Mimi ni Mkenya na nampenda Diamond ju anaimba mziki wa maana. Willy paul bado ni Kifaranga hajafika hata nusu ya robo ya Diamond. I salute u Diamond a.k.a Simba la Masimba Dangote
Willy Paul hajulikani kwanza anaimba nn! Wasanii haw tu hawafikii, Rayvany, harmonize, mbosso, jaymelod, Alikiba, LavaLava, marioo, nandy, Zuchu, bilanas, n. K level ya Diamond plutnumz Ni nyingne
Watanzania ndugu zetu sisi wakenya we love very much hii ni vita ta mandugu mti mwingine atoke sijui america ajaribu awaguze sisi kama kenyans watajia nyie ndugu zetu ❤❤❤❤
Heat songs ndio hua zinaongea sio maneno diamond platnamz hua nakukubali sanaa wacha wabishane sisi tupe vitamin mussic mziki wakijanja upo kwa diamond 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉kazi zako ndio zinafanya uwe juu huwezi kua juu kama hauna juhudi au kulia kwa mashabiki sisi mashabi tunataka kazi ambazo zitatuburudisha kwa moyo namondi unatupa vitu tutazidi kukupenda daima sababu unafanya kitu roho inapenda sio maneno❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
One thing about this artist Diamond Platnumz is that he never disappoints. Keep singing, my dear. I'm following you from the Ivory Coast 🇨🇮. God bless and protect you and everybody reading this comment now.
Ili chupa la moto 🔥 sana ....This is the hot like fire 🔥🔥🔥🔥🔥 @diamondplatnumz kama ndo unaanza hivyo , kibichiiiii ....Washenyente baba ....Chukua maua yako 🎉🎉🎉 kutoka Sweden 🇸🇪
Worry not bro,watu watunge ngoma kali mbona dunia itasikiliza kaka,kikubwa mashairi yawe poa tu,tz kuna nyimbo waliimba babu zetu ikipigwa leo ni noma kaka,kuna vipaji ni vingi sana tz,kuna watu wanaimba mpaka kero yani,nyie mnamjuwa tu diamond ila ingia ndani watu wanaimba mpaka wanakera,watu wanajuwa kuandika mpaka wanakera
Unajua niseme tu jambo moja. Wasanii wachanga kama kina Willy Paul wanapaswa kujifunza kutoka kwa huyu mfalme wa mziki hapa Africa na si mwingine ni De langote bin Diamond Platinumz Simba la Masimba mwamba kabisa aliyeshindikana 🔥
Wakenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 tujuane hapa jamaniiiiiiiiiiiiiii na hata mkitufukuza tunamgonjekea mondi venye mnasema ni wakwenu basi mujue ni wa public All World 🌎
MIMI NI MKENYA..kujeni mnipigeeee...DIAMOND TO THE WORLD ..
Kenyans don't speak Swahili bro😂😂😂
🎉🎉
@@austinegamerboy9364 🤣🤣🤣
huyu ni mkamba
Huyu Diamond wamuache tu maana ni bala. Much love from Burundi 🇧🇮
Imagine hana mda na wao hajali
brother from the poorest country in the world.
Mimi ni mkenya lakini tunakuombea brooo kwa wale wanaotaka kukuangusha peleka east Africa mbele ❤❤❤❤❤
Write in English😅😅😅
🤝
👍🤘courage là c'est bien vraiment
Limepogwa lingine wahuni diamond mnoma acheni ubishi wote mashabiki wake tjuane hapa Kwa makopa❤❤
Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪...Simba la Masimba Dangote 🇹🇿🇹🇿
Kama una kubali mondi gonga like apa.
Most of the best singer in Tanzania 🇹🇿. You first mondi. Diamond platnumz
ua-cam.com/users/shortsYMntWmTSBbw
Na mimi Niko burundi 🇧🇮 napenda diamond sana 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
I'm a Kenyan but I appreciate what is doing in music!
Tanzania is a blessed land,wakenya pia twaruhusiwa kujifunza kutoka kwao
Nime Tokea Congo Drc Bukavu 🇨🇩🇨🇩 tukutane APa wa Congo Drc 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
congo Lubumbashi apa mbona goma tamu sana 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩❤️❤️❤️❤️
🇨🇩✌️🔥
umbwa. nenda Kenya kwenu, kenge mjinga.
mbon unatukana watu bila sababu🤣🤣🤣🤣
Hapa ni nyumbani🎉🎉
Mimi ni Mkenya na nampenda Diamond ju anaimba mziki wa maana. Willy paul bado ni Kifaranga hajafika hata nusu ya robo ya Diamond. I salute u Diamond a.k.a Simba la Masimba Dangote
Kwenda Zako akili punguani
Imba yako tuone nkt
Willy Paul hajulikani kwanza anaimba nn! Wasanii haw tu hawafikii, Rayvany, harmonize, mbosso, jaymelod, Alikiba, LavaLava, marioo, nandy, Zuchu, bilanas, n. K level ya Diamond plutnumz Ni nyingne
@@rashidingole1588 willy paul kama panya tu mbele ya wa tz🎸
safi
Kumamake president wa East Africa 🔥❤️🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Tuliorudia hili dubwana zaidi ya mara tano tujuane hapa🙌🔥
This song before tomorrow it might be on number one trending song in Kenya 🇰🇪 😂😂😂
Yeah akitoa video basi ❤❤
Kenya tunakupenda sana Mondi regardless 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤❤
bonge la song japo sjaona mwaka ila your the the tops
Mwanetu kaachia mawe balaa wakati wake mwafaka litavuma December na January nzima 😂😂😂🎉@@LatifahPallangyo
Hakuna kitu hapa
Kumamaako@@RaymondYaa-uv6dp
Wew unay sema hakuna kitu hapa yan wewe ni kuma kbs
Sikatai poze n mkenya mwenzagu but this dude is on another level
#mwambino siku zombotote😂😂
Wakenya mnafinya paulina na hii love mnashow diamond♥️🇰🇪
Mad love from Kenya. Pozze ameikubali hii hadi analia
umbwa. nenda Kenya kwenu, kenge mjinga.
@@mwalimunyerere I love Tanzania na ujue sio yako, kama vile jina lako sio lako
@@DafeMuya lazima upende tanzania. rais wenu ruto anaugua virusi
@@mwalimunyerereTunapenda mziki ya TZ🇹🇿 hata mtuue wallah❤
@@vinny.morales penda vya kwenu.
Watanzania ndugu zetu sisi wakenya we love very much hii ni vita ta mandugu mti mwingine atoke sijui america ajaribu awaguze sisi kama kenyans watajia nyie ndugu zetu ❤❤❤❤
Nakubali muthoni vita ni yetu mwingine akija tunadili nae na tunarudi kwenye vita yetu😅😅
🔥🔥🔥🔥diamond n mmoja tu unajua kaka mungu akubarik xn tumepata mzigo w kufungia mwaka
Acha yote yaliyopo HOLIDAY🎉 hii apa wakenya🇰🇪 wa bongo🇹🇿 let's celebrate together, wherever you are make hands ✋ up
Sure
Simba la ma simbaaa nataka like kutoka Rwanda 🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼
From kenya
Acha Niongee Initoke
You are a Superstar.......
umbwa. nenda Kenya kwenu, kenge mjinga.
@mwalimunyerere Wewe Tanzakundu mshenzi bloody fawkin Shoga wa Tandale ama Kariokooo 😂😆😂
@@mwalimunyerere😂😂😂
Huyu ndio diamond sas niliemfaham blaz hili ni bom 💥 ni moto
How many international fans to support Diamond 😊❤🎉
Na simba la masimba dangote🙌🔥🔥🔥💥💥💥💥💥
Ushatoa Ngoma huku Kenya willy Paul bado ni kelele Tu...big up Simba . Alafu jamaa Uko France, lete vitu Simba. Kenya chuki na wivu kwendeni
Simba anatawalwa na Rais mwanamke 😂😂.
ua-cam.com/users/shortsYMntWmTSBbw
@@benOfficial36 Unaeka malink za nini ghasia 😂😂
BALAA LIMEANZAAA.... NATAKA KUONA FLAG YA TANZANIA HAPA 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿❤
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
🇹🇿
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Tanzania 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿
Take this pozzeh ata ukishindana naee umuwezi ukipiwa hii nyimboo uitoe wewee huta leta ladha yake we lovee yoh both guys pendaneniii
Heat songs ndio hua zinaongea sio maneno diamond platnamz hua nakukubali sanaa wacha wabishane sisi tupe vitamin mussic mziki wakijanja upo kwa diamond 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉kazi zako ndio zinafanya uwe juu huwezi kua juu kama hauna juhudi au kulia kwa mashabiki sisi mashabi tunataka kazi ambazo zitatuburudisha kwa moyo namondi unatupa vitu tutazidi kukupenda daima sababu unafanya kitu roho inapenda sio maneno❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
ua-cam.com/users/shortsYMntWmTSBbw
One thing about this artist Diamond Platnumz is that he never disappoints. Keep singing, my dear. I'm following you from the Ivory Coast 🇨🇮. God bless and protect you and everybody reading this comment now.
Team work 💪
ua-cam.com/users/shortsYMntWmTSBbw
🇹🇿😍
❤❤❤
Banger🔥🔥🔥 hapo kwa mauzauza mapenzi mauzauza ni nomaaa na mwisho kazombie kanasifa🙌🙌 Always on top Simba la Masimba dangote💪💪
nimesikiliza mara 50 na bado naendelea kuisikiliza tu ni noma ❤❤❤
Ili chupa la moto 🔥 sana ....This is the hot like fire 🔥🔥🔥🔥🔥 @diamondplatnumz kama ndo unaanza hivyo , kibichiiiii ....Washenyente baba ....Chukua maua yako 🎉🎉🎉 kutoka Sweden 🇸🇪
Eeh mungu tunasema Asante mpaka dakika hii mwaka umeelekea mwishoni
Tunaomba utuvushe salama pia tuuone mwaka mwingine tukiwa salama 🙏 amen
ua-cam.com/users/shortsYMntWmTSBbw
Hii ngoma naiwatch hadi bando liishe kwa hasira 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
😂😂😂😂
ua-cam.com/users/shortsYMntWmTSBbw
🎉🎉🎉😂😂😂😅😅🎉🎉🎉
Diamond platinum is very intelligent artist in Africa thanks for the vibes you dedicated to as your fans,am Ibrahim from Kenya 💜💜💜
Lots of love from Mombasa Kenya,,wengine mbona wanafki tu
we appreciate your works 🇷🇼 Rwanda 🇷🇼 Rwanda 🇷🇼 Rwanda 🇷🇼 Rwanda 🇷🇼 Rwanda 🇷🇼 Rwanda 🇷🇼 Rwanda 🇷🇼 Rwanda 🇷🇼 Rwanda 🇷🇼 Rwanda
Mbona mnatutesa na vita huku ngongo nyinyi wa rwanda jamani
❤❤❤
❤❤❤😂
Diamond is the true meaning of hardwork pays
Kenya loves you so much Simba...Hizi bifuu za kitoto ,watie tu bidii
Kweli
Nyie wacoasti twawajua.. watu wa Abduswamad
Kazi Kali Sana, tumpe mauwa yake DIAMOND, ww King wa Tanzânia, apa kutoka Mozambique 🇲🇿🇲🇿 #CHOMBOFCM24 ❤❤❤
ua-cam.com/users/shortsYMntWmTSBbw
Huu wimbo lazima uende Viral 🎉🎉🎉 maana Tanzania 🇹🇿 nzimaaaaaa
Nimelisubiri hili Goma kwa hamusana sana Tz na simba lamasimba tuondoke tuwanyoshe watu🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
ua-cam.com/users/shortsYMntWmTSBbw
🇹🇿
Daaah
Tofauti kati ya star na legend ipo ..wajanja kasha elewa❤🌍 haujuiiiiiiiiiiiii
Holiday from Nairobi Kenya ni 🔥🔥🔥🔥
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Another one hot 🔥🔥
umbwa. nenda Kenya kwenu, kenge mjinga.
Nakubaliiii
@@mwalimunyererehuyu shabiki wa Diamond huhitaji kumtusi
One love ❤️
Kwani diamond ni wako..matusi ya kitoto hio@@mwalimunyerere
Holiday mood nipo nasikiliza nikiwa New York 🔥🔥🔥
ua-cam.com/users/shortsYMntWmTSBbw
Congo utatumaliza Simba 🎉 holidays 😊
This is the best masterpiece to actually end this year🎉. Kama waikubali weka like🇰🇪🇹🇿
Mkenya Hapa🇰🇪🇰🇪🔥🔥❤😂,,Kama We Ni Mkenya Na Huwezi acha Ku Support Simba Nipe Like
From DRC nataka kuona bendera of 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Nipeni likes zangu
Much love from Kenya 🇰🇪🔥🔥🔥🔥🦁🦁🦁🦁🦁 Simbaaaaaa 💯🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥🎶🎶🎶✅🍾🍾🍾
Punguzeni ushamba
Tuko kwa diamond sio kwako
Nendeni kwa bwana yenu pozeee
Eri pozee kuliko diddy@@SamsonAlfred-p8s
Sio wakenya wote wanapenda beef na ndugu zao
toka Congo Kinshasa baba wewe nikiboko❤❤❤❤😅😅😅😅 aujuwi🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Twende nayo wanangu mpka iwe namba moja trending uko kenya
😂😂
😅😅😅😅 ishaongoza 😅😅😅
Utangoja sana ,This raundi utatrend TU huko kwao tuuu,piddy yeye,shombo LA mwiko
😂😂😂😂
SIMBA never disappointed!!!!!!🎉@holiday
Leoo na mimi nimekua wakwanza simbaaaaaaaaaaa🦇🔥
Ni share boss
Ni share boss
Unaota😂
@@Yblueeh et wa kwanza
@AkuBoe kkkk😂😂
Chuma kimeachiwa muda muafaka👑🔥🔥🔥
Mtoto wa nyumbani... kweli unajuaaa ni hatariiiiiiii
Finally SIMBA kaskia kilio chetu kwa hii song ❤❤❤❤❤
Wa kwanza kutoka Congo🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 Simba
ua-cam.com/users/shortsYMntWmTSBbw
Unyama sana mwamba i'm from mozambique🇲🇿🇲🇿
We love you Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Huyu ndiye Diamond, ukileta majungu yeye anaingia studio na kutengeneza Ngoma Kali. Let support our musicians EA
Mwenye akifirwa na P Diddy anaingia studio kujiponza kalio🤣🤣🤣
@@dadykartel4825kafirwe pia uingie studio tukuSupport aisee. If not, kitulize, sio kila mtu anafanya KAZI ZAKO kupata mafanikio.
Nabado upo kwenye account yake🤣🤣🤣🤣🤣🤣@@dadykartel4825
@@dadykartel4825Utaendelea kuumia sana kijana but no way you can bring down this guy
Hii ngoma kai-tease kitambo tu kabla hata ya hili sakata
LOVE FROM KENYA.HAHA NGOMA NOMA BANA....POZE WACHILIA PIA TUSKIE
ua-cam.com/users/shortsYMntWmTSBbw
umbwa. nenda Kenya kwenu, kenge mjinga.
@@mwalimunyerere Ukatombwe na Suluhu ghasia 😂. Nchi ya waoga. Taja Suluhu kwenye streets za Dar is a Slum utajipata jela hahaha 🤣😂
@@kemetancientafrica Rais wenu Ruto ana UKIMWI.
Soon we shall Celebrate 10 million Subscribers from Diamond Platnumz....Much love my brother 🇹🇿🔥
Much love from KENYA 🇰🇪
HOLIDAY ni fire🎉🎉🎉 Wakenya FINYA hapa , Uganda, Rwanda, Burundi and Tanzania let's enjoy together here Kwa likes
Nice sana bro Allah azidi kukuongezea elimu yako kabisa unatuenjoisha sana bro big up, be proud on you're dreems Bro i like you
@@NduwimanaDuwa Shukrani sana. Tuko pamoja sana
Acha wanaotafuta Kiki waendelee kujipaka chokaa kichwan I love you Simba la masimba ❤❤❤❤❤❤❤
ua-cam.com/users/shortsYMntWmTSBbw
Tokeni wanafki wakubwa na wabinafsi tutalipia ipo siku 😢
Christmas vibes🥳🥳🥳🥳Simba la kufugwa hili,,,,congrat
from🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nomaa alafu wakenya wanataka kujifananisha🇹🇿🇹🇿🇹🇿 noomaa..
Kenya tukubalieni yetu ni mbio Ngoma watanzabia wako sawa zaidi
Unaona eee wanaleta shobo huku
Diamond wenyu alivyofirwa na Diddy 😅😂
ua-cam.com/users/shortsYMntWmTSBbw
😂😂😂 sisi n ujuaji tu lakini chini ya maji tunajua mondi ndio kusema
diamond wetu kashatoa wimbo sasa tunasubiri yule mjusi wa kenya atoe wake tuone I love you diamond ❤🥰🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Class mate mzee wa kujibu na kazi 😂😂😂👆🏿👆🏿🫡
Jamaa fundi xana huyu mpaka anakera yaan
Nililisubili kwa ham hili dude hatimae limeachiliwaa❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
big ups Diamond Platnumz. Fan from kenya 🤓🤓🤓🤓💯💯. nice hit song
kaka Tanzania we proud of you and you know that hao ng'ombe wachache wakenya usiwajibu kaka achia vyuma turukeeeee🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Kipande cha mwisho noma saaaaana ... Kazombie kana balaaaaaaaa ❤😂❤ Flag 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
🇨🇩🇨🇩🇨🇩🦅🦅🦅we zombiii aaaaujuwiii😁
ua-cam.com/users/shortsYMntWmTSBbw
Nataka likes 100k kutoka Kenya 🇰🇪 my homeland lazima tu support huu mziki mpaka ifike 10M 🎉
Hatuwataki wakenya mbwa nyie
@@AmosSinkala-lx4sl tafuta hela acha makasiriko huwataki wakenya wamekukosea nini...diamond yuko zake anakula bata kwa mrija wewe uko hapa kubwatika😅
@@chefblackyafrica😅😅mi stki kucheka jamnj
Unakaa maiti yenye dhambi
@AmosSinkala-lx4sl makasiriko ya nini bro sisi bado runampenda Diamond Platinumz usituchukie kwa ajili watu wachache wa kuchochea muziki huku Kenya 🇰🇪
Moooondyyyyyyy🎉.....Bwana afiwe, wacha tuombe mola tuvuke mwaka safi....
From bungoma county ❤❤❤❤this is the music we want to listen 🙏 siyo mambo na mkunule mkunule
All Diamond Platinumz Fans from Malawi 🇲🇼 Lilongwe and all districts let's gather here🎉🎉🎉🎉🎉
We love you so much Simba 🦁🇹🇿
Kenya tupo na kazi kubwa ya kufanya hii namba ni chafu
Worry not bro,watu watunge ngoma kali mbona dunia itasikiliza kaka,kikubwa mashairi yawe poa tu,tz kuna nyimbo waliimba babu zetu ikipigwa leo ni noma kaka,kuna vipaji ni vingi sana tz,kuna watu wanaimba mpaka kero yani,nyie mnamjuwa tu diamond ila ingia ndani watu wanaimba mpaka wanakera,watu wanajuwa kuandika mpaka wanakera
ua-cam.com/users/shortsYMntWmTSBbw
Division of labor in East Africa sisi tuna represent music industry, football na boxing nyie represent marathon 🇹🇿🇹🇿🇰🇪🇰🇪
Waliyo tazama na Kusikiliza Interview Ya Diamond Platnumz,,Kuhusu Show yake Ya Furaha Festival...Gonga Like Roho Safi❤
❤❤❤❤❤ diamond wetu❤❤❤tuko nawewe mpaka
Endeleeni kugombana sisi tunapata ngoma kali kutoka kwa SIMBA 🎉🎉🎉
😂😂
Hiii nayo nikweel sai nachukia willy sana
pumbavu zangu sema hiki kivaibu kaachiwa mimi💯,, I've been waiting for this holiday mehn💗... Dunia yake Mondi tunapanga tuh🔥💯💯🦁
Majiraniiiiiiiii 📸📸
Mimi wakwanza kutokea burundi ❤❤❤
Unajua niseme tu jambo moja.
Wasanii wachanga kama kina Willy Paul wanapaswa kujifunza kutoka kwa huyu mfalme wa mziki hapa Africa na si mwingine ni De langote bin Diamond Platinumz Simba la Masimba mwamba kabisa aliyeshindikana 🔥
Toto la kimanyema Simba Young original sio zeee
🎉🎉🎉🎉
Nice song
Fellow kenyans welcome tuongeze views😂😂simba all the way😂😂kumbavu zetu❤❤❤
Really 😂😂😂😂
Another Hit from DP
Iko iko 🔥🔥🔥 alafu ❤❤❤
Wa kwanza leo goma la kwenda kabisa hili 🔥
Wakenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 tujuane hapa jamaniiiiiiiiiiiiiii na hata mkitufukuza tunamgonjekea mondi venye mnasema ni wakwenu basi mujue ni wa public All World 🌎
Nyie ni ndugu zetu tatizo ni kwa wale wachache wasiojitambua 🇹🇿🇹🇿🇰🇪🇰🇪
Tanzania 🇹🇿 ,Kenya 🇰🇪 is family ❤🎉 ..HOLIDAY
Hatuna baya na majirani zetu 🇰🇪 few people wanataka walete bif
@MussaAbel-t9b Thanks alot KENYA 🇰🇪 and TANZANIA 🇹🇿 we are familia njooni na sisi tuje tule HOLIDAY
umbwa. nenda Kenya kwenu, kenge mjinga.
SIMBA BASI HAKUNA KAMAA WW INATOSHA BABA AAAAH🙌🔥
SIMBA 🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪MAUPENDO TUUUU HOLIDAY 🔥🔥🔥🔥🔥
Tulikuwa tusha miss saaana ngoma zako brother ila asante kutupa ngoma tutakayo funga nayo mwaka my légende artiste simba lama Simba dangote aujuwi
THE KING OF AFRICA 👑🦁 YOU'RE THE BEST OF ALL TIME KING! YOU'RE THE BIG ONE ❤🎉🎉❤
Wazimu wacha jamaa 😂. Simba mgani anatawalwa na Rais mwanamke 😂😂😂
ua-cam.com/users/shortsYMntWmTSBbw
@@kemetancientafrica nenda kamtawale basi we mwanaume
@@Govice Mathafaka ghasia shoga ya Tanzakende hahaha 🤣😂
Kenya we love you Simba right from Mbagala🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
umbwa. nenda Kenya kwenu, kenge mjinga.
Sio wakenya wote ni wabaya@@mwalimunyerere
This is my Zambia 🇿🇲 gether here tunakupenda sana platnumz 🦁 of Africa 🌍 aujui 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🔥💥🔥💯
Tunakupenda bro 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mkenya wa kwanza kuwa na akili🇹🇿🤝🇰🇪
Tumia nafsi ya umojaa
Sema nina.......😂
Sasa na ww umekuja adi uku kufuata nn kama umkubalii jamaa@@BAVA254
Sanaaaa🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💯
Sema nina si tu... 😅😅
Tume kukubari sana toke chez nous au Congo Drc 🇨🇩🇨🇩
Somalia amebenda hiyo muziq yako kapsaa 💯 Somali yote aweke like Yao hapa 😂😂😂😂
Tanzania tunawapenda wasomali pia
Dah 😂😂😂
Love from 🇰🇪 🇰🇪, let's support good music 🎶 regardless of our boundaries, here to stay.... Twende nalo SIMBA