Hi Lovies Jambo muhimu sana usisahau ukitoa mahamri yachuje kutoa mafuta kama lile dude la tundutundu kabla ueke kwa dishi lako hakikisha dishi lako umeeka karatasi ama gazeti ndio umimine mahamri yako😘😘Nawatakia kila la kheri Lovies❤️ NB:Funika mahamri na towel ama kitambaa hadi yaumuke vizuri usiyawache wazii..please Subscribe #roadto50k
WaaleikumSalaam Warahmatullahi Wabarakatuh..My dear Allah(swt)akuzidishie sana sana😘this tutorial imekuja at the best time nimepata order kubwa my 1st time ya Mahamri na sikujua vipimo vizuri
Ma shaa Allah.. Nashkuru nimekutana na hii video juzi nimepika zikatokea mandazi 😩🤣, nilikuwa nashindwa nakosea wapi.. Alhamdulillah.. Thanks for this...
Mazur lkn mm nikipika yanatoboka na yananyonya mafuta nipo oman nisaidie natia hamira sukar maziwa ya unga na maji mafuta naeka baada ya unga ukishakaza sasa nakosea wapi nisaidie nagombana na maboss zangu 😢
Hi Lovies Jambo muhimu sana usisahau ukitoa mahamri yachuje kutoa mafuta kama lile dude la tundutundu kabla ueke kwa dishi lako hakikisha dishi lako umeeka karatasi ama gazeti ndio umimine mahamri yako😘😘Nawatakia kila la kheri Lovies❤️
NB:Funika mahamri na towel ama kitambaa hadi yaumuke vizuri usiyawache wazii..please Subscribe
#roadto50k
Kwati tunaacha hamri liuumke hatufuniki na kitambaa tunaacha wazi?
Hii ni wakati tunaacha hamri liumke
Wonderful Hadija
best explanation on mahamri recipe
Thankiee
True !
Thanks for sharing delicious recipe
Most Welcome
Good asante
Karibu sana
Nimeuliza wakati tunaacha mahamri yaumke hatufuniki na cho chote yanakuwa wazi tu?
@@queenesther2639 lazima kufunika ndio.yaumuke na kitambara ama towel
WaaleikumSalaam Warahmatullahi Wabarakatuh..My dear Allah(swt)akuzidishie sana sana😘this tutorial imekuja at the best time nimepata order kubwa my 1st time ya Mahamri na sikujua vipimo vizuri
Awwww afwan my love nafurahi sana kuskia hivi Allah atutilie barka sote Ameen❤️
Asante sana allah akulinde
Ameen my love
Maa Shaa Allaah
Tabarakallah 🥰
Bado tu Chai yako ya maziwa na mbaazi...yummy !
Yaaani hapo umenimalizaa unakula unalala makiniiiiii🤣🤣
Unga laini ni ya maana sana kwa mahamri. Ziko sawa kabisaa.
Asante mpenzi
MashaAllah 🔥.. nilikuwa natafuta recipe na vipimo vya ingredients ya mahamri ya 1 kg unga,nimefurahi sana kwa hii video.
Nimefurahi sana kipenziiii
Hata nami nashukuru nilikuwa mmojawapo nimesaidika. Thanx pia kwa maelezo mazuri
Same here ma Shaa Allah Allah barik love
You have really help me today Allah barik
Allahuma ameen afuan
Nice recipe nauliza mahamri
Ya biashara ukikanda usiku ni swa asubhy
Uchome
Yategemea drar sijawai jaribu kama nihivyo naona hamira unaeka chache sana
Mashalla biashara mzuri ya kufanya. Mahamri ivi ndio napenda.🤗😋. Zinakaa poa. Continue sharing this ideas mrembo👌
Thanks sis😘😘 Indeed biashara ya chakula haibwagi mtu
tuned in
thanks sis wauzie hao watu wetu huko
Mashallah😊
Napenda recipe zako dada .mashaAllah
Thanks soo much kipenzi 😘😘😘
Mash allah nimechelewa kdg nilikuwa mbali
Mwanamke mapishi pongezi habibty
Shukran my love chelewa ufikee😘😘😘Usisahau kushare
جزاكم الله خيرا و احسن الجزء
MashaAllah. Yummy. Thank you for sharing.
Most Welcome my babe
Good
Thanks
Asante Hadija. This recipes are very well explained.🎉
Most Welcome my love asante kwa kufika
Masha Allah mazuri
Tabarakallah love
Ma shaa Allah.. Nashkuru nimekutana na hii video juzi nimepika zikatokea mandazi 😩🤣, nilikuwa nashindwa nakosea wapi.. Alhamdulillah.. Thanks for this...
Most Welcome mpenzi yes usipisokuma vizuri unapata mandazi also ukisukuma sanaaa unaeza pata papuri🤣🤣utafaulu tu mdogo mdogo
Maa sha ALLAH
Tabarakallah
Ahsante
Karibu dear
@@HadijaSheban ahsante dada
Very very nice
Masha allaah waaw masuri saana mahamri motomoto 😘😋👍
Eeh bado mbaazi tu
MashaAllah 👌
Tabarakallah ❤️
waoh hyo mahamri inakaa poa... am a new subscriber na napenda upishi sana.. so nitakuwa nakufuata
Asante sana kipenzi😘😘 karibu sana hope utaenjoy
wow i love it 😍 but sijaelewa NITAHITAJI YEAST KIASI GANI KWA UNGA NUSU KILO
Asante 1tbsp
Thanks so much for sharing
Most Welcome dear ❤️❤️❤️
These are perfect 😋, zimetokea vizuri.. you're so good at what you do Hadija.
Thank you soo much😘
Asante
Karibu
Wanichelewesha
🤣🤣🤣🤣nimekomaaaa
Asante sana dada yani Tanzania mafuta ya mepanda so Kenya tu 😂🤣
Yaani eeh mungu tusaidie watu wako🤣
😍 😍 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
Yaaaay my people❤️❤️
MashaAllah napenda sana mapishi yako
Waishi wapi incase nifanye order InshaAllah..nimeona biriyani MashaAllah
Naishi Nairobi dear kwasasa niko malindi shukran sana kwa support 😘😘😘usisahau kushare
@@HadijaSheban Thanx so much nko klf
Mazur lkn mm nikipika yanatoboka na yananyonya mafuta nipo oman nisaidie natia hamira sukar maziwa ya unga na maji mafuta naeka baada ya unga ukishakaza sasa nakosea wapi nisaidie nagombana na maboss zangu 😢
Napenda video za biashara sana,so mahamri you put yeast and mandazi you put baking powder?
Assante sana this is for Mahamri
😋😋😋😋😋😋😋😋
Hiyo unga kilo moja ukitaka kupima kwa vikombe iwe vigapi na sukari na maziwa au tu vigapi
Unga mi napima 4
Na ukitaka kupika kilo mbili hamira ni kiasi gani na sukari ni kiasi gani?
Unaongeza vipimo love
Da Hadija me naomba kuuliza maandazi mia naweza kutumia unga kilo mgap?
Hi love kwakweli sijui upande huo jaribu 2kg
Mafuta sio kenya tu hata Huku ujerumani na Europe nzima mafuta imepanda balaa
Subhanallah sijui wametupangia nini hawa lakini kwa uwezo wa Allah yataisha tu
Ingredients
If I tell the ingredients will you be able to follow the procedure?
@@HadijaSheban yes while watching ur cooking0
Alafu mafuta unga yalikuwa ya moto au ya baridi
Baridi tu mpenzi
Maa sha ALLAH
Tabarakallah