FANYA JAMBO BY PASTOR MUSEMBI FT SIFAELI MWABUKA SMS SKIZA 6983057 TO 811

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 лип 2023
  • #PastorAnthonyMusembi #SwahiliGospelMusic #NgommaGospel
    ©2020 Administered by Ngomma VAS Limited.

КОМЕНТАРІ • 780

  • @user-rf3zz1lb6l
    @user-rf3zz1lb6l 14 днів тому

    Fanya jambo Bwana Mungu wangu kwa kweli tumechoka na roho mbaya za madeni😢asante kwa kujibu. Amen 🙏

  • @Beviy
    @Beviy 10 днів тому

    Nimechoka babangu ,nifanyie Jambo moja Hadi maadui wanaonikejeli Waseme n uchawi juu ya ufukara wa kwetu

  • @dancanekaya5320
    @dancanekaya5320 10 місяців тому +3

    God bless me 😢put a smile on my face let me help my family 💯🙏

  • @IbrahimAyora-dv9nc
    @IbrahimAyora-dv9nc 28 днів тому

    Wimbo wangu wa urejesho unabariki sana na kuinua mioyo ya wanadamu fanya jambo jipya kwa maisha yangu

  • @ruthnjoki6036
    @ruthnjoki6036 9 місяців тому +1

    Amen to this song.....tenda jambo Baba...Peke yetu hatuwezi

  • @stanleywalker6708
    @stanleywalker6708 10 місяців тому +6

    Nipewe likes kumi za hawa watumishi wa mungu

  • @mariedianenirere-dr3ti
    @mariedianenirere-dr3ti 11 місяців тому

    On dirait la chanson de Christophe Mwahangila! Nyimbo nzuli kabisa. Asante Sana, mubaliliwe

  • @daisykiprop7636
    @daisykiprop7636 4 місяці тому

    Kweli ahadi zako ni ndio na amina,,please God do it for me I do pray,,fanya jambo bwana ili wakujue 🙏🙏,God bless you man of God pastor Anthony and sifaeli

  • @marrycanafavoureliamani9778
    @marrycanafavoureliamani9778 11 місяців тому +2

    Eeeh mungu wangu naomba ufanye jambo bwana najua katka nyimbo Kuna uponyaji na miujiza naomba kupitia wimbo huu fanya jambo bwana juu ya kila haja ya moyo wangu,,nabarikiwa Sana mtumishi mungu azid kukulinda na kukutunza kila cku iitwayo leo

  • @user-po3bh5ow3x
    @user-po3bh5ow3x 25 днів тому

    Fanya jambo BABA peke yetu hatuwezi mbarikiwe sana watumishiii msembi na sifael

  • @violetnyende2056
    @violetnyende2056 10 місяців тому

    Mbarikiweni watumishi wa maulana. Nami naomba Baba aliye juu mbinguni afanye leo jambo maishani mwangu dunia ishuhudie manake haja ya moyo wangu Iko mbele zake.

  • @user-pi1po3uq2o
    @user-pi1po3uq2o 14 днів тому

    Very educative, inspiring and touching song good job pastor and Mr sifael we as listeners we are expecting more of that co-ordination

  • @amosmutenyo7256
    @amosmutenyo7256 11 місяців тому

    Fanya jambo jipya ndani ya maisha yangu Buana.... wachilia baraka zako nimechoka kuhangaika

  • @BarasaMoses-mz2un
    @BarasaMoses-mz2un 17 днів тому

    Nice song....mungu fanya jambo kwangu na familia yangu❤❤🎉🎉

  • @OMBENIURASSA100
    @OMBENIURASSA100 11 місяців тому

    Usiuogope uovu, ukemee, uendee nahautakungoja, Mungu amekupa mataifa wakutumikie, ukiwaogopa utawatumikia.Mpe Mungu nafasi, aufukuze uovu kwenye mazingira yako.

  • @alicemwangi4909
    @alicemwangi4909 11 місяців тому +3

    Mfalme wa Ajabu fanya Jambo Niweze Kupenya katika maisha yangu nimechoka kuhangaika, nimechoka kufake smile wakati roho yangu imejaa machozi😢😢

  • @user-hk5fe3bo7r
    @user-hk5fe3bo7r 8 місяців тому

    Amen Amen Amen, fanyajambo bwana maishani mwa wateulewako bwana

  • @jenebykoipiri768
    @jenebykoipiri768 11 місяців тому +2

    Amen.fanya jambo Mungu wangu nimechoka na maisha ya ufukara baba unionekanie ee Baba wa mbinguni

  • @NEEMA-nz8dr
    @NEEMA-nz8dr 9 місяців тому

    Nifanyie jambo kupitia nyimbo hii baba😢😢😢😢nimechoka sijui nachokifanya

  • @henrymusickenya
    @henrymusickenya 11 місяців тому +13

    Hili ni ombi la mtumishi aliye na mzigo wa kutaka kuona watu wakiendelea vyema... Great tune. God bless you servants of God.

  • @JanetAnyango-gw2dn
    @JanetAnyango-gw2dn 10 місяців тому

    Hakika fanya jambo Bwana ninunue shamba nijenge nimechoka kuishi maisha ya kulipa rent, Bwana naomba🙏🙏🙏

  • @luchiusmwijage2863
    @luchiusmwijage2863 11 місяців тому +3

    Hakika Sifael una sauti ya injili, nyimbo zako zanibariki sana

  • @millicentchelangat5242
    @millicentchelangat5242 29 днів тому

    Fanya jambo yesu kwa nchi yetu🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @marthajulia3310
    @marthajulia3310 11 місяців тому

    Fanya jambo kwetu jehova,,,nazo sauti kweli ni za kunyenyekea tu,,,fanya jambo babaaaaa

  • @CarolyneWamalwa
    @CarolyneWamalwa 9 місяців тому

    Wachasiri Wa mungu nabupenda kweli kweli, kuimba kwenu si kuimba tu Bali Ni maombi

  • @lydiahboyani2275
    @lydiahboyani2275 5 місяців тому

    I really like your songs @pst Antony musembi & sifaeli mwabuka 🎉🙏🙏🙏🙏💓

  • @seurisilanga1997
    @seurisilanga1997 8 місяців тому

    Mungu fanya jambo kwangu my trust is in you my Father God i trust you will do it soon in Jesus name before the end of 2023🙏✍️

  • @paulkyule99
    @paulkyule99 11 місяців тому

    Fanya jambo Bwana kwa huduma yako hapa ulimwenguni 😭😭ombi langu Baba wakujue

  • @user-pe1bj5sn6w
    @user-pe1bj5sn6w 11 місяців тому +91

    Fanya jambo bwana siku ya leo nimechoka na ufukara nibariki😢😢😢😢

    • @kwobabrenda90
      @kwobabrenda90 11 місяців тому +5

      Mungu atatenda

    • @youngjaylee_
      @youngjaylee_ 11 місяців тому +2

      From your mouth to God's ears 🙏

    • @susanmutundi3847
      @susanmutundi3847 11 місяців тому +2

      Fanya Jambo jipia bwana,...nibariki yaweh 😢😢😢😢

    • @user-fb1cm3bu4l
      @user-fb1cm3bu4l 11 місяців тому

      AAA kwa wimbo mzuli

    • @Reen254
      @Reen254 11 місяців тому

      Mungu akuonekanie 😢

  • @nancynyaboke397
    @nancynyaboke397 11 місяців тому +2

    Amazing Amen Amen 🙏 aki mungu wangu fanya jambo kwa maisha yangu natezeka sana please 🙏 God please fanya hii 2023 wakujue😢😢😢😢😢

  • @user-mh6qu4mb3f
    @user-mh6qu4mb3f 8 місяців тому

    Fanya jambo mungu niondolee umaskin na mme wang apate kaz nzr

  • @emilysyombua8484
    @emilysyombua8484 4 місяці тому +3

    Nice song ....God do it to me and my family

  • @gifthappiness9255
    @gifthappiness9255 10 місяців тому +2

    Pia NAMI ninakuomba baba Fanya jambo kwangu badilisha maisha yangu najamii yangu tupe mibaraka neema pesa tuweze kubadilisha kizazi changu ,

  • @user-be5wf2ct4x
    @user-be5wf2ct4x 8 місяців тому

    Fanya jambo Kwa Maisha nyangu Mungu l need your strength nifugulie mirango

  • @user-xm1yi4ve6q
    @user-xm1yi4ve6q 8 місяців тому

    Amen Fanya jambo bwana ili wakujuwe❤❤❤❤❤bila wewe hatuwezi

  • @emillyoriga6371
    @emillyoriga6371 11 місяців тому +5

    Amen. Fanya Jambo mungu wangu kwa inchi ya Kenya, powerful song.God bless

  • @christinenekesa2937
    @christinenekesa2937 11 місяців тому

    O😢 lord Jesus do something new in my life my marriage and my children in Jesus might name 🙏 🙏🙏📛📛📛📛

  • @user-on5gu7tq4m
    @user-on5gu7tq4m 11 місяців тому +1

    Fanya Jambo bwana kwenyemaisha yangu 😢😢

  • @raymahabake904
    @raymahabake904 10 місяців тому

    Do something Lord, tunakutegemea hapa chini ya jua Mungu 🙏🙏🙏

  • @user-el4pu8yt4r
    @user-el4pu8yt4r 11 місяців тому +1

    Penda❤❤❤xaaaanaah you songs........

  • @user-se4yt2vl1i
    @user-se4yt2vl1i 10 місяців тому

    Amen,,,, fanya jambo kwangu leo watu wakujue nimechoka bwana

  • @janetkyumbe7154
    @janetkyumbe7154 5 місяців тому

    Napenda sn io song Ile time waiguru amenizidia na taali shufi yaani ujipa nguvu

  • @emilywamalwa5938
    @emilywamalwa5938 11 місяців тому

    Ubarikiwa sana mtumushi wa Mungu huu wimbo una mafundisho ya Maisha kwaeli

  • @innocentkaramuta8200
    @innocentkaramuta8200 11 місяців тому

    Fanya Jambo Baba ili wakujue,wanauliza huyo mungu wangu Yuko wapi

  • @lilianemanuel2579
    @lilianemanuel2579 3 місяці тому

    Fanya jambo jipya kwangu kabla ya mwaka kuisha Bwana ❤❤😢😢

  • @RamadhanMwinyimvua-ry8yp
    @RamadhanMwinyimvua-ry8yp 11 місяців тому

    Sina cha kuwapa ila Mungu azidi kuwainua juu Sana Kwa wimbo mzuri.

  • @elizabethkhisa2503
    @elizabethkhisa2503 11 місяців тому

    Fanya jambo baba nimechoka na shinda aki mungu uaminifu wako uonekane kwangu

  • @mtumishidalmas4402
    @mtumishidalmas4402 11 місяців тому +1

    Ameni Man of God utukufu Hadi utukufu

  • @musasenso4174
    @musasenso4174 10 місяців тому

    Nice and a blessed song.acha Mungu afanye jambo kwetu zote .

  • @margaretwachira2092
    @margaretwachira2092 11 місяців тому

    Fanya jambo bwana ili wakujue 🙏🙏🙏🙏🙏🙏 mungu naomba 🙏🙏🙏🙏

  • @annemukite4937
    @annemukite4937 11 місяців тому

    Mungu mapenzi yako yatendeke tunahitaji amani kenya.

  • @sheerow371
    @sheerow371 11 місяців тому +1

    My prayer 🙏🙏 do it Lord answer my prayer for your glory 🙏

  • @SheilaWechela
    @SheilaWechela Місяць тому

    Amen fantastic jambo bwana kwa maisha yngu baba

  • @Bennashon
    @Bennashon 11 місяців тому +2

    God just change my life it will take time but I put my trust in you you will 🙏🙏🙏🙏

  • @gifthappiness9255
    @gifthappiness9255 10 місяців тому

    Sifaeli mungu amekufanyia jambo ktk maisha na akuzidishie

  • @ajilikayoka3034
    @ajilikayoka3034 2 місяці тому +1

    Fanya jambo bwana katikat ya maisha yangu Yale magumu yote mungu ukayaondoe

  • @georgemungai3813
    @georgemungai3813 11 місяців тому

    Kweli Yesu Fanya njambo kwetu sisi watoto wako Dunia ijue sisi ni wako Daima

  • @sharonajode1781
    @sharonajode1781 11 місяців тому +1

    Nice song , from citizen tv advertisiment to UA-cam, to listen full song, be blessed mwaaaaaah

  • @trigonometrie8383
    @trigonometrie8383 11 місяців тому

    Nitendee mungu siku ya leo nifurahi. Nimelia ya kutosha.

  • @BoscoWhall
    @BoscoWhall 2 місяці тому

    Fanya jambo katika maishi yangu mungu wangu 😢😢

  • @user-tg5ls9tr6l
    @user-tg5ls9tr6l 11 місяців тому +1

    Do something unto my life.thats my prayer

  • @hilarytowett6738
    @hilarytowett6738 11 місяців тому

    Musembi sifaeli mungu wetu wa mbinguni awabariki sana.mungu wetu nanjaa krbu

  • @brayoojawayamombasapwani
    @brayoojawayamombasapwani 11 місяців тому

    Amen am so bless PST msembi naomba uje Mombasa

  • @AnitaJuma-eb4jn
    @AnitaJuma-eb4jn Місяць тому +1

    Fanya jambo in life help me to grow in faith 😢😢😢😢😢😢

  • @titoterry7017
    @titoterry7017 11 місяців тому

    Hili ombi ni letu wanao Baba
    Anto and Sifael u have blessed me 🙏🙏

  • @user-nt5vl5zv3w
    @user-nt5vl5zv3w 10 місяців тому

    Amen 🙌🙌🙌 ubalikiwe saana wimbo huu unagusa maisha yungu

  • @estherwanza8146
    @estherwanza8146 9 місяців тому +1

    Fanya Jambo bwana nakugonja 😢😢😭😭😭😭ukuu wako ukapate kuonekana katika maisha yangu

  • @mamakevin2090
    @mamakevin2090 3 місяці тому +1

    Just a word from you Lord, and am healed of my afflictions. Fanya Jambo Bwana🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @jeydenyobra
    @jeydenyobra 9 місяців тому

    Fanya jambo bwana kwa maixha yangu mpaka madui 😢😢 waibike amen 🙏🙏😂

  • @saydathyhakizimana9348
    @saydathyhakizimana9348 11 місяців тому

    Amen Amen Amen Amen Amen mbarikiwe Sawa shuja wamungu🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮👌

  • @user-tn6so5hl4p
    @user-tn6so5hl4p 11 місяців тому +2

    Fanya jambo Baba....fanya bila wewe hatuwezi baba😢😢😢😢😢tunalia baba fanya jambo baba....

  • @saumuhare5154
    @saumuhare5154 11 місяців тому

    Kazi nzuri watumishi wa mungu barikiweni sawa .

  • @inpraiseofthelordministry5909
    @inpraiseofthelordministry5909 11 місяців тому

    Yes Lord come and do your will on earth Lord as it is in heaven. Good prayer tufanyie jambo bwana ili wakujue.

  • @vinzezandei8089
    @vinzezandei8089 11 місяців тому

    Yes my God Fanya jambo Hali NI ngumu,ombi langu ,Hali hii ni ngumu

  • @prossypaulina6162
    @prossypaulina6162 11 місяців тому

    Fanya jambo lord next year I have my own job such that I can be with my son and take care of him please 😢

  • @ConfusedGoBoard-bb2rmlearning
    @ConfusedGoBoard-bb2rmlearning 4 місяці тому +1

    Woooo that's corable is wonderful

  • @jacksonenock5231
    @jacksonenock5231 11 місяців тому

    Kazi nzuri Mungu azidi kuikuza huduma yenu.

  • @gloriahmwende8935
    @gloriahmwende8935 11 місяців тому +9

    My uncle has done it again 🎉❤May the lord bless you uncle ❤

  • @asiminifahima3760
    @asiminifahima3760 10 місяців тому

    Fanya Jambo Bwana .. maishani Mwangu 😢 . Oh GOD .

  • @zainaburuthzainaburuth3376
    @zainaburuthzainaburuth3376 11 місяців тому +1

    Fanya jambo bwana kwa nchi yetu,kwa family yetu ,kwa kazi yangu and God bless pastor musembi and mutumishi Sifael Ohn jesus

  • @silvestermwalimu3389
    @silvestermwalimu3389 6 місяців тому

    Mungu fanya jambo walio ninenea mabaya waibike

  • @everlynouma2954
    @everlynouma2954 11 місяців тому

    Fanya jambo Bwana kwa maisha yangu watu waku tambue.

  • @Reen254
    @Reen254 11 місяців тому

    Tenda jambo baba bila wewe siwezi,ufakara sitaki kabisa kwa familia zetu.

  • @seltermaraga3365
    @seltermaraga3365 11 місяців тому +6

    Powerful mungu wetu ni mungu atafanya jambo maishani mwetu Amen ❤❤❤❤❤

  • @selineakoth5170
    @selineakoth5170 5 місяців тому

    Pray for my life,nimefika mwisho kabisa

  • @mbogayawagenidan8701
    @mbogayawagenidan8701 8 місяців тому +1

    Fanya jambo baba kwenye duara yangu weka madini mengi kwenye mwamba Mungu wangu. Rudisha heshima iliopotea kwangu.

  • @susannyaboke4856
    @susannyaboke4856 4 місяці тому

    😭😭😭 nikumbuke bwana kwenye maisha yangu

  • @carolkinya9110
    @carolkinya9110 10 місяців тому

    Fanya jambo ninakungoja bwana.......what a message🙏🙏

  • @amosmetui7523
    @amosmetui7523 11 місяців тому

    fanya jambo kwa life yangu....... blessed here

  • @brianizemba2304
    @brianizemba2304 3 місяці тому

    The message is so touching, May the lord God keep blessing you. ❤❤❤❤

  • @elizabethachesa2026
    @elizabethachesa2026 10 місяців тому

    Baba shuka ufanye Jambo katika maisha yangu.

  • @NangaHosea-nc5mj
    @NangaHosea-nc5mj 10 місяців тому +1

    Fanya Jambo Mungu wangu nimechoka na hii maisha ya uzuni na mawazo

  • @KennedyOdari-nc6mw
    @KennedyOdari-nc6mw Місяць тому

    fanya jambo kwa maisha yangu Baba 😢

  • @snoopersnopsGt999
    @snoopersnopsGt999 11 місяців тому +1

    Jambo ka Bwana linaweza kila kitu,,, fanya jambo kwangu Bwana

  • @lovenesskalenge2683
    @lovenesskalenge2683 11 місяців тому

    Eti Mungu wangu na Mimi nifanyie Jambo nataka tuu E4

  • @user-sy8po5ir6x
    @user-sy8po5ir6x 3 місяці тому

    Fanya jambo bwana Leo katika Maisha yang u nakuomba🙏

  • @thee_jimmie254
    @thee_jimmie254 11 місяців тому

    JAMANI musembi wala Hazeeki kabsaaa🤔🤔♥️🙏

  • @teresiamunyao8819
    @teresiamunyao8819 10 місяців тому

    Ombi langu Bwana,fanya jambo kwa maisha yangu

  • @EliezaMshongo-yf7cu
    @EliezaMshongo-yf7cu 8 місяців тому

    Nimebarikiwa sana watumishi nyimbo zur

  • @PiusremigioAlyudule-yv9yh
    @PiusremigioAlyudule-yv9yh 11 місяців тому

    Fanha jambo kwangu hili wakujuwe na watoto wangu shuka Kwajina la yesu Amém Amém Amém 😂😂😂😂