Jinsi ya kupika skonzi laini na tamu/ Bread rolls recipe

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024
  • Karibu tunapika skonzi au kwa Kimombo dinner rolls, buns or bread rolls.
    Mahitaji
    Unga 1 kg
    Maziwa 250 ml
    Maji 100 ml
    Mayai makubwa 2
    Siagi vijiko vikubwa 2
    Chumvi robo tatu ya kijiko kikubwa
    Sukari 80g
    Mafuta vijiko vikubwa 2
    Hamira kidonge kimoja (fresh yeast) au kwa hamira ya chenga tumia vijiko 2 vikubwa

КОМЕНТАРІ • 7

  • @Reytoto8812
    @Reytoto8812 Місяць тому

  • @zuuhjumadar2584
    @zuuhjumadar2584 Місяць тому

    Mashaallah dada nimependa mapishi yako shukran..ila hapo kwa mahitaji mbona yujatuwekea maziwa nikiasi gani na maji niasichake😊

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  Місяць тому +1

      Asante sana. Kwenye video mwanzoni wakati namimina maziwa na maji kwenye bakuli nimesema kuwa maziwa ni 250 ml (robo Lita) na maji 100 ml. Ikiwa unga wako unahitaji maji mengi unaweza kuongeza kadri inagyohitajika. Lakini mimi hayo maji na maziwa yalitosha sababu mayai 2 pia yanakuwa na majimaji. Vipimo vyote nimeviweka kwenye description box ( sehemu ya maelezo).

    • @zuuhjumadar2584
      @zuuhjumadar2584 Місяць тому

      @@Mapishi_TV shukran dada sasa nimekuelewa mafundisho yako🙏

  • @SubiraMaftah
    @SubiraMaftah Місяць тому

    MashaAllah yami hiyo mashine ya kukanda ni make gani na yapatikana wapi

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  Місяць тому +1

      Hii nimeipata kwenye local supermarket inaitwa LIDL hapa Ujerumani. Hilo duka nadhani lipo pia nchi nyingine za Ulaya.