Kibano sehemu ya pili. Ipi dini ya Mitume na Manabii?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 лют 2025
  • Tafadhali subscribe kwenye channel yetu ya Straight Path Dawah ili kuwezesha Dawah iendelee mbele. Usisite kutupigia kupitia nambari zifuatazo +254722600533 au +254777600777

КОМЕНТАРІ • 168

  • @wamugimohammed3848
    @wamugimohammed3848 3 роки тому +11

    Takibr Allahu Akibr! Ndeshe atoke Dar akiwa amesilimu awache vichekesho zake! PONGEZI mashekhe wetu kwa kueneza DINI ya haki Amin Amin Amin

    • @tabumangu2836
      @tabumangu2836 3 роки тому

      Ndache uskune kichwa na kucheka na kudanganya kuongea kitu kischokuepo???

    • @tabumangu2836
      @tabumangu2836 3 роки тому

      Maneno. Si ya. Mwaipopo. Wala. Ya. Mbogo. Vitabu. Vinasema. Umeshazidiwa ndacha. Kicheko. Cha maumivu. Baba. Oohoo. Nakuhurumia. Mashehe. Wetu. Mwenyezi. Mungu. Awaongoze Amin rabilgamin

    • @anwarambar6141
      @anwarambar6141 3 роки тому

      @@tabumangu2836 Ndacha muongo, kapatikana Leo, kapigwa chini hahahaha,

    • @mwatumsaidi5104
      @mwatumsaidi5104 2 роки тому

      Allahu wakbar ☝️

  • @ndikumanainnnocent7796
    @ndikumanainnnocent7796 Рік тому +1

    Asalam alykum www sheikh mbogo very strong knowledge allihamdullilah 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿

  • @saidalsalmi9313
    @saidalsalmi9313 2 роки тому +1

    Maashallah masheikh wetu mnatoa elimu kubwa. Mwenyezi Mungu amilipe pepo ya juu.

  • @kutailadifi2854
    @kutailadifi2854 3 роки тому +2

    Ukiskiza Kwa makin utajua Nn wanacho kifanya wakristo wallah Kua Muslim Ni RAHA SANA Alhamdulillah

  • @mabaazizitigermnyama5254
    @mabaazizitigermnyama5254 3 роки тому +3

    Mashallah Daaah asee Uislamu Raha sana jaman nyiiieeeeeeeeeeeeeeeeeee

  • @oman7710
    @oman7710 3 роки тому +2

    Masha Allah sheikh wetu Mungu awahifadh

  • @ziadayasin711
    @ziadayasin711 Рік тому

    Mashaallah mimi nashukuru san kuwa muisilimu yaani ni mtihani san wakilisto awana hata elimu subuhnallah yaani wameshukuliwa watu mbali san yaani waje kujadiliyana na watu wenye elimu yaani waisilamu Allah atujalie ss waisilamu atujalie janna filidausi inshaallah

  • @kudrawanguvu5923
    @kudrawanguvu5923 3 роки тому +6

    Nawapongezeni walim wote mnaonekana ya dhati nia yenu ni kutujuza ukweli natunawaelewa M/Mungu atuongoze sote ninyi nasis

  • @peterngeri9442
    @peterngeri9442 Рік тому

    Ubarikiwe mwaalimu Abel tufundishe maandiko leo uongo wa uislamu leo wawekwa wazi hongora kwa wote waliojitolea kwa ajili ya neno la MUNGU

  • @salamakhamis8092
    @salamakhamis8092 3 роки тому +1

    Hongereni kwa ustaarabu waislam na wakristo

  • @kiswahili_mangat
    @kiswahili_mangat 3 роки тому +1

    Maongezi yanakatwakatwa! Yaani hii ni dini ya uongo kweli. Hakuna Mwikristo wa kweli aliyemkubali Yesu katika maisha yake na Roho Mtakatifu anamwongoza, ataweza kumwacha Mungu wa kweli aliye hai na kuingia uislamu dini ya uongo, chuki, hasira, na majivuno.

    • @shushu8105
      @shushu8105 3 роки тому

      Kuwa mwislam ni NEMA tosha

    • @kiswahili_mangat
      @kiswahili_mangat 3 роки тому

      @@shushu8105 kuwa mwislamu ni laana hata mpaka milele! Kristo awafungue macho hawa waislamu.

    • @shushu8105
      @shushu8105 3 роки тому

      @@kiswahili_mangat ninyi ndo mumelaaniwa kama babu yenu farao

    • @kiswahili_mangat
      @kiswahili_mangat 3 роки тому

      @@shushu8105 Farao amekuwaje babu ya wakristo? Mnaongea upuzi mtupu maskini. Jielimisheni wana wa Mungu!

    • @shushu8105
      @shushu8105 3 роки тому

      @@kiswahili_mangatkwanin amelaniwa na mwenye zi Mungu ni kwasababu ya jeuri lake hasa naninyi wakristo mumelaniwa na Mungu kwasababu mnamufananisha Mungu na bina damu yesu ni binadam kama wewe

  • @jamilajamila4572
    @jamilajamila4572 3 роки тому +3

    Masha allaah shekh ramadhan🙏🙏

  • @salimamry9432
    @salimamry9432 3 роки тому +2

    Subhaana Allah hawa wanojiita wakiristo kumbe hawaelewi ndio maana wafata dini wasioijua labda wategemea mshahara wa wazungu tu.

  • @rajabually5572
    @rajabually5572 3 роки тому +2

    Nimeelewa vzr, kumbe hizi dini zote hazituhusu ila ujanja ujanja tu asanteni walimu

  • @fatmaali6780
    @fatmaali6780 Рік тому

    MashaAllah barka Allahu fiq

  • @marvelousofzanzibar9556
    @marvelousofzanzibar9556 Рік тому

    Watching this from green and spice island Zanzibar
    Huyu ex-muslim anahitaji kufundishwa Nahau, Sarfa na Balagha ili aweze kutafsri Quran na shere za kiarabu.

  • @salhakaoneka7527
    @salhakaoneka7527 3 роки тому

    Shida ninayoiona kwa wahadhiri wengi wa kiislamu hawawezi kuzitetea aya za Qur'an kwa sababu wameelemea kuusoma ukristo zaidi kuliko uislamu wenyewe. Hivyo naomba muwe mnawaalika kina Sheikh Kishk, Uthman Maalim, Sheikh Ally Kombo na wengineo ambao wao wanauujua uislamu kwa misingi yake na Tafsriri za Maneno ya Lugha ya Kiarabu. Watasaidia kueleza maana ya maneno yaliyotumika katika Qur'an kwa uhakika wa kufasiriwa kinahau na kibalagha. IN SHAA ALLAH. ALLAH AENDELEE KUWAPA NGUVU YA KUPAMBANA NA MAKAFIRI.

  • @jamilajamila4572
    @jamilajamila4572 3 роки тому +2

    Masha allaah shekh wetu allah awajaalie umri mrefu ❤️❤️😍

  • @AhmedMohamed-um8ox
    @AhmedMohamed-um8ox 3 роки тому +1

    Mungu anajuwa kila kitu kuliko cc

  • @achanifumos1093
    @achanifumos1093 3 роки тому +2

    Mtume Muhammad s.a.w ni nabii na mtume hilo wacristo washakubali ila tu ni wakaidi wakukubali kuwa ndio mtume wa ulimwengu mzima...MUKUBALI MUKATAE MTUME MUHAMMAD NI MTUME WA MWISHO na hilo wanajua hao mapadre ila ni mkate ndio wanatafuta...

  • @tabumangu2836
    @tabumangu2836 3 роки тому +1

    Polee Sana !!! Unacheka kimaumivu

  • @omarabeid1363
    @omarabeid1363 3 роки тому +2

    Masha Allah ndacha kenya huwezi utaweza tz Acha papara wewe kama kiyoo tuu lakini wengi wasilimu lakini hakuna Muslim anae baatizwa

  • @muhammadmuhaznun380
    @muhammadmuhaznun380 3 роки тому

    Allah alimwambia Muhammad s.a w huwez muongoza umtakae lakini yy Tu ndo anaweza...Mungu akitaka atawaongoza

  • @john.j.george418
    @john.j.george418 2 роки тому

    Ndacha upo vizur Sana tatizo unashindana na dini ya wapenda majin na watu wasio na elimu wanatafsili gazeti na kiswahil chao

    • @ndikumanainnnocent7796
      @ndikumanainnnocent7796 Рік тому

      Ukafiri wenu umezidi amuna irimu naukifa naiyo dini ya ukristo utakuwa mwenye hasara kubwa sana siku yakiyama

  • @muhammadmuhaznun380
    @muhammadmuhaznun380 3 роки тому +2

    Leo Ndo nimeamini kweli wakristo sio wasomi...Bila hata kusoma Mwenyezimungu hawez leta dini ya haki ikawa ni ukristo huyu Mungu enyewe ingelikua simueshimu...ningekua nafanya dhambi Kila siku....Lakini ukiangalia uisilamu na Tabia zake....enyewe utajua hii ni dini Ya Allah Na Allah yupo...

  • @Ukhtyzuhura
    @Ukhtyzuhura 3 роки тому

    SubhanaAllah
    Takbiiir,Allahu Akbar

  • @jacksonnzai1593
    @jacksonnzai1593 3 роки тому

    Yhna 8;24. Watumishi wa Yehova barikiweni sana.

  • @tabumangu2836
    @tabumangu2836 3 роки тому

    Ndacha unababaisha sana !! Ujielew kialasaa unahama mada

  • @tabumangu2836
    @tabumangu2836 3 роки тому

    Masheikh wetu mvumilieni anachokiongelea !!...muombeni katokea milembe ya kishaitwan ..hata milembe yetu Kuna waislam

  • @makenakendi9014
    @makenakendi9014 3 роки тому

    Mashaallah ALLAH BARIIK always my brothers

  • @tabumangu2836
    @tabumangu2836 3 роки тому

    Takbirr waislam !!! Ndacha kaelemew jamani ..! Anakigugumiz cha nini ..

  • @tabumangu2836
    @tabumangu2836 3 роки тому +1

    Asalaam. Alaykum ..hawa waakina ndacha wanahama mada !! Wajibu swali wanaloulizwa ????

  • @cabdibishaar5415
    @cabdibishaar5415 3 роки тому

    Masha Allah

  • @tabumangu2836
    @tabumangu2836 3 роки тому

    Mashallah waislam😀😀😀😀😀😀🙂🙂🙂🤗🤗🤗🤩

  • @muhammadmuhaznun380
    @muhammadmuhaznun380 3 роки тому

    Yani Mtu akitoka kwenye uisilamu aingie Kwa ukristo namuona amepotea kweli....Mungu akubakishe huko huko....

  • @jimjam4148
    @jimjam4148 3 роки тому

    MASHA ALLAH.

  • @yusufmwangichannel6692
    @yusufmwangichannel6692 3 роки тому

    Masha Allah, Allahu Akbar

  • @bnussrahlimsantah3730
    @bnussrahlimsantah3730 3 роки тому

    Mimi hushangaa na jambo moja mtu anaeza jiita m,chungaji na akawa hata hajasoma ila hautopata Muslim anae jiita ustadh wakati hajasoma dini....jamanini tuweni makini sana kwenye hii dunia...Asallam aleikum warahmathulilah wabarakatuh

  • @kizamaulidi6004
    @kizamaulidi6004 3 роки тому

    Mashaallah

  • @guenterernst5481
    @guenterernst5481 3 роки тому +1

    Hawa wakristo ni vijego hawaelewi wala hawaeleweki majibu hovyo inna lillahi da inna ilayhi rajiun

  • @maymgaya4192
    @maymgaya4192 2 роки тому

    Allah Akbar 🙏

  • @nakurucyber617
    @nakurucyber617 5 місяців тому

    46:45 Iimekatwa kwa nini?

  • @nepomugisho4913
    @nepomugisho4913 3 роки тому

    Aww

  • @bintmuhammad4913
    @bintmuhammad4913 3 роки тому +1

    Mwalim Ndacha amechemsha
    Qur an 62:3 ametafsiri anavotaka yeye! Amesema: "Na amemleta kwa mwengine miongoni mwao walio bado kuungana nao, nao ndio sisi waislam tuliokuja nyuma"!!
    Qur an 62:3 tafsiri sahihi inasema: Na kwa wengine ambao bado hawajaungana nao na yeye ndie mwenye nguvu mwenye hekima.

    • @bintmuhammad4913
      @bintmuhammad4913 3 роки тому

      Ndacha usichakachue Qur'an ni maneno ya Allah (S.W)

  • @salehal_ouf8095
    @salehal_ouf8095 3 роки тому

    Wakristo kazi yao kuuliza maswali tuu na hata wakijibiwa hawaamini lakn pia naona wakristo hata kiswahili hawaelewi

  • @haydarhamad6532
    @haydarhamad6532 3 роки тому +1

    Huyu chaka ndo anaongea pumba hasa,kwa kweli sijezi hata kumsikiliza😂

  • @makenakendi9014
    @makenakendi9014 3 роки тому

    Wamechanganyakiwa pastors na uongo wao

  • @chizzyfresh3974
    @chizzyfresh3974 3 роки тому +1

    Jamani huyu Ndacha anaoneka kuwa ufahamu wake ni mdogo sana hata maswali yake ni ya mtoto ambaye yuko chekechea

  • @mutomubaya
    @mutomubaya 3 роки тому +1

    Baadhi ya hayo maswali yanaonesha kwamba baadhi ya wanadamu ni kama viziwi ingawa wana viungo vyote vya kusikia. Na ni kama vipofu pia. Mitume wa Allah wametumwa kwa kila Ummah kwamba Mwenyezi Mungu ni mmoja na yeye pekee ndiye apasaye kuabudiwa. Huo ndio Uislamu. Je Mtume Musa alifundisha hivyo au la? Je Yesu alifundisha hivyo au la? Basi kuna ushahidi wa kutosha Dini ya Allah tangu mwanzo ni Uislamu.

  • @shepherd1x84
    @shepherd1x84 3 місяці тому

    Watu waliochanganyikiwa ndio hufuata uislamu..waongo.tuu..eti Muhammad sio wa kwanza...niwangapi ...na ni majinni walimpa dini hio na ibilisi mwenyewe..dini ya kulasimishwa sio ya Mungu ni shetani tu hulasimisha watu!

  • @ambarnelly6304
    @ambarnelly6304 3 роки тому

    Mashalwah nyani anazaa nyani mashalwah mashalwah ila mariayam kazaaa-------- yani vichekesho kweli wakristo

  • @anwarambar6141
    @anwarambar6141 3 роки тому

    Ndacha unajipambaniza, bado hamujasema dini ya yesu ni ipi, mumeshindwa, wewe ni kucheka tu , mrongo Sana wewe

  • @marcbanyankirubusa135
    @marcbanyankirubusa135 3 роки тому

    Kwanini munazibaziba sauti ya mukristo ili tusisikie alivyo ongea?

  • @sophiajuma6798
    @sophiajuma6798 2 роки тому

    Jamani siku za mwisho wakristo silimuni mnusuruke ndugu zangu funguweni maskio yenu

  • @duniawadunia4824
    @duniawadunia4824 3 роки тому

    Masha"Allah maswali magumu

  • @sylvestersamwel8210
    @sylvestersamwel8210 2 роки тому

    Rusha clip kuanzia mwanzo wa mjadala mpaka mwisho.

  • @muhammadmuhaznun380
    @muhammadmuhaznun380 3 роки тому

    Yani wakristo Kiswahili enyewe hawajui

  • @mariamhamisi598
    @mariamhamisi598 3 роки тому

    Nyiye wakrsto mbona hamjibu maswali ya uwslamu :

  • @lileoh3893
    @lileoh3893 3 роки тому

    Mawe mitme wawe waklisto yani wapagani alafu wafundishe nini ?

  • @salehal_ouf8095
    @salehal_ouf8095 3 роки тому +1

    Tatizo wakristo nyoyo zao bado sio safi na ndo mana hawaelewi na peponi haendi isipokuwa mwenye moyo safi Kwanza safisheni nyoyo hamtaki pepo nyiee

  • @abasingaruka1872
    @abasingaruka1872 11 місяців тому

    Ndigu zangu waislamu fikiwni mkubali muache uongo

  • @gladysjosephmacharia3250
    @gladysjosephmacharia3250 3 роки тому +1

    Jibu swali wacha pelele sako na uongo wako

  • @kiswahili_mangat
    @kiswahili_mangat 3 роки тому

    Ishmael hakuwa Mwarabu hata tone la damu ya Waarabu hakuwa nayo! Ishmael alikuwa Myahudi/ Egyptian. Hata hapa mtasema uongo! Kristo awahurumie!

  • @sarummzuzuri8585
    @sarummzuzuri8585 3 роки тому

    Wanakimbia swali awajib

  • @jumachete2293
    @jumachete2293 3 роки тому

    Huyo Dogo alkuwa anasoma Qur'an kama gazeti achee ujinga kama hawez asome kiswahili tu

  • @achanifumos1093
    @achanifumos1093 3 роки тому

    Wewe ncdrracha " WACHA USANII NA KUWEKA VIRAKA KWENYE MAANDIKO...UNAPOTEZA WACRISTO MAANA HAWAJUI MAANDIKO"

  • @anwarambar6141
    @anwarambar6141 3 роки тому

    uislamu umekuja ili kuondoa dini zingine ambazo ni potofu, Allah ambazo hazikubali, hio ndo maana yake, usipotoshe watu

  • @mariamhamisi598
    @mariamhamisi598 3 роки тому

    Wakrsto mnazungusha maneno mengi na hamjibu maswali

  • @amyassyassin7909
    @amyassyassin7909 2 роки тому

    hahaa nimecheka kweli hawa wachungaji wanavyojikoroga. Wanajua Uislamu ni Dini ya kweli na ndio Dini ya Manabii wote, lakini wanapindisha ili walinde kula yao

  • @muhammadmuhaznun380
    @muhammadmuhaznun380 3 роки тому

    Afu teteeni ukristo wenu na Bibilia yenu sio Quran...Mungu anajua kuwa kuna dini ya uongo amabayo ni ukristo ndomana anautaja sio kwamba ni dini yake nop eleweni hapo...

  • @AbuubakaryJuma-il8yo
    @AbuubakaryJuma-il8yo Рік тому

    Wakristo hawana uwezo wa kuisoma quran wakaielewa maana bibilia hawajaielewa wataelewa kura wanajidanganyatu wasilimu tu waache ubishi na ushabiki

  • @salehal_ouf8095
    @salehal_ouf8095 3 роки тому

    Huyu Ndacha ukiambiwa shimo la kenge bado unasema andiko halijasema kupotea ufafanuliwe nini tena? Ndomana tunasema wakristo hawajui kiswahili

  • @AhmedMohamed-um8ox
    @AhmedMohamed-um8ox 3 роки тому

    Kama itakuwz kuna matatizo mungu anajuws kutakuwa kunamatatizo

  • @ahmedmohamadibrahim9583
    @ahmedmohamadibrahim9583 3 роки тому

    Ndacha ameelewa..I'm sure about tht

  • @gedeonjeanpaul748
    @gedeonjeanpaul748 Рік тому

    Natowa pogezi kwa walimu wote kweli wana tuchuza ufahamu

  • @johnmathew2769
    @johnmathew2769 3 роки тому

    waislam nawaonea huruma san kutokujua maandiko

    • @ambarnelly6304
      @ambarnelly6304 3 роки тому

      Kweli tuunee tu huruma hatujui maandiko ila tunamjua mungu wetu we mpka saivi wako humjui

    • @simaijuma1816
      @simaijuma1816 Рік тому

      WEWE NDIO juji kama unajibu dini ya wakristo ni ipi kwa mandiko WEZAKO wameshindwa

  • @shabamuhidin634
    @shabamuhidin634 3 роки тому

    mda mwingine nkitaka kuskiza comedy,mskize ndacha 🤣🤣🤣yani kalulu kabsaa

  • @tabumangu2836
    @tabumangu2836 3 роки тому

    😝😝😝😝😝wee Oscar kichwa Box ni cha baba ako na shangaz yako !! Jibun Sasa msihame mada!!

  • @haruniaisha5905
    @haruniaisha5905 Рік тому

    Arafu mbona mkata kata wakiongea wakristo

  • @AhmedMohamed-um8ox
    @AhmedMohamed-um8ox 3 роки тому

    Kama we binadamy unajuws adui wzko mungu atakosa kujuwa adui wake

  • @gladysjosephmacharia3250
    @gladysjosephmacharia3250 3 роки тому +2

    Hiyo ni dawa tosha mwalimu ndacha

    • @bintmuhammad4913
      @bintmuhammad4913 3 роки тому

      Mwalim Ndacha amechemsha
      Qur an 62:3 ametafsiri anavotaka yeye! Amesema: "Na amemleta kwa mwengine miongoni mwao walio bado kuungana nao, nao ndio sisi waislam tuliokuja nyuma"!!
      Qur an 62:3 tafsiri sahihi inasema: Na kwa wengine ambao bado hawajaungana nao na yeye ndie mwenye nguvu mwenye hekima.

  • @biramsakh9212
    @biramsakh9212 3 роки тому +1

    Aka wakirsto hawana hoja wamo tu hawawez kutetea ukirsto wao nawasikiliza kwa maskini lkn duh mada ipi dini ya kweli wakirsto hawana

    • @uuubfyfftyvcf4896
      @uuubfyfftyvcf4896 3 роки тому +1

      Mohamed (saw) aliitwa Alamin kwa sababu aliaminika mpaka washirikina wakamuona kweli Huyu ni mkweli.hawa hawaelewi lugha

    • @uuubfyfftyvcf4896
      @uuubfyfftyvcf4896 3 роки тому

      Kweli kabisa Hawana hoja.Ndacha na wenzako Hamna hoja musilimu

    • @uuubfyfftyvcf4896
      @uuubfyfftyvcf4896 3 роки тому

      Hakuna Faida bure kabisa hawa wakristo

    • @fatmazullu4933
      @fatmazullu4933 3 роки тому

      @@uuubfyfftyvcf4896 khaa jina lako kiboko kabisa doh!! Ati unaitwa?

  • @ahyatibenn8319
    @ahyatibenn8319 3 роки тому

    Najivunia kuwa Muslim..

  • @jacksonmwafongo1758
    @jacksonmwafongo1758 3 роки тому +1

    Ndachi easikilizaji tunataka kupata aya inayosema ukristo ni dini kama wenzenu walivyo towa usianze kuchekecheka hapo

  • @estakenia
    @estakenia 2 роки тому

    Walioshinda huu mjadala ni wakristo

  • @mwatumsaidi5104
    @mwatumsaidi5104 2 роки тому

    Sasa ikiwa uislam dini ya waarabu jee ukiristo dini ya wanyamwezi?ukristo umeletwa na wazungu ili watutawale masikini roho zenu hakuna dini yakweli ila uwislam ☝️

  • @mwanaidiissa10
    @mwanaidiissa10 Рік тому

    Yani hata hawaeleweki hawa

  • @maulidzagu8054
    @maulidzagu8054 2 роки тому

    Huyu chaka angelijua kua Mke wa rais yeyote mpya mkewake huitwa fast Lady kwa nini chaka jiongeze,

  • @muhammadmuhaznun380
    @muhammadmuhaznun380 3 роки тому

    Huyu Mwarabu feki anajibu swali lenye hajaulizwa

  • @oscarngowi4750
    @oscarngowi4750 3 роки тому +1

    Mwaipopo kichwa box

  • @haydarhamad6532
    @haydarhamad6532 3 роки тому +1

    Wakiristo pumba!😂

  • @ashtube1333
    @ashtube1333 3 роки тому

    Hawa hawafahamu kabisa Aya ziko.
    WAZI

  • @oman7710
    @oman7710 3 роки тому

    Nitakipataje hicho kitabu

  • @ahmedabdulle4351
    @ahmedabdulle4351 Рік тому

    Mbn cioni wacristo wakitoa andiko manabii walikuw dini gani n kelele2 wakilalamika

  • @hiimbinaimmuslim3041
    @hiimbinaimmuslim3041 3 роки тому

    Ndacha umepotea maskin tonge itakutia motoni

  • @biramsakh9212
    @biramsakh9212 3 роки тому

    Wamebakia leteni nje yakurani yaani watapata tabu sana. Aibu duh kaimbeni kanisani ndio yenu tu

  • @salisali3738
    @salisali3738 3 роки тому

    Asilani mambo ya pombe zina ktk ukiristo ni kitu cha kawaida kabisa tena mtt afanya zina mbele ya wazazi wake kunywa pombe sasa sijuii ana kataa nn huyo mkenya

  • @muhammadmuhaznun380
    @muhammadmuhaznun380 3 роки тому

    Sasa tuseme Uisilamu haujitetei hemu teteeni ukristo wenu basi tuuamini kuwa ni dini ya haki

  • @fakijuma7549
    @fakijuma7549 3 роки тому

    SOTE TUNASIKILIZA MJADALA LAKINI LUGHA YA KISWAHILI INAWAPIGA WATU CHENGA LAKINI WAUPANDE WAPILI MUMETOTEZEA MUDA WAKATI NYENYE WAUPENDE WAPILI MUNALIPWA KWA MUDA WAMASAA YENU CHUKUWENI HIZO PESA KUTOKA KWA WAZUNGU NAKUWAPOTOZA WAKOLIKOLE WENZENU NAKUJAZA MATUMBO YENU

  • @njamateacher6591
    @njamateacher6591 3 роки тому

    Kibanooooooooooo:wakristo mnalo mwaka huu