sheikh Allah akulipe kheri Mimi nilitumia Ile Dua ya alhamdu 41,ayat kursy 7,lailaha illa anta inni kuntu minadhalimin 41,surat Nas 7 na falaq 7.Wallah imenisaidia kabla siku 7 hazijaisha ngozi yangu ikarud nililogwa vibaya subuhanallah na nitaendelea kutumia huenda uchawi na vifungo havijaisha maana tangu Niko mtoto nimeathirika na uchawi
Shukrani Sana Allah akulipe Mara dufu duniani na ahera,halafu Rabbi inn liman anzalta Ila hiya mina ghairly fakir cjakosea spelling? Ili tufanye Dua kwa usahihi
rabb inn limaa anzalta ilahya min khayr
Fakir×1000 soma asubuhi au usiku .
Walaikum salam warahmatullah wabarakatuh, Allah akupe mema duniani na Akhera.
Shukrani bint kijangwa na Omarabu kwa ufafanuzi mzur
Shukran Allah akujaze kheri
Asante mwalimu nasubili Dua ya Yasin kumkamata mchawi .KUNA DUA HUM INA MAAJABU AISEEEE!!!!!!!🙌🙌🙌 TUACHE UVIVU 😊
Dua ipi mana maalim anatoa dua nyingi
Jazzakka Allah khyern ❤
Shukran jazzakallah kheiry maalim
شكرا جزيل وجزاك الله خيرا على هذا الموضوع المفيد.
ufupisho:
soma dua hii kila asubuhi mara x1000
رَبِّ إِنِّي لِمٓا أَنْزَلْتَ إِلَيَّ مِنْ خَيْرِِ فَقِيْرُُ.
Alhamdulilah
Shukran jazakallah khair
S.W.A
Jazaqallahu khaira
Alhamdulillah sheikh Allah ukuzidishiye elimu nyingi uwe unajitolea kutujuza inshaallah
sheikh Allah akulipe kheri Mimi nilitumia Ile Dua ya alhamdu 41,ayat kursy 7,lailaha illa anta inni kuntu minadhalimin 41,surat Nas 7 na falaq 7.Wallah imenisaidia kabla siku 7 hazijaisha ngozi yangu ikarud nililogwa vibaya subuhanallah na nitaendelea kutumia huenda uchawi na vifungo havijaisha maana tangu Niko mtoto nimeathirika na uchawi
Shukrani Sana Allah akulipe Mara dufu duniani na ahera,halafu Rabbi inn liman anzalta Ila hiya mina ghairly fakir cjakosea spelling? Ili tufanye Dua kwa usahihi
Wengine atujui
Maa sha Allah
Mie niliwahi isoma japo sijasoma kwa idadi maalum
Ila maa sha Allah
Maa sha Allah
Maa sha Allah
Allah akuhifadhwi sheikh wetu
Masha allah samahan my naomba niandikie iyo dua kwa kiswahili
@@manasa2449 Rabbi innii limaaa anzalta ilayya min khayri faqiir suratul qaswasw aya 24
@@Naw89 shukran habinty
Hi dr mbona autoagi elimu ya majini
Hv naweza kumsomea ndugu yangu mwenye Maisha magumu?
Shekh uwe unatoa na tafsiri ili mwanafunzi aelewe anachokisema anamaanisha Nini.
@zikolyra Mashalaah!
Rabbi inni limaaanzalta ilaiya min khairin faakir
Shukran shekhe wetu