Pt4_USHUHUDA WA PETRIDA:Yesu alinionya kuhusu sherehe za Christmas,NewYear,Halowen,FashionCarnival

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 127

  • @PromovertvTz
    @PromovertvTz  Рік тому +9

    Wasiliana na Petrida Karch kwa What'sApp no. +491758114293
    Wasiliana nasi promover tv kwa What'sApp no. +255784074462
    Kujiunga na group la Petrida Karch, Bonyeza link hii chat.whatsapp.com/KngcNJwF9gOKp8FUiKxhjg

  • @alexanderobaye7576
    @alexanderobaye7576 10 місяців тому +1

    Bwana Yesu asifiwe, kweli napenda sana mahubiri yako na ufunuo unavyo funuliwa pia nami nafunza kanisani ili wote tufaidike

  • @BintiMwambapa-ev6kw
    @BintiMwambapa-ev6kw Рік тому +1

    Barikiwa sanaaaa Mtumishi wa MUNGU, Bwana YESU azidi kukutunza

  • @SeverinKisey
    @SeverinKisey Рік тому +1

    Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu hui ni ukweli wenye kuwaponya wanyenyekevu wake Yesu

  • @elinurujohn975
    @elinurujohn975 Рік тому +2

    Asante mtumishi Mungu akubariki sana .na mm natakakua karibu na Mungu kama ww.

  • @jolemerci2155
    @jolemerci2155 Рік тому +3

    Nilichungaga kwa hamu mutu atakaye leta siri hizi ao habari hizi mimi naburudika sana Mungu nashukuru kuni julisha habari hiyi amina

  • @LilianAkoth-xq1rl
    @LilianAkoth-xq1rl Рік тому +1

    May God be glorified the knowledge that he giving us

  • @nangongolukundula9367
    @nangongolukundula9367 Рік тому +1

    Asante MUNGU kutukumbusha, Asante sana mutumishi wa MUNGU akubariki na akujaze namengine ilitujue sirizinazofichwa, Asante Jacktan MUNGU akuongeze myaka yakuishi

  • @louisendunguru7106
    @louisendunguru7106 Рік тому +5

    Kaka Jacktan Mungu akubariki macho yangu yamefunguka sana kwa shuhuda mbali mbali.. mtu akiangamia ni kujitakia.. Bwana atusaidie

  • @liesharehema5193
    @liesharehema5193 Рік тому +1

    Mungu ni mwema kwetu Rehema zake ni nyingi kuliko dhambi zetu nimekuelewa Sana mtumishi wa Mungu barikiwa sana

  • @angelalex8727
    @angelalex8727 Рік тому +1

    Asante mtumishi Mungu akubariki kuna kitu kikubwa sana nimejifunza hapa

  • @martinehng9655
    @martinehng9655 Рік тому +2

    Bwana Yesu asifiwe Sana kwa ujumbe huu.lakini ninaushauri Mungu ametukataza Ku vaa pète ,kupondowa.... Haya. Yote ni sanamu .pete zandoa sisahihi.ndio maana usivae tena hizi pète vidoleni mwako.ubarikiwe n'a Bwana Yesu .Roho mtakatifu akuongoze asante.

  • @tedymalekela
    @tedymalekela Рік тому +1

    Amen hata usingizi umepotea

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 11 місяців тому

    Yaan mm nachanganyikiwa mnawaongoza watu kwenda kwa yesu kukumbuka kudhaliwa kwake mnakataa dini hiyo dada

  • @56manya
    @56manya Рік тому +1

    Asante dada for this word.

  • @sumembena1667
    @sumembena1667 Рік тому +4

    Upo sahihi kabisa. Ila mpendwa hiyo Pete uliyovaa pia ni kikwazo cha kuingia Uzimani.

  • @levismike16
    @levismike16 Рік тому +1

    Asante mtumishi Patrida Mungu akulinde

  • @carenhilary8067
    @carenhilary8067 Рік тому +1

    Asante BWANA YESU kwa upendo wako

  • @petermagoye5482
    @petermagoye5482 Рік тому +1

    Hallelujah hallelujah hallelujah,, najisikia amani moyoni,, eeee Mungu wa Ibrahim, ISAKA na Yakobo nisaidie Amen

  • @samwelimwanja4105
    @samwelimwanja4105 Рік тому +1

    Jamani nashukuru sana kwa somo hili huenda wanawake wakabadilika kwa kujua ukweli huu.

  • @bintmwambapa7734
    @bintmwambapa7734 Рік тому +1

    Aminaaa Mtumishi wa MUNGU,

  • @safinaasifiwe9895
    @safinaasifiwe9895 Рік тому +2

    Munguu anazidii kutupa maonyoo🙏🙏🙏🙏

  • @yakobomkristo872
    @yakobomkristo872 Рік тому +2

    Biblia Ya Kiingereza Imetumia Neno 👉 The Sixth, Na Siyo Neno 👉 June.

  • @nellygathoni2496
    @nellygathoni2496 Рік тому +2

    Bona unavaa Bado Pete na unasema mungu hapendi

  • @bazurimwemdi9060
    @bazurimwemdi9060 Рік тому +1

    Ubarikiwe mtumishi wa beana

  • @julianawairimu801
    @julianawairimu801 Рік тому +1

    Asante mtumishi wa Mungu,

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 Рік тому +3

    Hapa ndipo watu mbavuruga ukristo mnaposema Mmetumwa na Mungu na huku mnatuletea Uongo ,Naumia saana mimi

    • @Mfunzo
      @Mfunzo Рік тому +1

      Uko sahihi ndugu

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 Рік тому

      @@Mfunzo inaniuma Wanauchafua Ukristo,kila Mtu anasema ametumwa na Yesu huku hajui hata anachokieleza ,Yesu wetu si wa Utani kihivyo

    • @faidamramba4887
      @faidamramba4887 Рік тому

      Aki mm nashangaa kila mtu katumwa aaa jaman zimetimia kweli siku za mwisho

    • @razackhassani6693
      @razackhassani6693 Рік тому +1

      @@trophywilson7211 sasa usichokielewa hapo ni kipi? Mbona mtumishi anaongea mambo clear kabisa... tatizo unajiforce kutokuelewa kwa sababu limetajwa zehebu lako hapo

    • @yungharry2204
      @yungharry2204 6 місяців тому

      ​@@trophywilson7211 dhehebu lako halitakupeleka mbinguni ameongea clear sana na imepimwa na neno la Mungu aliyehai Yesu ni mkuu

  • @quintavitalis926
    @quintavitalis926 Рік тому +3

    Yesu tusaidie na Roho mtakatifu peke yetu ni ngumu , ushuhuda huuu mtu tusipobadilika basi hatuna hatuna neema

  • @majamaja8136
    @majamaja8136 Рік тому +1

    Ni kweli kabisa, nimefanya research mingi miaka mingi juu ya hizi holidays na ni kweli 99% ya hizi holidays ni za kipagani.

  • @alexanderobaye7576
    @alexanderobaye7576 10 місяців тому

    Praise be to our Lord Jesus, kindly watoto wanapaswa kuwabatiza wakiwa na umuri gang? Tafadhali kama ulifunuliwa kwa hilo

  • @drdd774
    @drdd774 Рік тому

    Ukitaka kufatilia tarehe na mwezi aliozaliwa yesu utachanganyikiwa, picha inaanza bikira anabeba mimba kwa uwezo wa ROHO MTAKATIFU, haya Jina yesu Amelitoa MUNGU MWENYEWE, kifupi yawezekana hata utaratibu wa kuzaliwa unaweza kubadilika.

  • @emmanuelzani2889
    @emmanuelzani2889 Рік тому +12

    Mtumishi hapo haujalielewa andiko, kwa sababu, mwezi wa 6 unaotajwa hapo, siyo Juni, bali ni kipindi. Kwa sababu, Malaika Gablieli alitumwa na Mungu kwa mara ya kwanza kwa Zakaria mume wa Elizabeth Mama yake Yohana, na baada ya miezi 5 kupita, mwezi wa 6 Malaika Gablieli alitumwa kwa mara nyingine kwa Mariamu. Kwa hiyo siyo Juni, ni kipindi. Ni vizuri tunaposoma Biblia, tusome kwa kujifunza. Kwa habari ya Christmas, hiyo ni siku kuu ya kipagani, kwa sababu hakuna andiko linalotutaka kusherehekea siku kuu hiyo. Asante.

    • @rerisamba
      @rerisamba Рік тому +1

      Ona alitokea na malaika mwezi wa 6 na mariam akaondoka siku hizo aka enda kwa zakaria na akaishi huko miezi 3
      Na siku za kuzaa kwake Elizabeth zikatimia

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 Рік тому

      Kabisaa watu wanachangannya wapate watu wawaelimishe wasiinuke tu ghafla

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 Рік тому +1

      @@rerisamba no Ilikuwa ni Mwezi wa 6 Elizaberth akiwa mjamzito hapo sitawaelewa,Msikilize Mtumishi Mnyeshani anafundisha vizuri

    • @rubefabi8366
      @rubefabi8366 Рік тому

      @@trophywilson7211 muhimu Christmas siyo sahihi.

    • @rubefabi8366
      @rubefabi8366 Рік тому +2

      Mwezi wa sita ni kipindi!? Imeandikwa wapi kuwa ni kipindi? Nijuavyo kila kila mwezi ni kipindi .

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 Рік тому

    Mungu anasingiziwa wakati mwingine, nimeambiwa nimeambiwa, uongo ni mwingi wakati mwingine.

  • @perischari3630
    @perischari3630 Рік тому +1

    Bwana Yesu Kristo aturehemu na kutusamehe

  • @mwanaidimuhamed6540
    @mwanaidimuhamed6540 Рік тому

    Jamani Yesu mbona aliponya watu wengi hapa imekaaje,yule aliyeshushwa kupitia paa la nyumba kipofu aliyeshindwa kuingia kwenye birika na wengine wengi

  • @selestinimassawe3601
    @selestinimassawe3601 Рік тому +2

    Yesu naomba unirehemu we bwana wangu

  • @evaisa2586
    @evaisa2586 Рік тому +1

    Amin a

  • @gradyskamwela6163
    @gradyskamwela6163 Рік тому +1

    Nimepokea neno
    Yesu atusaidie kanisa kujikana

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 11 місяців тому

    Harafu wanadamu tunajidai wajanja tulishindana na yesu.hata sisi tutashindanashindana mpaka tukubali yesu==ni.mmoja

  • @elizabethedwin6424
    @elizabethedwin6424 Рік тому +2

    Asante kwa ushihuda mtumishi, mimi Nina swali, mbona umevaa Pete?

  • @LilianAkoth-xq1rl
    @LilianAkoth-xq1rl Рік тому

    Utufunze pia kuhusu mambo ya makumbusho ya matanga

  • @getrudeliyayi8050
    @getrudeliyayi8050 Рік тому +1

    Bwana asifiwe,mostly pasaka uwa na tarehe tofauti tuombe bwana utupe tarehe ama hiyo mwezii watatu tuu

    • @truth7796
      @truth7796 Рік тому

      Pasaka uwa sisi tunafanya kila mwenzi, it depends with the church

  • @lilymwashumbe4890
    @lilymwashumbe4890 Рік тому +3

    Dada yangu petrida nakuuliza mwanamke akivaa kofia iliyoshonwa kwa uzi kama zile za watoto wachanga ni dhambi

  • @frereezechielsong5282
    @frereezechielsong5282 Рік тому

    Barikiwamutumichi wamungu kwakazi

  • @Mfunzo
    @Mfunzo Рік тому +1

    Samahani jackitan napenda kujua huyu dada anasali kanisa gani na huko anakoabudu wanaamini nini kuhusu krismasi
    Akijibu hili swali tutakuwa tumejua huu ujumbe umetoka kwa Mungu au shetani

    • @LucyKapinga-fg4dk
      @LucyKapinga-fg4dk 11 місяців тому

      Yani kanisa unawexa kua budu dhehebu sahihi ila na uwenda wanasherekea ila kupata hiyo neema Ya kuambiwa vityu nibahati ni kwa MBA mtafute Sana sana sana hivi inajua kuwa h
      Mchungaji anaweza akazidiwa na mtumishi wake kiwango cha nguvu ya imani zaidi hiini kwamba ukijitoaa haswaa yani ni raha mno mno mnoo hapa nikusikia ujumbe na kumuomba Mungu akure ufahamu ,nikamimi nilikatazwa kuvaa hereni mambo ni mengi Sas

  • @liesharehema5193
    @liesharehema5193 Рік тому +1

    Mungu nisaidie Mimi na wenye sikio nawasikie

  • @majamaja8136
    @majamaja8136 Рік тому +2

    Jeremiah 10:1-5 inakataza Christmas tree

  • @beatricebukuru9425
    @beatricebukuru9425 Рік тому +1

    Amen Amen

  • @JESUSISLO891
    @JESUSISLO891 Рік тому +1

    Hapa Duniani hakuna dini ya ukweli kama ya wakristo itapeleka watu wengi mbinguni na hakuna dini itakayoangamiza watu kama wakristo mchungaji anakuhubiria na yeye amashikiria kitu Fulani ambacho ni machukizo mbele za Mungu

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 Рік тому +1

      Wakristo hawana Dini,Ila tu wanamfuata Yesu Kristo

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 11 місяців тому +1

    Haki yenu isipowazidi waandishi hakika hamtaingia kamwe mama mdogo acha kuona kuwa wanaosherekea kristo mas ni mashetan utaaibika na yesu ni mmoja wengine hao mbon biblia inasema baa yesu wengine yesu yusto yesu kama yesu ni mmoja acha udini utakidhofisha utalaniwa utakuwa husikilizwi mambo ya mafarisayo hayo achana nayo

  • @fideleemmanuel3035
    @fideleemmanuel3035 Рік тому +1

    Nikweli asemacho mama petrida

  • @CuremagazineNet
    @CuremagazineNet Рік тому +2

    Ubarikiwe mtumishi wa Mungu lakini ww pia unatakiwa kuvua hiyo pete, ni haramu itakuzuia kuingia mbinguni

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 Рік тому +1

    Huyu dada Anahitaji akasome Tena Andiko la Malaika Kuja Kwa Mariamu hapo bado kabisaa,Hajaambiwa na Mungu ni Mawazo yake tu

    • @rubefabi8366
      @rubefabi8366 Рік тому

      Mwezi wa sita ni mwezi wa sita biblia haisemi kuwa ni majira au kipindi fulani. Swali langu je wewe ulishawahi kuongea na Yesu kama mtu aongeavyo na rafiki yake.? Nafikiri ingekuwa heri kila asikiaye shuhuda hizi kutia bidii kumtafuta Yesu ili azungumze naye ili kukata maneno.

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 Рік тому

      @@rubefabi8366 hahaha yaani wewe hata Luka 2 hujasoma ukaona kama ni Kipindi au majira ya ujauzito wa Elizaberth??tatizo mnapelekwa tu hata maandiko kusoma kifungu kimoja tu ni kazi,Soma leo Luka 2 anzia pale utaona Maneno yanasemaje??mshirikishe Roho mtakatifu kama huelewi

  • @frankmuhomi
    @frankmuhomi Рік тому +1

    Soma biblia vizuri , acha kuongea uongo , pia Mungu anaposema na wewe unapaswa kuwa makini kusikiliza , mwezi wa 6 , sio Juni ni mwezi ambao malaika alimtokea mariamu , baada ya miezi 5, iliopita alipoleta taarifa kwa elizabeth

  • @edinakibani8725
    @edinakibani8725 Рік тому +1

    Amen

  • @nancyogega6109
    @nancyogega6109 Рік тому +1

    Asante Kwa ujumbe ,lakini nauliza habari ya Pete za harusi ama Pete za mapambo ni sawa?

    • @micamathew2595
      @micamathew2595 Рік тому +1

      Sio sawa kabisa!! Kwasababu inatokea kwa Farao haitokei kwa wana wa Israeli!!

  • @loraumuhire4755
    @loraumuhire4755 Рік тому

    Bwana Yesu asifie, naomba muniongoze Bible ya King James Version, niyamuzuri wara sio?

  • @owenomwanawayesu6961
    @owenomwanawayesu6961 Рік тому +1

    Ni ukweli kabisa, Yesu Kristo aturehemu!

  • @hanskibidi5003
    @hanskibidi5003 Рік тому +2

    Hicho Pete mkononi Niya nn ???😲

  • @getrudeliyayi8050
    @getrudeliyayi8050 Рік тому +1

    Ezekiel 8 inatwambia

  • @julianawanjala6495
    @julianawanjala6495 Рік тому +1

    Ni ukweli dada Mungu aturehemu

  • @uswadipanja7573
    @uswadipanja7573 Рік тому

    Dada ukitaka uendane naushuhuda wako Kama Mungu anakutumia, vuapete mkononi usipovua nawewe vilevile motoni kwenye mateso ya milele

    • @barakayekonia7468
      @barakayekonia7468 Рік тому

      Jamani naomba ufafanuzi kuhusu uvaaji wa pete

    • @LucyKapinga-fg4dk
      @LucyKapinga-fg4dk 11 місяців тому

      Hilo ni pambo maana ndoa ni ninyi wawili pete awez kuukiunganishii ​@@barakayekonia7468

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 11 місяців тому

    Ko alikuambia tusherekee tarehe ngapi au tusisherekee udini.wenu huo

  • @nurumwita9034
    @nurumwita9034 Рік тому +2

    Mpaka tumbo limenishika ghafla kwa niliyoyasikia

  • @cuthbertsebastian6022
    @cuthbertsebastian6022 Рік тому +1

    Dada Petrida naona umevaa pete je, pete si mojawapo ya vitu vya Jezebel? Toa.

  • @MM-Advanced
    @MM-Advanced Рік тому

    Swali langu: Tarehe ya pasaka inapangwa na nani na kwa kuzingatia nini, kwanini inabadilika kila mwaka?

  • @beatricebukuru9425
    @beatricebukuru9425 Рік тому

    Mimi ninaswari kama kunawatu wanasari kanisa ambao wanauza hivyo vitu vya aruino je MUNGU anaweza kuakubari

  • @danielnyugwa1911
    @danielnyugwa1911 Рік тому +1

    Asante kwa ushuhuda wako kuhusu maonyo kutosherehekea Christmas. Sasa ninyi washuhudiaji mnatuchanganya, mbona wewe mshuhudiaji umevaa pete mkononi wakati washuhudiaji wengine wanasema kuvaa pete ni dhambi? Na Biblia inasema hivyo.

  • @DayanaMauya-dx5qw
    @DayanaMauya-dx5qw Рік тому

    See

  • @heriturya940
    @heriturya940 Рік тому +1

    Dadapeteyandoaje

  • @elizalaya7887
    @elizalaya7887 Рік тому +1

    MUNGU atusaidie watu wake

  • @marykilila8786
    @marykilila8786 Рік тому +1

    Sasa huyu Yesu anakataza mapambo ni ya Yezebel ni kweli kwa nini unavaa hiyo pete ?? Hujui kama hiyo pete ni moja ya sanamu?? sasa umeisha kusema chochote chochote cha Yezebel hakitaingia mbinguni

  • @loisemuchiri8363
    @loisemuchiri8363 Рік тому

    Bona wewe mtumishi unavalia pete?

  • @helenanduwimana9715
    @helenanduwimana9715 Рік тому

    Kwa nini wa kristo wana omba Mungu na macho yame funguliwa kama wa katolika??

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 Рік тому

      Wanaruhusiwa

    • @rubefabi8366
      @rubefabi8366 Рік тому +1

      Ndugu zangu hebu tujaribu kuangazia sana uhusiano wetu na Yesu hasa sisi tunaosikiliza shuhuda hizi badala ya kukimbilia kumjaji msemaji vinginevyo hata Yesu mwenyewe tungemkataa. Tunaomba tumefumba macho ili kuteka nyara fikra zetu na hii siyo sheria bali ni hekima ya mwombaji.

    • @amyesanga2004
      @amyesanga2004 Рік тому

      Hata wakatoliki ni wakristo

    • @rubefabi8366
      @rubefabi8366 Рік тому +3

      @@amyesanga2004 siamini kama wakatoliki ni wakristo. Sababu hawaamini Yesu kuwa ni Mungu kama wangeamini hivyo wangempa heshima kuliko bikira Maria. Leo bikira Maria ana nguvu kubwa ndani ya ukatoliki kuliko Yesu kristo

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 11 місяців тому

    Mtumishi usifikili.yesu hapendi kusherekewa kumbuka alipanda punda na mwana punda acheni udini

  • @teddy-baby
    @teddy-baby Рік тому

    Wewe ni muongo chetani

  • @zipporahmibei9007
    @zipporahmibei9007 Рік тому +1

    Amen amen

  • @byronbyron2330
    @byronbyron2330 Рік тому +1

    Amen

    • @reonardhaonga6386
      @reonardhaonga6386 Рік тому

      Nashukuru kwa ujumbe basi kumbuka kuvua pete،

    • @benedictmichael2425
      @benedictmichael2425 Рік тому

      Kwa kalenda ya kiyahudi, mwezi wa sita si sawa na mwezi wa sita wa kalenda tunayotuma leo. Hapo unasemaje?

  • @fayreen
    @fayreen 5 місяців тому

    Amen