"WAKIRUDISHA HIYO PESA UTUPEE" A PASTOR CRACKS RUTO IN KAJIADO AS HE HITS BACK AT CATHOLIC BISHOPS

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 24

  • @lucymacharia4134
    @lucymacharia4134 День тому +2

    Mungu tusaidie kama Hawa ndio wahubiri tunao hii Kenya

    • @WilliamsonKiama
      @WilliamsonKiama День тому

      Huyu si mhubiri ni pretender ana taka besa. Mungu saidia yeye.

    • @bevingtonjumaa7028
      @bevingtonjumaa7028 День тому +1

      Maboshop wa Catholic wakikuyu ndio wahubiri?....wakora..washariti....na walevi watupu😂😂😂😂

    • @lucymacharia4134
      @lucymacharia4134 День тому

      @bevingtonjumaa7028 wamewekaa matumbo zao mbele

  • @WILSONKINYUA-zd6vx
    @WILSONKINYUA-zd6vx День тому +1

    Hawa ndio wanapola pesa ya uma na hii selikali 😢😢.....Hakina mahali kwa bibilia pesa ya kuibia watu itoleo kama sadaka😊😊

  • @antonynjoka7318
    @antonynjoka7318 День тому +1

    Hawa sio wahubiri dio matapeli wala kondoo wale bibilia inaonya suku za mwisho

  • @esthermwaura4203
    @esthermwaura4203 День тому +1

    Uyu anasema nn sasa?

  • @MAINAELIZABETH-qt9jo
    @MAINAELIZABETH-qt9jo 2 дні тому +1

    Mpesa pastors😂😂😂😂😂

  • @felixmugambi2237
    @felixmugambi2237 День тому

    Wewe mganga join freemason nautakuwa na shinda ya mpesa tena, sacrifice in ya watu wawiri kwa muaka, hiyo kanisa hiko na watu wengi sana,kwa hivyo kazi ya mungu itakuwa rahisi

  • @Itd-g3m
    @Itd-g3m День тому

    This pastor yawa!!!! 😢😢😢

  • @blessedbeliever492
    @blessedbeliever492 День тому

    Waaaaaah…….hiii ni what????

  • @stephennjogu7094
    @stephennjogu7094 2 дні тому

    Kikuyu na pesa lazima utoe

  • @blessedbeliever492
    @blessedbeliever492 День тому

    Ruto saa hii ako kwa kanisa za musituni away from reality😮😮😮😮😮😂😂😂

  • @ickymicky6830
    @ickymicky6830 День тому

    Sema ukweli kanisa zijengwe tuabudu mungu

  • @WILSONKINYUA-zd6vx
    @WILSONKINYUA-zd6vx День тому

    Some of these men of God spend a lot of time glorifying Ruto.....Is this not idle 🛐 Whats is this preacher saying? He's realtalary begging 😂😂

  • @felixmugambi2237
    @felixmugambi2237 День тому

    Watu wanafuata hawa wanganga wawapereke binguni,mtahionea viusasa

  • @simonmbuthia7281
    @simonmbuthia7281 День тому

    Mapastor wa bahasha za brown. They are the cause of the current evil sweeping the natoon but they learn nothing. Still prophesying in the name of money.

  • @blessedbeliever492
    @blessedbeliever492 День тому

    Hizo pesa zinatoka wapy……bora tu ni pesa……uselessss money hungry

  • @MAINAELIZABETH-qt9jo
    @MAINAELIZABETH-qt9jo 2 дні тому

    Wapi hawa washiriki tuwaone

  • @veronicamuchiri2139
    @veronicamuchiri2139 День тому

    🤮🤮🤮🤮🤮🤮🤮

  • @mrvinnie4608
    @mrvinnie4608 День тому

    Unaomba pesa wwe mjinga