenda tu basi tumemaliza

    • @hajjiomary2383
      @hajjiomary2383 3 місяці тому +3

      Nimekupata vizuri

    • @omarzinga7046
      @omarzinga7046 3 місяці тому

      Mzungu especially jaws ukiwapinga basi wewe utaitwa gaidi wao ndio wanaotawala dunia

    • @AhmadaHassan-gy5uj
      @AhmadaHassan-gy5uj 3 місяці тому

      Kaka upewe mauwa yako

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 3 місяці тому

      Ukiuwa kama wanavyofanya Hamas, Boko Haram, alshabab na islamic state ndiyo uislam halisi

  • @abbasisudi6899
    @abbasisudi6899 3 місяці тому +10

    Wao marekan gaidi maana yake ni mtu au nchi isiyoendana nae ,ukiwa tofauti na tu we gaid

  • @hassangaddafi2347
    @hassangaddafi2347 3 місяці тому +8

    Putin baba lao ❤❤🇷🇺🇷🇺💪
    Free Palestinian ❤❤🇵🇸🇵🇸🇵🇸🇰🇪

  • @hamedyahya9291
    @hamedyahya9291 3 місяці тому +4

    Allahu Akbar insha Afghanistan inshi dora la kislam lenye nguvu

  • @HashimOlomi
    @HashimOlomi 3 місяці тому +5

    Inshaalaa Alaaa awape nguvu Talibani kwa xababu wantii Allaaa na kurani

    • @Awatee
      @Awatee 3 місяці тому +2

      ALLAH humma Amiin

  • @merrymwakunje4108
    @merrymwakunje4108 3 місяці тому +4

    Sky tunataka kusikia pia kutoka Kwa yeriko Nyerere kuhus ajal ya Iran tunaomba sana kama wadau wa hii chanel

  • @subrynerysegerow1323
    @subrynerysegerow1323 3 місяці тому +3

    Huo ndo ukweli wakishindwa kuwapigq na kuchukua haki zao ndo waamua kuwaita magaidi na wamejitahidi sana kuwafanya waonekane magaidi mpaka wengine leo wanafikia kusema mm kabla sijasoma quran nilifikiri kitabu hicho kinafundisha ugaidi tu lakini sasahivi ukweli wote uko wazi watu wanaamka sasa kwasababu waliotunga uongo wao leo ndo wanaonyesha dunia dhahili wao ndo magaidi wenyewe angalia machafuko yanayoendelea duniani sababu ni wao

    • @mussaabobakar7537
      @mussaabobakar7537 3 місяці тому +1

      Kwel unajua wanatumia nguvu nyig kwa din ya Kislam kwasababu ndo kikwazo kikumbwa cha mambo yao kusongea mbele ndo majina Ugaid ss wakristo wa tz wamepadizwa kitu kimoja uislam pia ni kufunga majin na uchamwi 😅😅😅😅😅 ni uongo tu na wao wanaamin

    • @subrynerysegerow1323
      @subrynerysegerow1323 3 місяці тому

      @@mussaabobakar7537 Tanzania tatizo hawapendi kujifunzq vitu na wanalishwa matango pori kila siku na wanaamini kwasababu hawajuwi kitu😀

  • @dunkchainz7237
    @dunkchainz7237 3 місяці тому +6

    New World Order… muda wa kufuata Idiology za magharibi umefika mwisho…. Magaidi namba moja duniani ni Marekani na Uingereza.

  • @kimbwapulekig8126
    @kimbwapulekig8126 3 місяці тому +4

    napenda sana urus wanavyofanya adi inatia iman kama kwer ni wakomboz wa dunia

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 3 місяці тому

      Hujui Putin alivyo wachapa waislam wa kremia

  • @IsayaMorange-wb5ek
    @IsayaMorange-wb5ek 3 місяці тому +8

    Maitwa Issaya,,,,nipo Dar es salaam
    SWALI kwa ALLY na SMAH..
    ...je ni sababu gani za msingi ambazo zinampa nguvu Marekani kutoa vikwazo kwa NCHI nyingine duniani,,,, na kwanini wao wasipewe vikwazo na NCHI nyingine ambazo zinanguvu

    • @zebedayokatamaduni9676
      @zebedayokatamaduni9676 3 місяці тому +1

      Marekani ndiyo baba lao😂😂

    • @fadhilamour836
      @fadhilamour836 3 місяці тому +4

      Kwa sababu sarafu ya Marekani ni sarafu ya hakiba ( reserve currency) ambayo ndio inatumika katika biashara za kimataifa , hiyo ndio inayompa Marekani kiburi , nimekujibu kwa ufupi tu SNS watakufafanulia kiundani zaidi👍

    • @FrankDavid-en6on
      @FrankDavid-en6on 3 місяці тому +2

      Kaangalie makala ya dj smaa inatwa mpango wa putin kuiua dola

    • @jumashedafa
      @jumashedafa 3 місяці тому

      1. Dollar; Ndio silaha yake kubwa ila BRICS inakuj kuwa solution
      2. NATO; Member wote wa Nato wanamsikiliz marekan yan ndio baba wa nchi zote za NATO
      3 U.N; Haina sauti juu ya Marekan kwa lolote ipo tyr kuadhibu mataifa mengin ila kwa marekan hapan ata waone wanafanya nn...Rais akisema wao kimya
      4. The HEGI...Pia ipo mikonon mwao..Mahakama ya kimataifa haina kauli kwa marekan..tizama ilivyotoa order ya kukamatwa kwa Netanyahu...Marekan alikuja kumkingia kifua na kumtetea..Mahakama kimya na aliyetoa order akaambiwa hiyo mahakama ni kwa ajir ya Afrika
      5. UCHUMI; Ni moja kati ya top 3 yenye uchumi mkubwa na imara dunia..hivyo anautumia kama mbinu ya kuadhibia walioko chini wanajua nikiwaban watakuj tu au watakubalian na matakwa yangu
      6. Nguvu za KIJESHI; Kwenye vikwazo ukifaulu wanakuj kukushambulia wao wenye au vikundi vya kigaidi na kutoa misaada ya kivita na silaha
      7. IMF; Shirika la fedha duniani lipo chini ya marekan hivyo ukizingua hupewi mkopo na wanakopesha san nchi zingine kwa riba kubwa ili waweze kuzitawala na kuwa tegemez kwao; hivyo ukisikia vikwaz unakuwa mpole isipokuwa kama kiongozi akiwa imara haogop mf; UGANDA dhidi ya Sera yao ya Ushoga
      8. WHO; kwa kias flan nalo hulitumia kuadhibia wengin
      9. Woga, kutokomboka kifikra, tamaa na kukosa msimamo kwa viongozi wa nchi nyingin kupitia viongoz wake au viongoz vibaraka.
      Hivyo ndiy vinampa jeur

    • @Awatee
      @Awatee 3 місяці тому

      ​@@zebedayokatamaduni9676kwako weye baba lao

  • @jumashedafa
    @jumashedafa 3 місяці тому +5

    Marekani ikimtambua Kenya kama mshirika mkubwa na wakaribu wa NATO...Russia naye anaongeza wababe wengine wa kivita kwanz kwa kuwatoa ktk ugaidi na huenda baadaye wakaw ni washirika wake wakubwa na huend wakatumika ktk mission za kivita za Rusaia

  • @hamoudcreator6343
    @hamoudcreator6343 3 місяці тому +7

    Afghanistan Ni Nchi ambayo inaonyesha kabisa Nchi ikiongozwa Kiislam, Uchumi na Kila kitu kitaenda sawa..
    Uchumi wa Afghanistan now uko juu sana, kabla ya Magaidi wa Kimarekani hawajafurushwa....
    Kwasababu minyororo ya rushwa, kamari na wizi yote imepigwa marufuku na Uislam...

    • @Awatee
      @Awatee 3 місяці тому +2

      ALLAH atazidi kuasimamia na kuabariki

    • @hamoudcreator6343
      @hamoudcreator6343 3 місяці тому +1

      @@Awatee Amin 🤲

  • @salehkhamis-ob8ln
    @salehkhamis-ob8ln 3 місяці тому +1

    Asanten kwa uchambuzi tuleteeni madini kama haya

  • @asmaalghafri449
    @asmaalghafri449 3 місяці тому +6

    Hawa wamagharibi fitna wa dunia wanataka kutawala wakishindwa kutawala wanawaita magaidi vipi watu na nchi yao wanaishi kwao wanaita magaidi kwao magaidi wamejaa wahuni wakila aina uchafu wa kila aina wameshwindwa kurekebisha

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 3 місяці тому

      Ungejaribu kujiuliza kwanini waislam wengi wanakimbilia ulaya na America badala ya Urus au china

  • @FadhilliIddy
    @FadhilliIddy 3 місяці тому +4

    Dj smaa wap kwenye uchambuz, mbn hatumsikii

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 3 місяці тому +5

    Hapa Duniani ukijiona wewe ni mjinga na huna unalolifanya hapa duniani fikiria hili , Marekani wamepigana zaid ya Miaka 20 ili waitoe Taliban madarakani na kutumia zaid ya dola trilioni moja na mwisho wake ikashindwa vita na kuikabidhi Talibani Madaraka kwa mazungumzo maalum Nchini Qatar na kuwaachia silaha zote na kuwaambia endeleeni Baba na Nchi yenu, funzo: ukisimamia jambo lako na kuamini unaweza , Mungu huwa pamoja nawe, leo nani anatamani kwenda Afghanistan tena kupigana na Taliban hahahah wote tumeingiwa ubarid wako huru sasa na mila zao

  • @HashimOlomi
    @HashimOlomi 3 місяці тому +5

    Daima uislamu utaxhinda na utaongoza ulimwengu

    • @lakasid3860
      @lakasid3860 3 місяці тому

      Mnataka muongoze dunia ili iweje, mchinje wakristu wote au?

    • @vincentcharles4385
      @vincentcharles4385 3 місяці тому

      Labda wataiongoza Jupiter au Mars

    • @Awatee
      @Awatee 3 місяці тому +2

      ​@@lakasid3860Apo unapo ishi ushachinjwa acha chuki lzm dola la kiislamu litasimama in shaa ALLAH

    • @Awatee
      @Awatee 3 місяці тому

      ​@@vincentcharles4385Ikiwa dunia ya kwenu

    • @lakasid3860
      @lakasid3860 3 місяці тому

      @@Awatee sijawah kwasababu dunia ipo mikono salama sasa nashangaa nyie mnataka eti muongoze dunia kwa dola la kiislamu ili iweje sasa au mpo kwenye mashindano na Imani zingine kuzionesha jinsi mlivyo wababe?

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 3 місяці тому +2

    Of course hii nimeipenda sana maana hao wa magharibi ni wazee wa propaganda saana muda wa uongo kuwa ukweli umeisha

  • @Gulfnas1
    @Gulfnas1 3 місяці тому +2

    Aiseee hi dunia bila America ni salama sana

  • @madjidfine4295
    @madjidfine4295 3 місяці тому

    Safi sanaaa kaka tunakupata mia mia

  • @AbubakarAlly-th6op
    @AbubakarAlly-th6op 3 місяці тому +2

    Smaa wapi?

  • @harikerajolly3
    @harikerajolly3 3 місяці тому +2

    Dj sma ndio kafutwa ama????

  • @abbasisudi6899
    @abbasisudi6899 3 місяці тому +3

    Ndio baba

  • @hajjiomary2383
    @hajjiomary2383 3 місяці тому +1

    Wameona america inawasumbua .unaoana America anapeleka mabom na ndege ukrain ihipige urusi

  • @hamisiprinsi5240
    @hamisiprinsi5240 3 місяці тому +3

    Putin anaujuwa vizuri mziki wa taliban muache awakubali hao mujahideen

  • @Kzm-c9u
    @Kzm-c9u 3 місяці тому +2

    Mziki wa Taliban sio mdogo

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 3 місяці тому

    Putin barikiwa Sana mungu yuko upande wako

  • @paschalfausitine7108
    @paschalfausitine7108 3 місяці тому +2

    Bora afazari mungane muwanyoshee

  • @yayananajota5838
    @yayananajota5838 3 місяці тому +1

    Aly masood hebu tupe mrejesho wale jamaa magaidi walioshambulia Russia, hali zao zipoje kule jela, washapona 🤣🤣

  • @homeboybeyondtheborders4935
    @homeboybeyondtheborders4935 3 місяці тому

    Haya Taliban walipigana na Urusi miaka ya themanini ila leo wanatambuana,Taliban walisaidiwa na Marekani kipindi hicho kweli siasa noma.

  • @hamisitsuma-rc2ej
    @hamisitsuma-rc2ej 3 місяці тому +1

    Muulize ali dj sky baada ya kushambuliwa afganistan Osama alipatikana

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 3 місяці тому

    Wote magaid

  • @kiuje
    @kiuje 3 місяці тому +1

    Waafrika tujitoe kwenye mifomo ya kidini aise hiii inatudumaza akili na inatagawa

    • @user-ye4iy8jy2z
      @user-ye4iy8jy2z 3 місяці тому +4

      We kama ni mpagani endelea kua mpagani usiwaambie wenzio wajitoe katika udini utafaham zaid ukiwa kaburini karibu sana

    • @vincentcharles4385
      @vincentcharles4385 3 місяці тому +1

      Dini za wakoloni zinatutesa

  • @eveliusreveliantv5985
    @eveliusreveliantv5985 3 місяці тому +1

    Putin naye ana ajenda kama za mmarekani

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv 3 місяці тому

    💯% Namkubali putin 💚

  • @user-zg1pu1gl2d
    @user-zg1pu1gl2d 3 місяці тому

    Putin ni mjanja sana

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 3 місяці тому

    Viva Russia ❤

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 3 місяці тому

    Putin afe

  • @saidyabdalla7410
    @saidyabdalla7410 3 місяці тому +1

    😂

  • @StanleyJohn-c1u
    @StanleyJohn-c1u 3 місяці тому +2

    Urusi yeye amewahi kuisadia nini Tanzania binafsi sina nachojua.

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 3 місяці тому +3

      Vingi mnoo kijeshi na kielimu miaka ya 70 na 80 mamimia ya vijana wakitanzani walipata fursa ya kwenda kusoma masomo hususan udaktari urusi, madaktari wengi mpaka leo wapo walopata iyo chance hata misaada ya kifedha kwa serikali

    • @sultanbakary4292
      @sultanbakary4292 3 місяці тому +3

      Ww huyo marekan amekusaidia nn

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke 3 місяці тому +2

      Mimi baba angu alikua mwana jeshi na zilipo kuja nafac za majeshi kuenda urusi nae alikuepo na rafiki zake ambao mbaka sasa wengine wapo hai

    • @vincentcharles4385
      @vincentcharles4385 3 місяці тому +1

      Na hao Miungu wa kiarabu pia sijui walitusaidia na wanatusaidia nini mpaka sasa😮

    • @ramadhanrobin-st6hh
      @ramadhanrobin-st6hh 3 місяці тому

      Kwani ww vijna wa kitanzania wanaoendga kusoma military science wanaendga nchi gan? Kma siyo russia

  • @davidsika5292
    @davidsika5292 3 місяці тому +1

    Gaidi la kirusi anaungana na gaidi la kiislamu hatari hapooo😅😅😅

    • @Awatee
      @Awatee 3 місяці тому +2

      Makafiri ndio munaongoza kwa ugaidi dunian huku mkijificha kwenye kivuli cha democrasia na haki za binaadam uislam ndio dini pekee inayo tambua hadi haki za wanyama na sio binaadam ukisimama kwenye haki unaitwa gaidi kwa kupinga ujinga wa mashetani wa kibinaadam

    • @wadantz123
      @wadantz123 3 місяці тому +1

      Kijambio kinawasha ngoja wamarekani wakakupulize kitobo iko

  • @user-tq4lx9si1n
    @user-tq4lx9si1n 3 місяці тому +3

    Taliban nimagaid wakiislamu mbonaiyo ikowazi kama yambuzi

    • @aasatt78
      @aasatt78 3 місяці тому +6

      Ugaidi wao nini?

    • @saidyabdalla7410
      @saidyabdalla7410 3 місяці тому +5

      Sio magaidi ni wapigania and Uhuru

    • @jumamussantuiche
      @jumamussantuiche 3 місяці тому +3

      Kama mulizowea watu kuwapola mali zao.kisha munawaita magaidi imedunda.

    • @zebedayokatamaduni9676
      @zebedayokatamaduni9676 3 місяці тому +1

      Sasa mbona kila siku watu mnajitoa muhanga😂😂huko huko Afghanistan 😅

    • @muksinimbaruku1233
      @muksinimbaruku1233 3 місяці тому +1

      Naona mgaratia umeanza kukurupuka

  • @deathrow8004
    @deathrow8004 3 місяці тому

    Wanawakubali sana taliban☝🏻