Pt1_USHUHUDA WA PST.ALICE WA KENYA ALIYEKUWA AKITUMIKA KATIKA KANISA LA MCHUNGAJI MCHAWI NAIROBI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 47

  • @patrickkatana8823
    @patrickkatana8823 11 місяців тому +11

    Kenya imeanza kukombolewa Ameeen 🇰🇪

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 11 місяців тому

      Ninyi mnajitoaga ufaham tu ila kenya yenu iko na kristo sana kuliko Tanzania 🇹🇿

  • @patrickmaina5459
    @patrickmaina5459 11 місяців тому +7

    Kenya for JESUS 🎤

  • @lilymwashumbe4890
    @lilymwashumbe4890 11 місяців тому +2

    Pole dada yangu Mungu akuponye moyo wako tena umsamehe.Roho Mtakatifu akusaidie kabisa

  • @maryandason1815
    @maryandason1815 11 місяців тому

    Blessed YESU ufanya njia paspo na njiaa.😢atakupa kicheko zaid ya ulivyo lia ..❤Amin YESU mtetezi yu hai

  • @davidwambura5915
    @davidwambura5915 11 місяців тому +3

    Jehanam hamna watu kwa sasa watu wapo kuzimu.

  • @MAISHANENOTV
    @MAISHANENOTV 11 місяців тому +1

    Isaya 55:8 Maana mawazo yangu si mawazo yenu, wala njia zenu si njia zangu; asema Bwana.

  • @MtumishiLoveness
    @MtumishiLoveness 11 місяців тому +2

    Pole mtumishi wa Mungu

  • @MaryAmaiza-th2fo
    @MaryAmaiza-th2fo 11 місяців тому +1

    MUNGU akulinde na akutumikie kutuokoa na sisi🙏

  • @elvisambundo9040
    @elvisambundo9040 11 місяців тому +2

    Part 2 nangoja Sana

  • @mediavumbi9243
    @mediavumbi9243 11 місяців тому +3

    Mungu akikuchaguwa Nani atapinga

  • @MtumishiLoveness
    @MtumishiLoveness 11 місяців тому +2

    Mbarikiwe sana

  • @MtumishiLoveness
    @MtumishiLoveness 11 місяців тому +3

    Ushuhuda mzuri sana

  • @Esthermordecai
    @Esthermordecai 11 місяців тому +4

    God is going to expose all false prophets,i pray revival for kenya.🙏

  • @issachege5606
    @issachege5606 11 місяців тому +3

    Jamani yesu yupo na yuu upesi kuja😢Jamani tutubu maisha haya nimafupi😢kuzimu ipo nanihalisi hv been there I know

  • @misnasma7875
    @misnasma7875 11 місяців тому +2

    Nabarikiwa nikiwa Dubai

  • @gracekinyaki2376
    @gracekinyaki2376 8 місяців тому +1

    Jactan Barikiwa

  • @daisymuthoni675
    @daisymuthoni675 11 місяців тому

    Embu my home town barikiwa sana

  • @mwendwa_m
    @mwendwa_m 4 місяці тому +1

    Tafadhali tuletee part 2

  • @MtumishiLoveness
    @MtumishiLoveness 11 місяців тому +1

    Ubarikiwe sana

  • @RemiJosephe
    @RemiJosephe 11 місяців тому +3

    Amen❤❤

  • @flm1530
    @flm1530 11 місяців тому +5

    Mwanamke anakuwaje pastor mbn biblia imekataza

    • @graceshayo5763
      @graceshayo5763 11 місяців тому +1

      Umesahu.kuwa kwa Mungu sis wote ni wanawake au hujui ilo mme ni kristo YESU ATAYEKUJA KUWACHUKUA MAALUSI WAKE

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 11 місяців тому +4

    Kenya Wanawake wengi ni Wachungaji,Sijui ni hatari sijui ni Vizuri duuh

    • @HalenBahati
      @HalenBahati 11 місяців тому

      Mungu atuonekanie Kwa kweli maana sisi hapa Kenya hajui kama ni kosa ama sio

    • @maryandason1815
      @maryandason1815 11 місяців тому

      Endleeni kuomba NEEMA ya KRISTO..izidi kuwa kubwaaa mpewe macho ya Rohon piyaa❤.love you kenya

  • @PeninahMwendwa
    @PeninahMwendwa 11 місяців тому +2

    Amen

  • @thimosmanyanya
    @thimosmanyanya 11 місяців тому

    Wewe bwana sio mkweli wakati ukiwepo safi ukitoka unaanza kuchafua watumishi mwisho wenu utakuwa mbaya sana

  • @SofiaMvungi-zu5tg
    @SofiaMvungi-zu5tg 11 місяців тому +1

    MUNGU ALIYE MFARIJI WA WANYONGE AKUFARIJI MOYO WAKO UPATE FARAJA YA KWELI

  • @yusterlucass
    @yusterlucass 11 місяців тому +1

    Mukeni mngu anaponya

  • @VeronickaJanes
    @VeronickaJanes 11 місяців тому

    Uko Nairobi sehem gani

  • @Monika-cp2gk
    @Monika-cp2gk 11 місяців тому +1

    🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @MtumishiLoveness
    @MtumishiLoveness 11 місяців тому +1

    Kwahiyo part 2 ndo had mrud Kenya woiii jmn 😢😅

  • @MtumishiLoveness
    @MtumishiLoveness 11 місяців тому

    Ameolewa lin? Hajaelzea

  • @isabellarkageha7707
    @isabellarkageha7707 11 місяців тому +1

    Hakuna hanky yakupanguza machozi

  • @lilymwasi1221
    @lilymwasi1221 11 місяців тому

    Amen 🙏🙏🙏

  • @peterwasike991
    @peterwasike991 11 місяців тому +1

    Amen Amen